Sakata la Nape Nnauye na UVCCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gembe, Mar 20, 2008.

 1. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Heshima Mbele wana Bodi,

  Kwa tarifa ambazo nilizipa tangu last week na jana zilitoka katika Gazeti la MWanahalisi,ni kwamba yule Kijana Mtoto wa Rais ,Ndugu Ridhwani amekuwa akiendesha kampeni za kichini chini ili rafiki yake amabye anaitwa Benno Malisa achukue Uenyekiti wa UVCCM taifa,na vikao vya kampeni zao vimekuwa vikifanyika pale Rose Garden,

  Suala la Benno ambaye ni Mjumbe wa NEC kupitia Vijana kugombea uenyekiti wa UVCCM sio jambo baya na ni jema kwa sababu ni haki ytake,ila tatizo hili la kuhusika na mtoto wa Rais Kugombea ndio linaanazx akuleta picha mbaya.Kwanini wameeza kampeni mapema sana,Je wanatoa wapi pesa za Kampeni??sababu Benoo ni mwajiliwa wa Chama cha Mapinduzi.Tukilfumbia mamcho sula hili ndio mambo ya kagoda yanapoanzia,

  Naomba wanabodi kuanzia hivi sasa tuanze kufuatilia vikao vyao na kujua wapi wanatoa pesa na wametumwa na nani.

  Pia naomba tuwajadili kwa kina wale wote ambao wameonesha nia ya kugombea uongozi wa Uenyekiti UVCCM,nimeanisha majina hapa sabbu nimepewa majina hayo ndio wanaojipanga kwuania uongozi huo

  1.Benno Malisa
  2.Jerry Slaa
  3.Nape Mnauye
  4.Zamaradi Kawawa
  5.Mussa Mnyeti

  [​IMG]
   
 2. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gembe nimekusoma mkuu! Hakika inasikitisha maana kampeni za mapema mno na hasa kwa kuwa kampeni CCM ni pesa sasa kubwa wanazitoa wapi????????????????? na huyo wa Kawawa ni Zainabu Kawawa sio Zamaradi,Zamaradi nadhani ni dadaake....napumua ntarudi mkuu
   
 3. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Waheshimiwa wana wa nchi !

  Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia na kusikia yote yahusuyo UVCCM na kuchukulia kama ni heka heka za kampeni n.k lakini kwa kadri siku zinakwenda naanza kuamini kuwa kweli mtoto wa JK anamuandaa [Beno Malisa] kuwa Mkiti wa UVCCM Taifa huku yeye akijiandaa kugombea ujumbe wa baraza kuu, hakuna shida kwa mtoto wa kigogo kugombea nafasi yoyote ile ili mradi anayo haki kama Mtanzania kwa chama husika, tatizo langu ni lugha ambayo kijana mwenzetu (JK Jr) amekuwa akiitumia kuwa kwa gharama yoyte Beno ndiye Mkiti wa UVCCM kama tutanabisha atatumia lungu lake! lungu gani hilo?

  Nimkumbushe mtoto huyo wa Kigogo yaliyompata Nape Moses nauye katika uchaguzi mkuu wa Uvccm uliopita Cream ya vigogo ilikuwa ikimtaka Nape sisi watoto wa walala hoi tukasema no! tukamchagua Nchimbi kwa kura za kumwaga, sasa kama Ridhiwani anatamba kuwa yeye ndio Tanzania na yeye ndiyo UVCCM asubiri KILIMANI! He is not more Tanzanian than us N he is not more UVCCM than us.

  Naomba wadau wote muendelee kutujuza yote yanayojiri na hasa hao wanadhani tupo katika nchi ya falme kwamba wana uwezo wa kuamua jambo na likawa na si dhani kama Nchimbi atakuwa kwenye mkumbo huo na kama ni hivyo basi anawadaganya wenzie maana yeye binafsi ni kielelezo cha machungu ya vijana kupagiwa safu.

  Natoa hoja!
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  M-bongo Karibu JF na siasa zake!!...unauthibithisho na mtundiko wako ? ama nawe ni mgombea mmoja wapo wa UVCCM
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hapa utawapata wana CCM wenzio sisi wengine hatuhangaiki na rushwa na ufisadi wenu ndani ya CCM lenu. Endeleeni hapa wapo watakao kuja kukuhuza lakini hili ni swala lenu huna mtandao wa Kichama ukapeleka huko ?

  Ama kama una ujumbe mzito zaidi mwaga hapa Mtoto wa JK atakusikia maana anashinda hapa kusoma na kuchukua info kupeleka huko kwa Mzee wake na kwingineko.Lakini unapaswa kuwa jasiri uje kama mimi Lunyungu natumia majina yangu kwa uwazi useme na aelewe kwamba ni wewe unayepinga kauli zake .
   
 6. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #6
  Mar 21, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  sidhani kama taarifa hizi zina ukweli ..kwanni ukiangalia list hapo juu ...hata huyo binti wa kawawa ni rafiki wa familia ya rais..kimsingi wote waba nguvu sawa...

  kama ni maandalizi ya wanaotaka kugombea ni jambo la kila mmoja hapo juu ..kama kweli wana nia dhabiti sasa ya kugombea huwezi kukataza KITCHEN MEETINGS

  tatu mtoto wa rais anaweza kuwa na maisha binafsi ,,..ikiwemo kuwa na personal friends....na ni vugumu kudhibiti kwamba akiwa na marafiki zake kwenye informal meetings waongee nini....

  nadhani ni vema kusubiri kampeni rasmi zianze tujue atakuwa upande gani hasa ikizingatiwa kuwa yeye ni mjumbe wa mkutano mkuu..kuliko kufanya speculations.....
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Gembe mimi si mwana CCM wana mfuasi wa Chama chochote hili la CCM kulijadili litanisaidiaje ?
   
