Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

FMES,Kichuguu,....

..hivi msiba wa Mzee Moses Nnauye[r.i.p] ni ulikuwa nyumbani kwa Mzee Makamba?

..nilidhani hizi familia mbili zipo karibu sana.

..nilitegemea Mzee Makamba atakuwa ndiye mlezi wa Nape Nnauye katika siasa na CCM.
 
yusufu manji anajiandaa kugombea ubunge wa kigamboni ndio maana anafadhifi timu ya yanga ya dar es salaam....watanzania wanashabikia tu bila kujua kwamba there is no free lunch in this world.

Mimi nadhani hata mfumo wetu wa demokrasia una mushkhelo mkubwa sana hasa ukizingatia upeo mdogo wa kuelewa mambo walionao watanzania. Unaposema atayepata kura nyingi ndiye awe kiongozi. Wakati wapiga kura walio wengi ni wajinga na hawaelewi hata wanachokifanya wakati wanapiga kura, unategemea kupata kiongozi wa aina gani? Tafakari!!


masaki,

kwa siasa yetu ilivyo, yusuf manji hana haja ya kujiandaa kugombea ubunge kigamboni. Isitoshe alishagombea ubunge 2005 huko kigamboni..akapita kwenye kura za maoni lakini nec (kama sijakosea) walitengua matokeo yaliyompitisha kuwa mgombea na kumuweka mbunge wa sasa.
 
Mkuu Joka kuu,

Wako akipotea na lako halipo,huu ndiyo unafiki wa watu tulio nao.
 
Mwanakijiji
Mimi jana nilihudhuria mkutano wa CUF sehemu ya mabibo,lilipotajwa jina la nape vijana walishangilia saana.Nafikiri uamuzi ukitoka wa comfirm kuvuliwa uanachama Nape,nafikiri consequences zake zitakuwa mbaya kwa ccm mithili ya Mrema Februari,1995.
 
mwanakijiji
mimi jana nilihudhuria mkutano wa cuf sehemu ya mabibo,lilipotajwa jina la nape vijana walishangilia saana.nafikiri uamuzi ukitoka wa comfirm kuvuliwa uanachama nape,nafikiri consequences zake zitakuwa mbaya kwa ccm mithili ya mrema februari,1995.


jiulize mrema leo yuko wapi? Nisingependa kabisa nape afuate nyazo alizopitaA mrema kwenda upinzani, abaki humo humo ccm amkome giladi kwenye vikao vyao hivyo hivyo.
 

jiulize mrema leo yuko wapi? Nisingependa kabisa nape afuate nyazo alizopitaA mrema kwenda upinzani, abaki humo humo ccm amkome giladi kwenye vikao vyao hivyo hivyo.


Anaweza kuhama vyama na bado akawa kama Raila Odinga,mbona hilo hulipi nafasi?
 
Mzee kata funua...


Nchimbi.jpg
 
Hii misuko suko ktk Nchi yetu watanzania shangilieni na kupiga makofi.

Somo moja kubwa sana kwa mwenye ambition na uongozi ili afanikiwe ktk uongozi wake.Nalo ni-

Ukiwa unatafuta uongonzi ma suppota na marafiki zako wote acha wakusapoti ukishapata uongonzi watupilie mbali kabisa mwanzomwanzoni tu.

Saa nyingine tunamlaumu JK kuchukulia hatua ma FISADI lakini kwa kweli ni ngumu.

Yani mfano MWL KITILA amekua RAIS harafu amchukulie hatua ZITTO ama JOHN ama MBOWE kweli ni ngumu kwanza wamesoma pamoja harafu ni marafiki wa pete na kidole.DUU

Hivyo nakusihii mwal KITILA siku utakapokua RAIS usiwaweke kabisa akina ZITTO ktk utawala wako ila unaweza wapa wakuu wa mkoa ama wakurungenzi.

Tukirudi kwenye maada.
Huyu NCHIMBI mbona ni Kijeba inakua je anaitwa kijana??

Ama Rais naye anaogopa koti kutundikwa hewani ? teh teh teh teh teh

Nape Komaa nao tu mpaka kieleweke
 
Hivyo nakusihii mwal KITILA siku utakapokua RAIS usiwaweke kabisa akina ZITTO ktk utawala wako ila unaweza wapa wakuu wa mkoa ama wakurungenzi.

hoja dhaifu... je na huko wakivurunda? yaani ukuu wa Mkoa na Ukurugenzi ndio umeviona vyeo vidogo sana... kazi kweli kweli
 
Hakuna kitu nitakachofurahi katika maisha yangu kama kuleta mageuzi tena yanayoambatana na kuisambaratisha CCM na Mafisadi wake,time will tell!
 
Utawala wetu uliobinafsishwa tunautaka,Rais asifikiri hatujui mchezo wake,asubiri muda ufike
 
hoja dhaifu... je na huko wakivurunda? yaani ukuu wa Mkoa na Ukurugenzi ndio umeviona vyeo vidogo sana... kazi kweli kweli


wakuu wa mkoa hakuna kitu kwanza wanakula pesa za bure hakuna wanalofanya.
 
Utawala wetu uliobinafsishwa tunautaka,Rais asifikiri hatujui mchezo wake,asubiri muda ufike


Atamaliza miaka 10 na duru lijalo atashinda kwa uhalali akiiba ataiba tu ili aongozee %.
Unajua wizi ni ugonjwa mtu mwizi akikosa cha kuiba huiweka shati lake mwenyewe na kulinyemelea harafu analikwapua anajidai kua kaiba shati.

Hivyo akiiba ataiba tu kwa kuwa ni ugonjwa ila Urais atashinda tuu kiuhalali, harafu ataenda kupumzika kwa maani.
 
wakuu wa mkoa hakuna kitu kwanza wanakula pesa za bure hakuna wanalofanya.

Kwa hiyo unataka Zitto, Mbowe na Mnyika "wakale pesa za bure" kwa kuwa watakuwa hawana la kufanya! Hoja nyingine bwana...
 
Kamati Kuu ya CCM imuweke kitimoto Lowassa?CCM hii ya mafisadi au chama kingine?Hivi ufisadi wa jengo la UVCCM ni mkubwa zaidi kuliko ishu ya Richmond au EPA?Mbona Kamati Kuu imefyata mkia?Au kama hilo halitosi,mbona fisadi Chenge bado anapeta ndani ya CCM ilhali ana skandali la vijisenti?
 
hapa kuna mambo mawili,moja ushahidi uliopo kwenye jengo la vijana ni wawazi zaidi kuliko ule wa richimonduli.
lakini kwa hili watawapiga chenga wana ccm wenzao.mkuchika kesha sema.
kwa ufupi hakuna jipya
 
Kwa hiyo unataka Zitto, Mbowe na Mnyika "wakale pesa za bure" kwa kuwa watakuwa hawana la kufanya! Hoja nyingine bwana...

soma maudhuhi sio maneno ,ndio maana humu watu wanabishana wee kwa sababu wanabishana na maneno sio maudhui.

kwa kukusaidia usiende mbali ni kuwaweka pembeni ktk serikali yako marafiki zako na kubaki viongozi wa chama.

wewe kama unataka tambua hilo fanya kajaribio kadogo fungua duka ama nunua gari umkabidhi rafiki yako kipenzi.kati ya 10 utapata 1 ama hakuna kabisa
 
Back
Top Bottom