nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 810
- 2,851
- Thread starter
- #21
yote nitaanika, pia sio ndugu yangu, ni suala la muda yote tutaweka hapa kwa uwazi, na nakala tutampelekea Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, records lazima ziwepo.ndio maana nimekuambia mchafu hachafuki. Tuhuma sio uhalifu,tuhuma ni tetesi tu. na nchi hii hakuna mafanyabiashara ambaye hana Tuhuma hata huyo ndugu yako aliyefilisiwa kama ukitaka kuwa muwazi tuambie ukweli kwann ilifikia hapo lazima walidhulumiana