Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Sakata ya ugaidi dhidi ya CHADEMA: Shibuda, Sofia Simba watajwa

Sawa kabisa wengi hawayaamini haya unayoyaandika hapa wanafikiri mawazo yako ni mgando kama

wao hizo ngano za Tanzania Daima hata mtoto wa darasa la pili anazishtukiadah wadanganyika bwana!

We ndo boko haramu mfuasi wao ponda
 
Kauli ya Wassira kuwa CHADEMA itakufa kabla ya kuisha 2013 ndiyo mipango yao ilikuwa hii lakini yote imebuma Mungu yupo upande wa CHADEMA na wao wamebaki na Shetani

mungu yuko kwa wote sio chadema tu hizo akili za panya,chama chochote chenye udini na ukabila lazima kife tu
 
Fictitious story huwa haina upande wa ukweli kwa sababu ni mambo ya kufikirika bali pia huwa haisimami kwenye ukweli.

Huhitaji kuwa muhusika wa story kubaini kama kuna ukweli na uwongo ndani yake ndiyo maana ya kuipambanua mantiki na kusoma katika mistari.

This is pure mixture of truth and fiction.

Tukubali kutokubaliana.
Wale jamaa walikamatwa na polisi, wakahojiwa kwa muda mrefu tu, wakapelekwa vituo mbalimbali vya polisi hatimae wakafunguliwa mashitaka ya ugaidi! katika hatua hizo zote mimi na wewe hatukuhusika, walipoachiwa wakaeleza yaliyojili katika hatua mbalimbali za mateso yao, sasa iweje wewe usema hawasemi ukweli? Sasa kumbe ukweli ni upi? mbona huusemi?
 
Hujui au unajifanya kutokujua kama kuna kesi bado inaendelea mahakamani inayomuhusu mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa CHADEMA Taifa.

Subiri kesi ikianza kuunguruma ndipo utakapo funuliwa macho yako kwa vile kwa sasa hata ukiambiwa tazama huwezi kuona.
Wewe mbona unakuwa na matumaini katika vitu vya hovyo? Kesi iliyotupwa imedhihirisha kwamba polisi hawafanyi kazi kwa ueledi bali kwa mashinikizo ya Mwigulu Nchemba bingwa wa kupanga mauaji! sasa unataka kulazimisha kwamba kipande kilichobaki bado polisi waliokosa ueledi watashinda! ama kweli kutetea masilahi binafsi kunakufanya uwe mjinga kupita kiasi!
 
I am very much shocked na hii revelation n hatari .Hawa watajwa kuhusika kweli wana ndugu ? Watoto nk ? Kwa matendo haya usalama wa ndugu zao ukoje ? Hii hatari kubwa mno .Chadema na Mbunge wao inakuwaje ?
 
Mwandishi hilo Toilet paper anaitwa Isanga mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Singida na ananamba yangu ya simu ila hajanipigia!!!!!!
Mtela, mara ya mwisho ulipigwa ban hapa JF kwa kosa la uongo! bado unategemea tutakuamini tena? wewe umeshaolewa na mwanamme mwenzako muovu, jaribu kuivumulia ndoa yako na Mwigulu ndio mapenzi yalivyo mwanangu!
 
Kweli Mungu mkubwa! Hakika dhuluma zote zimewekwa hadharani. Shame on them.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hata kama wafuasi wa chadema wana akili finyu kwa mtazamo wako, mpaka sasa hakuna mbadala wa chama/kundi linaloonea huruma rasilimali na watu wa nchi hii zaidi ya CDM. Pia nguvu yetu iko katika msimamo kwamba, kura moja ya mwerevu na ya mwenye ufinyu wa akili zinalingana kimaamuzi. Mnaokula rasilimali za nchi hii hamuoni baya la CCM, dada zetu waliosoma siku hizi wanafanyiwa interview za kazi guest house' ni majanga. Wasomi waliotunzwa na kodi za wenye 'akili finyu' mmetusaliti. sasa tutawapa nchi wenye 'akili finyu' wenzetu
 
Kimsingi wazee sikilizeni niwaambie kitu.Polisi kwa sasa wanafanya UKATILI mwingi sana dhidi ya RAIA wake.Inafanya mambo mengi ya AJABU hata yale ambayo hutarajii yafanywe na binadamu POLISI wanafanya TU!!Nchi hii kwa sasa haina UTAWALA unaosimamia SHERIA kuna OMBWE la Uongozi.Raisi wala Waziri mkuu wake kwa sasa hawajui wafanye nini kila linapotokea jambo TETE??!!Wanakubali kila ushauri wanaopewa si tu na polisi peke yake ila hata washauri binafsi tu kama akina Mwigulu Nchemba,Lusinde na Capt.komba.Nasisitiza mambo yote haya yatokeayo yana mkono wa wakuu wote wa nchi hii.Nawasihi sana wana jf,njia pekee ya kuondokana na udhalimu huu ni KUONDOA kabisa mfumo na serikali hii ya CCM.Inashangaza kuona baadhi ya watu wanashabikia suala la mtu kuingiziwa chupa kwenye makalio,hili limefanya sana,hata kwenye kesi ya kasusura ilikuwa vivyo hivyo.Kimsingi ndugu zangu hakuna njia nyingine mbadala zaidi ya kuuondoa na kuondokana na utawala huu dhalimu.Siku hizi za karibuni umeshawahi kusikia WATUHUMIWA wa milipuko,tindikali na kupigwa watu WANAKAMATWA???!Nani kakamatwa kwenye mauaji ya Mwangosi?kuteswa kwa ulimboka na kibanda?,nani kakamatwa kwenye ulipuaji wa mabomu ya kanisa???!Mpaka hapo hujamjua muhusika tu?Huhitaji kuwa na Phd kujua mipango hii inapangwa tena na watu wakubwa tu.Tukitaka tuokoke lazima tujifunze kusema ukweli.Tunajadili mambo kwa ushabiki kana kwamba hatuishi Tanzania labla tuko nje ya nchi.Tutafakari na tuchukue hatua la si hivyo wote sisi wenye mawazo tofauti tutauawa sote!!Nchi hii si salama tena!!!!
 
Mtela Mwampamba sijawahimwona live, kabla sijaelewa kama ni mchumia tumbo nilikuwa namchulia kuwa role model wangu ila baada ya kufahamu mengi yanayomhusu nikachoka na ingawa niliendelea kuhisi huenda anaonewa mwisho wa yote ni pale Ben alipomwanika ndio nikajua exactly yeye ni nani, na hii ya juzi wakati wa uchaguzi wa kata nne A TOWN alipozusha kuwa Mpinga kahamia CCM ikafunga hesabu,. Simwamini hata aseme ananjaa ilhali najua hajala tangu juzi nitajua mwongo tu, usitumike sana, unatuaibisha ww na dadako CHONZA watu wa MBEYA. Huwa tuna simamia ukweli, embu jifunze kwa Mwakyembe japo yupo GAMBAZ lakini anadeliver, come on tena mnatumika na watu wasio na akili mwisho nanyi mnakuwa wa.ji.nga. Shem on u....
 
We have chosen dishonesty as a way of life. We are truly addicted to lying. It’s almost an automatic reflex. It seem telling the truth, being moral and good is near to impossible because we are not brave enough for that.

By living and dying dishonestly ,the politician are taking advantage of it.

Hii story ukiisoma kwa macho matatu utagundua kama ukweli umechanganywa na uongo mwingi kwa faida ya kibinafsi na kisiasa lakini wanasahau kama njia ya muongo ni FUPI.

Taifa la wananchi waongo hata serikali nayo itakuwa niya kiongo kiongo kwa vile serikali inatokana na wananchi hao hao waongo waongo. Kama wananchi hawabadiriki, hata serikali kutoka kuzimu au mbinguni ikiingia madarakani haiwezi kuepuka kazi za uwongo uwongo.

Wametengeneza story na Rajabu Kihawa ya ukweli na uwongo mwingi ili kuhakikisha Mh. Shibuda anafutika katika siasa za CHADEMA. Walikosa kwa muda mrefu sehemu ya kumpata kwa sababu ameamua kwa muda mrefu kuwa kimya kisiasa. Wanatafuta negative reaction zake ili wapate sehemu ya kuanzia kumsindikiza atoke nje ya mlango wa CHADEMA.

This is truly more than gutter politics.

Hapa inaelekea we ndiye MWONGO Na unataka kuchanganya watu.

Unalaumu uwongo lakini umeshindwa kuchambua uwongo ni upi Na ukweli ni upi!
 
Wale jamaa walikamatwa na polisi, wakahojiwa kwa muda mrefu tu, wakapelekwa vituo mbalimbali vya polisi hatimae wakafunguliwa mashitaka ya ugaidi! katika hatua hizo zote mimi na wewe hatukuhusika, walipoachiwa wakaeleza yaliyojili katika hatua mbalimbali za mateso yao, sasa iweje wewe usema hawasemi ukweli? Sasa kumbe ukweli ni upi? mbona huusemi?
Utakuwaje ukweli wakati hata hujasikia upande wa pili kwa maana kuwa wale wanaowatuhumu katika story yao. Ungeniambia kama unasimama kwenye PRESUMPTION kidogo ningekuelewa. Ukweli lazima usimamiwe na nguzo mbili ambazo ni msemaji na msemwaji. Ndiyo maana hata mahakama kuupata ukweli huwa zinatoa nafasi kwa nguzo hizo za tukio kutoa account zao kabla haijapima na kutoa uamuzi based on account and court experience(cases).

Mimi tu hii story yao inanifanya hata nisitake kusikia account ya upande wa pili kwa sababu imejaa mashimo kimantiki. Ndiyo maana nikasema, tukubali kutokubaliana kwa vile binadamu tuko tofauti kimaumbile na kiakili na hakuna kinachoharibika kwa vile swala ndiyo limeibuka na tutasikia zaidi mahakamani.
 
Back
Top Bottom