kuna watu watavuliwa uanachama kama the real first strike ya JK... hapo ndipo maandamano yataanza kuzizima!
Mkuu sidhani kama JK anaweza kufanya maamuzi yoyote mazito.Tusitarajie kuona lolote kutoka kwa huyu mkwere.Butiama ilikuwa hivi hivi tukaishia patupu! ikaja ya Dodoma nayo ni ileile patupu na wananchi wakaandamishwa! na sasa hili la Nape nalo si JK labda cheche za wengine lakini siyeye.JK anachotaka ni kumaliza muda wake bila ya kuwa na adui yoyote yule ili aje aishi maisha ya raha na starehe baada ya uraisi.
kaka Wembemkali unamjua vizuri Mkwere xxxxx Jamaa hapendi kunyooshewa kidole xxxx mara nyingi hupenda lawama ziwaendee wengine lakini sio yeye xxxxx Nakumbuka alivyoonyeshwa Ripoti ya Mwakyembe,alitoa Go ahead,Lakini baadaye alijifanya kuwa nae alisikia Ripoti ile siku iliposomwa Bungeni xxxxx Tatizo la Mkwere pamoja na Urais wake,lakini wapo wengi anaowaheshimu na kuwaogopa xxxxxxx Kwa kuwa issue hii ya Nape inamuhusisha Lowassa, nawahakikishieni hakutokuwa na jipya......
FMES,Kichuguu,....
..hivi msiba wa Mzee Moses Nnauye[r.i.p] ni ulikuwa nyumbani kwa Mzee Makamba?..nilidhani hizi familia mbili zipo karibu sana. ..nilitegemea Mzee Makamba atakuwa ndiye mlezi wa Nape Nnauye katika siasa na CCM.
Matamshi ya wajumbe hao yanathibitisha kuwa Lowassa huenda akawekwa kiti moto na kujikuta kwenye wakati mgumu kunusuru nafasi yake kisiasa ambayo tangu mwaka 2008 uanze amekuwa akiporomoka toka nafasi ya uwaziri mkuu hadi Mbunge baada ya kuwajibika kutokana na makosa ya baadhi wa maofisa serikalini juu ya mkataba wa ufuaji wa umeme wa dharura wa kampuni ya Richmond. [/B]
1. Makamba majuzi kwenye CC alitaka wabunge wanaokosoa CCM waadhibiwe, akatukanwa kama mbwa na muungwana.
2. Nipashe wakasema Nape amekaangwa na mkataba wa jengo umepita, muungwana akamtwangia waya mengi kutaka kujua nani aliyewapa hizo habari wanazoziiita za CC,
-Muungwana akawalazimisha kuzifuta na kuomba masamaha na pia kumtaja aliyewapa hizo habari, they did kwamba ni Nchimbi anayewapa habari.
3. Muungwana akawapandisha kuwa mawaziri kamili washikaji wote wa Nchimbi kasoro Nchimbi tu!
4. Muungwana akairukia ishu ya jengo, hata kabla haijapitia vikao vyake kikatiba na kutafuta mawakili wa kuuchunguza mkataba, ambao taayari wameifahamisha CC majuzi kwa maandishi kuwa mkataba ni ufisadi! Na kila mjumbe anayo nakala!
5. Muungwana akamuamuru Nchimbi kwenda Dodoma, haraka kukutana UV-CCM ili waamue kuhusu jina la Nape! Yeye akaenda kupendekeza Nape afukuzwe uanachama!
Now ni vipi mafisadi wanaweza ku-pull this one up mbele ya macho yetu wote wananchi, my reading ni kwamba hakuna mtandao tena ila kuna kundi jipya la mafisadi likiongozwa na Lowassa, yeye mwenyewe ana wasi wasi mkubwa sana mpaka ameshatayarisha alternative ya mtu kuchukua nafasi yake kuliongoza hilo kundi incase something happens to him, swali kama what? Na Kwa nini ana wasi wasi hivi?
