Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,412
Halafu kwa akili hizi za kuwekeza kwenye maombi badala ya kuwekeza kwenye ujuzi na maarifa utakuta kuna pimbi anashangaa na kulaumu mtu mweusi kubaguliwa!
Watanzania, Kabla ya kupiga magoti kwa Muumba wetu atuepushie janga hili kwanza tujitathimini kama tumewasamehe wale wote tunaodhani walitukosea na kuwasweka kolokoloni...kuwajeruhi wengine kubakia vilema wa maisha na wengine kuuawa huku tukiacha familia zao zikilia machozi
Tukiyajutia haya kwanza ndipo twende mbele zake tumwombe atuepushie janga hili la corona...
Vinginevyo ni kumkejeli Muumba!! am not part of....!!
Ni Sawa na kuamini vifo vya Wachina mpaka Marekani wametilia shaka idadi hiyo haitoki kwenye 3000 na kitu.Hajui kitu huyo muelimishe,taarifa za Rwanda haziaminiki hasa kwenye takwimu
Sema wewe umeelewa nini basi. Sio kila jambo la kukosoa tuUmesoma ukaelewa kilichoandikwa na mtoa mada au umesoma tu kichwa cha mada ukakimbilia kucomment?
Ok, wacha iangamie tu. Kwa watu wenye akili kama zako dunia inabaki kwa ajili gani sasa!!Sasa kwenye issue ya corona mnaomba nini hapo?
Nyie waamini Mungu ndo chanzo vha kuiangamiza dunia hamjui tu
Sent using Jamii Forums mobile app