Sala ya Slaa na Kikwete-Ni balaaa

..... UNGEONGEZA HIVI..... na kuwanyima elimu ya kweli watoto wetu kwa kuwajengea magenge ya kujifunzia ujambazi na umalaya kwene kila kata zao!
 
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA

Forwaded msg from mobile phone..!!

Nitaiimba hiyo sala then ninaweka kwenye simu yangu ili iwe ringtone na nitaituma kwa kila ninayemfahamu.
 
Hii sala mpatieni Mchungaji Slaa aipeleke kanisani, huko ndio kuna sala za ajabuajabu namna hii. watu hukop ni rahisi kufumba macho na kuitikia ameeen bila kujali nani anaombwa.
Mungu akusamehe for u don't know what ur saying:confused2:
 
Hii sala mpatieni Mchungaji Slaa aipeleke kanisani, huko ndio kuna sala za ajabuajabu namna hii. watu hukop ni rahisi kufumba macho na kuitikia ameeen bila kujali nani anaombwa.

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,Jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,utupe leo mabilioni yetu ya EPA,uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani ,uwape WASTAAFU pesa zao ,uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA ,Usitutie katika mikataba FEKI, kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele , na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani ,AMINA

Lakini sala kama sala Imetulia nani safi sana kuisambaza kote kwa watanzania
 
Wakwele kwa Visasai utawaweza,Babu Seya naona keshazoea maisha ya uko
 
Hii Sasa Balaa: Sala Ya Baba Yetu Kikwete

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA

""IMANI YA CHADEMA""
Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.
 
Nyie watu angalieni kuna jamaa wa usalama humu!Ohoo tusije laumiana!
 
Hii ni sala kali,haya tusubiri majibu yake yatakuwaje maana aombae husubiri kujibiwa
 
Hii Sasa Balaa: Sala Ya Baba Yetu Kikwete

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA

""IMANI YA CHADEMA""
Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.
Haya maneno mazito sana; halafu ukibadilisha na hiyo avatar nitakutafutia zawadi nzuri mno, hata mke ukipenda,..., inatia kinyaa sana na kichefuchefu pia, yaani naichhukia avatar yako kama ninavyoyapenda mawazo yako!
 
.....Ingekuwa hivyo basi Jacob Zumo asingekuwa Raisi leo na pia Bill Clinton wangemtoa nduki kipindi kileeeeeeeeeeeeeee
 
Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA

""IMANI YA CHADEMA""
Tunamwamin Dk.WILBROAD mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU na si penginepo,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani, uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA
kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA
""IMANI YA CHADEMA""
Tunamwamin Dk.WILBROAD mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.

Ee KIKWETE Uliye tufilisi,
Jina lako USANII MTUPU,
utakalo lifanyike BAGAMOYO TU,
utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote Mahakamani,
uwape WASTAAFU pesa zao,
uwasamehe wafungwa hasa BABU SEYA kama ulivyomsamehe LOWASA,
Usitutie katika mikataba FEKI,
kwa kuwa UFISADI ni fani yako na uwongo hata milele,
na Uanguke kwenye uchaguzi ujao kama unavyoanguka hovyo jukwaani, AMINA

""IMANI YA CHADEMA""

Namwamin Dk.WILBROAD, mwana wa SLAA, Ndugu Yetu, aliyepitia vikwazo vingi kwa hujuma za CCM. Akateswa kwa kashfa za Ndoa, Akadhihakiwa, Akapingwa, Akaonyesha msimamo; Siku ya siku akasimama kwa kishindo; Akapaza sauti, Ameketi mkono wa kuume kutetea haki za Watanzania; Kutoka huko atakuja kuwahukumu mafisadi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom