Sala ya Slaa na Kikwete-Ni balaaa

Sala ya Slaa na Kikwete-Ni balaaa

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,

Jina lako USANII MTUPU,

utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,

utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,

uwape WASTAAFU pesa zao,

uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,

Usitutie katika mikataba FEKI,

kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,

na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA

""IMANI YA CHADEMA""

Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.
Kama sikoei kuna kitabu kinaitwa "KUFIKIRIKA"
 
Ee JK Uliyetufilisi, Jina lako USANII MTUPU, utakalo lifanyike BAGAMOYO TU, utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani, uwape WASTAAFU pesa zao, uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA, Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele, na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani...

Ndimi Fr. Dr. Willbroad Slaa, AMEEEN
 
Hii sala mpatieni Mchungaji Slaa aipeleke kanisani, huko ndio kuna sala za ajabuajabu namna hii. watu hukop ni rahisi kufumba macho na kuitikia ameeen bila kujali nani anaombwa.

Sipendi watu wanaokurupuka na kuandika vitu bila kufikiria; wewe unasema "aipeleke kanisani huko ndio kuna sala za ajabu ajabu namna hii" unafikiri kanisani ni kama huko unakosali wewe ambako mnaomba mapepo na mizimu iwalinde..?? Acha kulitukana kanisa...!! Bora useme mahali kwingine but not kanisani au kwenye nyumba za dini za watu...!!!
 
SASA SALA HII INAMSAIDIA NINI MTANZANIA MLALAHOI??? ITS TOO VAGUE - HAISEMI MADHAMI YA MTU ALIYOFANYA KUWAUMIZA WATU MIOYO/MAISHA YAO KAMA:

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA
 
Sala ni nzuri ila kwa nini atakalo lifanyike BAGAMOYO? Je Bagamoyo ni ya kwake tu? Wana hatia gani wanabagamoyo wengine hata yawakute atakayo? Kwa nini hayo yasiinshie kwake tu?
 
Ayayayayaya,hii balaaa!!

SALA TULIYO FUNDISHWA NA YESU INA CHAFULIWA KIASI HIKI?????????????????????????????????????????????????????
 
Ingekuwa ndg zetu fulani pasingetosha, mbona wangeandamana kisa dini imekashifiwa! haya sie hatukashifiwi mpwa! sawa tu
 
Naona ukiweka JINA LAKO NA MAMBO YAKO SOUND!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA

Forwaded msg from mobile phone..!!
Pilato kwa hii, I SALUTE YOU
 
kama tuangekua creative katika maswala ya maendeleo ya nchi!!!!!!1
 
prayer1.jpg

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA

""IMANI YA CHADEMA""
Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.
 
na uache usen....e wako hapo mjengon kati watu tunaishi maisha magumu
 
Sipendi watu wanaokurupuka na kuandika vitu bila kufikiria; wewe unasema "aipeleke kanisani huko ndio kuna sala za ajabu ajabu namna hii" unafikiri kanisani ni kama huko unakosali wewe ambako mnaomba mapepo na mizimu iwalinde..?? Acha kulitukana kanisa...!! Bora useme mahali kwingine but not kanisani au kwenye nyumba za dini za watu...!!!

Usishangae kukuta mt2 kama huyo Ringtone ya cm yake ameweka "Kwetu pazuri ya Ambassador" si unajua wao hawanaga nyimbo Kishaz achana nae!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom