Sakata la ununuzi wa S-400: Marekani yaiwekea vikwazo Uturuki

Sijui kama una habari uturuki bado wanaikalia sehemu ya ugiriki,,katika jeshi la NATO uturuki ni ya pili baada ya US,,,,
Uturuki ni ya pili katika NATO kwa kipi??

Labda kwa askari wengi,

Ila sio kwa teknolojia wala military strength.
 
Dhana ya mapinduzi pale Turkey ni conspiracy tu. Erdogan amefanya mapinduzi fake ili apate sababu ya kuwatesa opponents wake.

Hakukuwa na mapinduzi wala nini?
Ni Sawa na sep 11 kule USA ILIKUA NI PRETEXT YA KUIVAMIA MIDDLE EAST.
 
Ivi Kufanya advance payment ndo amenunua??
Jiulize kwa nini mpaka sasa India amestack haendelei??

Hapo alikua ana test US resolve. Sasa sanctions kwa turkey ni onyo tosha kwa India na wengine wote.

Payment kalipa na mkataba umeisha sainiwa na delivery yote itakamilika 2025 subiri utaona!
 
Anabishana na ukweli huyo wala haikua nahaja yakuleta ushahidi kwamjuaji asiejua

Naona anakurupuka tu hafuatilii vitu hajui kwamba asimilia 60% ya silaha za india zinatoka russia,na nina muhakikishia sababu india na china wana beef basi USA itaruhusu india inunue hiyo silaha kutoka russia ili apambane na hasimu wake kama ilivyo bariki tu india kua na nuclear weapon
 
Hivi S_400 unazani inaweza msaidia chochote uturuki zidi ya USA.???
Marekani akitaka kuchukua uturuki anachukua mchana kweupe na hakuna wa kumzuia.
Uturuki hawezi simama na USA Hilo linajulikana, Ila S-400 ni game changer weapon.
 
Hela yako mwenyewe lkn unapangiwa cha kununua sasa ushindani wa kibiashara upo wapi,mpaka ukiona watu wanakimbilia products za Russia basi Russia wapo vizuri kwenye eneo hilo.
 
India haja nunua S-400 na hatanunua kamwe. Na vikwazo alivyo pewa turkey ni fundisho kwa wengine ili Wasi subutu.
Screenshot_20201224-085452.png
 
Back
Top Bottom