Mara ya mwisho muungwana alikuwa Lusaka, akaambiwa kuhusu kusimamishwa kwa Zitto bungeni na matokeo yake jinsi Zitto alivyojengeka kisiasa in one night, alipouliza nani anahusika akaambiwa Lowassa, kwa hasira tena akifoka sana alisema this should be an end to mtandao, the next step mamvi akapandsihwa ndege ya uchumi, waliomuona muungwana kwenye kikao cha CC majuzi wanasema hakuwa yeye wa kawaida,
Hivi karibu nimekuwa nikitumiwa ujumbe mwingi sana in private mzito kuhusiana na thread ya Nape na UV-CCM, tumetumia kila njia kuzi-trace hizo message zinakotoka, mpaka kwenye makampuni ya simu bongo, lakini ni dead end,
Mkuu Mamamia, ninajaribu kuamini kuwa muungwana anwaogopa mafisadi na haweiz fanya kitu, lakini my instinct inakataa kabisaa kwa hiyo nimeamua kuyaaminia maneno yako kuwa kuna moto utawaka huko.... lakini..... I do not know nina feeling kuwa uzi wa mwisho wa mtandao huenda ukakatwa this time, ikawa kila mtu na lwake!
Mtandao uliisha siku nyingi, ilichobaki ni official announcement na ninaamini inakuja this time, I mean mafisadi wakiweza ku-pull this one basi 2010 wametinga, maana huu ndio mtihani wa mwisho kwa muungwana, na believe me analijua hilo, tena sana.
kaka Wembemkali unamjua vizuri Mkwere xxxxx Jamaa hapendi kunyooshewa kidole xxxx mara nyingi hupenda lawama ziwaendee wengine lakini sio yeye xxxxx Nakumbuka alivyoonyeshwa Ripoti ya Mwakyembe,alitoa Go ahead,Lakini baadaye alijifanya kuwa nae alisikia Ripoti ile siku iliposomwa Bungeni xxxxx Tatizo la Mkwere pamoja na Urais wake,lakini wapo wengi anaowaheshimu na kuwaogopa xxxxxxx Kwa kuwa issue hii ya Nape inamuhusisha Lowassa, nawahakikishieni hakutokuwa na jipya......
Amekwisha na Lowassa amepanda na sasa anafaa kuwa RAIS WETU na Nape akamatwe na kuswekwa ndani huku wafadhili wetu kina Jeetu Patel, Yussuf Manji, Johnson Lukaza na wenzao watuchangie kufanya maandamano ya kuipongeza kwa uamuzi wa kishujaa na kihistoria kumteua Zuma wetu Lowassa
Mwawado, unataka kusema kuwa JK anamwogopa sana Lowasa? Mbona alimtapisha uwaziri mkuu kiulaini tu?
Ni kweli tulichelewa kupata taarifa kamili ya kilichijiri jana kwenye kamati kuu kwa kuwa kikao kilianza muda wa saa tisa mchana na kuendelea mpaka muda wa kufturu.then kikaahilishwa na kuendelea tena saa tatu usiku.ajenda zilizokuwepo ni pamoja na ubunge tarime,nafasi 30 za udiwani,taarifa za kazi,na jengo la umoja wa vijana...kama nilivyosema awali na kupingwa vikali na FMES ajenda ya Nape kwakweli haikuwepo kabisa na ila watu kama wawili walichangia hoja hio kwenye mengineo.....ajenda ya jengo la uvcm ilipitishwa na wajumbe wameafiki kuwa mkataba uendelee bila kipingamizi chochote kile.Jamani hata breakfast sijapata.niko jamvini nasuburi taarifa ya CC huko dodoma.vp wakuu bado tu?Maana uamuzi wa hapa ndo kioo cha either nchi hii ni kwa ajili ya wazalendo WATANZANIA au kwa ajili ya MAFISADI.
Sasa kumbe na wewe unachukua taarifa kutoka mtaani,mbona ulijifanya uko jikoni?
Kwa hiyo wamebariki ujenzi wa jengo la UVCCM? Maana yake ni Lowassa kapeta na Nape hana chake tena!!?