Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,221
- 57
Leo asubuhi nimesikia radioni kuwa nape ataingia kwenye kikao cha neki kama kawaida na kama mjumbe halali, kunamtu anaweza kunitafsiria
Ni kweli tulichelewa kupata taarifa kamili ya kilichijiri jana kwenye kamati kuu
Leo asubuhi nimesikia radioni kuwa nape ataingia kwenye kikao cha neki kama kawaida na kama mjumbe halali, kunamtu anaweza kunitafsiria
Nape hajafutwa ujumbe wa nec wala uanachama wa ccm bali kavuliwa uanachama wa uvccm na kuombewa ndani ya chama pia avuliwe nafasi zake za uongozi...hivyo yeye kapoteza nafasi zake za uongozi za uvccm lakini za chama bado anaendelea nazo mpaka hatima yake itakapojulikana baada ya kumjadili kwenye chama.Leo asubuhi nimesikia radioni kuwa nape ataingia kwenye kikao cha neki kama kawaida na kama mjumbe halali, kunamtu anaweza kunitafsiria
Nape hajafutwa ujumbe wa nec wala uanachama wa ccm bali kavuliwa uanachama wa uvccm na kuombewa ndani ya chama pia avuliwe nafasi zake za uongozi...hivyo yeye kapoteza nafasi zake za uongozi za uvccm lakini za chama bado anaendelea nazo mpaka hatima yake itakapojulikana baada ya kumjadili kwenye chama.
Lakini NAPE si ni mjumbe wa NEC kupitia UVCCM? Kama kavuliwa uanchama wa UVCCM maana yake hata nafasi yake ya ujumbe wa NEC kupitia UVCCM si imefutwa!? More clarification please...
lakini nape si ni mjumbe wa nec kupitia uvccm? Kama kavuliwa uanchama wa uvccm maana yake hata nafasi yake ya ujumbe wa nec kupitia uvccm si imefutwa!? More clarification please...
hakika hapa ni usanii mtupu, kwani hili halihitaji elimu kujua nini kinaendelea. Yeye nape ni mwakilishi wa uvccm kwenye kikao husika yaani nec, leo kama kweli kavuliwa uanachama wa uvccm inakuaje anakwenda kuwawakilisha hao hao kwenye kikao cha nec????????? Kama mwakilishi wao na wao wamemkataa uwakilishi wake pia ungekuwa batili hapa ni mchezo unachezwa na lengo ni kumzuia mwana mapinduzi wa kweli nape, ambaye ameweka wazi msimamo wake kuwa nchi kwanza chama next, hatma ya mafisadi hakika i ukingoni.....................................
hio sasa itahitaji marekebisho ya kanuni na katiba ya uvccm.kwa sasa katiba ya ccm inaelekeza sababu za kumvua unec mtu haziusiani na kuondolewa uanachama wa jumuhia....zaidi ya yote kumbuka Nape hakupigiwa kura na umoja wa vijana kuwa mjumbe wa nec bali ni mkutano mkuu wa ccm.Lakini NAPE si ni mjumbe wa NEC kupitia UVCCM? Kama kavuliwa uanchama wa UVCCM maana yake hata nafasi yake ya ujumbe wa NEC kupitia UVCCM si imefutwa!? More clarification please...
hio sasa itahitaji marekebisho ya kanuni na katiba ya uvccm.kwa sasa katiba ya ccm inaelekeza sababu za kumvua unec mtu haziusiani na kuondolewa uanachama wa jumuhia....zaidi ya yote kumbuka Nape hakupigiwa kura na umoja wa vijana kuwa mjumbe wa nec bali ni mkutano mkuu wa ccm.
hio sasa itahitaji marekebisho ya kanuni na katiba ya uvccm.kwa sasa katiba ya ccm inaelekeza sababu za kumvua unec mtu haziusiani na kuondolewa uanachama wa jumuhia....zaidi ya yote kumbuka Nape hakupigiwa kura na umoja wa vijana kuwa mjumbe wa nec bali ni mkutano mkuu wa ccm.
Nape hajafutwa ujumbe wa nec wala uanachama wa ccm bali kavuliwa uanachama wa uvccm na kuombewa ndani ya chama pia avuliwe nafasi zake za uongozi...hivyo yeye kapoteza nafasi zake za uongozi za uvccm lakini za chama bado anaendelea nazo mpaka hatima yake itakapojulikana baada ya kumjadili kwenye chama.
Hivi huyu NNAPE hana blog?

Fisadi Mtoto:Hapa naomba niweke sawa kwa upeo wangu na kwa jinsi ninavyojua NAPE ni mjumbe wa NEC kupitia UVCCM, hivyo kwa mantiki hiyo baada ya kuvuliwa uanachama UVCCM alipaswa kupoteza sifa ya kuwa mjumbe wa NEC, lakini kwa sababu ya umbumbumbu wa Makamba ametangaza kuwa atahudhuria NEC ama ndiko wanakusudia kumfuta na uanachama CCM hivyo ameamua kupindisha kanuni za Chma achake ili wakamchinjie mbali na huko au JK ameamuru aitwe huko ili naye atangaze kumrejesha UVCCM.