 8. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #8
  Mar 21, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna ubaya gani hasa kwa mtoto wa Rais kumfanyia kampeni rafiki yake? Ina maana ukishakuwa mtoto wa Rais basi ukae tu nyumbani. Ridhiwani ni mwanasiasa na ana haki ya kufanya siasa ikiwemo kumfanyia kampeni mtu yeyote anayeona anafaa kwa utashi wake. Tuache longolongo zisizo na kichwa wala mkia. I mean what is the exact problem here, are we becoming obsessed with witch hunting?
   
 9. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #9
  Mar 21, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  ....nyie wagombea mbona mnagonganisha mada ..mnakuja kasi mnakimbilia jambo forums ...siku zingine mko wapi...mnaona uchaguzi umefika mnaaza kupakana matope na kuyaleta hapa jambo forums ili tubariki ugomvi wenu wa uenyekiti....

  haya kila mmoja alete ushahidi wa tuhuma kwa mwenzake..tuchambue hatutaki kutumiwa!!!

  MOD tunaomba thread ya mbio za uenyekiti wa uvccm, ziunganishwe iwe moja[MBIO ZA UENYEKITI UVCCM]

  THEN tunamkomanyani giladi!!!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahahah hawa CCM balaa kweli wanataka kutumia JF kumalizana kwa kampeni chafu...ningewashauri wafungue JF yao ya mambo ya kichama wanatukwaza hapa sisi wengine tusio na chama chochote wala kufungamana na yeoyote..
   
 11. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #11
  Mar 21, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  mbongo ..duh post yako ya pili hii unakuja analia ..inaelekea umeingia jf mahsusi kwa ajili ya kuleta propaganda za ugombea wenu ..haya karibu..lete facts mwanangu!!
   
 12. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #12
  Mar 21, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Wewe M-bongo, pambana kwenye kampeni, acha longolongo. Huyu Ridhiwani kama anamfanyia kampeni Benno, kuna ubaya gani? Wewe pambana acha kuliakulia. Tena ukipambana ukamshinda mtoto wa Rais utajisikia vizuri maana utakuwa umeangusha kisiki sio, sasa unalialia nini? Kama huna hoja za kujiuza kwenye kampeni, omba upewa hapa JF kuna vichwa vimebobea hapa, na kuna wengine wapo kwenye timu ya Obama na Hillary:)
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hawa CCM ni wahuni Chama kizima hakuna mwenye nafuu .Wanafika mahali hata akili za kawaida zinawatoka wanaanza longolongo na kulialia .Mmezoea hongo mtamalizana .Sisi tuna waangalia sasa mnaumana wenyewe kwa wenyewe .Kiachama chenu mmejitengenezea wenyewe
   
 14. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #14
  Mar 21, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  ..na kila uchaguzi wa uvccm huwa lazima uondoke na mtu mwaka ule kina nchimbi walimroga au kumuwekea polodium IPYANA MALECELA ..sijui mwaka huu sadaka atakuwa nani!!!!
   
 15. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sijui chama kipi sio wahuni?Labda ungetuma mwelekeo!!
   
 16. R

  Ras-nungwi Member

  #16
  Mar 21, 2008
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .....mimi natabiri, nadhani mwaka huu sadaka atakuwa MMwanakijiji, mana amezowea kuwasema sana,
  Mzee M nafikiri ungeanza kuandika wasia huko...
   
 17. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani acheni kuwakatisha tamaa Gembe na M-bongo.

  Siasa hizi huwa ni tamu sana hapa JF na nimeshachukua glass yangu kubwa kabisa ya mbege kujiandaa na movie ndefu sana hapa.


  Gembe na Mbongo leteni story wakuu, nani amehonga na nani anatumia uchawi kama Nchimbi. Nikweli kuwa si makosa mtoto wa JK kujihusisha na siasa za vijana so get ready for the fight maana mtoto anayo pesa na jina la baba yake....

  taratanta.... taratanta.....
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mwk, lazima utakuwa umelewa maana hizi propoaganda si mchezo na mtoto Fisadi sijui atasimama upande upi!!
   
 19. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ushirombo,

  wewe acha tu haya yawekwe wazi maana kama alivyosema Gembe hapo juu ni kuwa yasipowekwa wazi ndio mwanzo wa kuwapata manazi kama Nchimbi...

  Gembe na Mbongo leteni news wakulu!
   
 20. M

  Mpendakwao Member

  #20
  Mar 21, 2008
  Joined: Mar 29, 2007
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima zenu Wakuu.

  Mh. Kitila Mkumbo,KUDOS!!!. Infact tunakoelekea sasa ni kubaya. Every Tanzanian has a right to participate in the democratic process of their country. Watoto wa the so-called Vigogo included.

  Namshauri mtoa hoja naye atafute mtu wake and let the ballot speak. Pesa za kampeni wanakozitoa can not be an issue unless you can prove beyond reasonable doubt kuwa wamefisadi mahali . Otherwise, speculation, allegation na accussation zisizo za msingi hazitufikishi popote.
   
Loading...