Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Jk ndio kwanza ameingia Dodoma jioni hii. Kwa hiyo bado ngoma mbichi kabisa Dodoma
 
Nape kauvaa mkenge ndio matatizo ya kutafuta umaarufu kupitia migongo ya watu. He is done kwisha kabisa nyang'anyang'a!
 
Nape kauvaa mkenge ndio matatizo ya kutafuta umaarufu kupitia migongo ya watu. He is done kwisha kabisa nyang'anyang'a!

Amekwisha na Lowassa amepanda na sasa anafaa kuwa RAIS WETU na Nape akamatwe na kuswekwa ndani huku wafadhili wetu kina Jeetu Patel, Yussuf Manji, Johnson Lukaza na wenzao watuchangie kufanya maandamano ya kuipongeza kwa uamuzi wa kishujaa na kihistoria kumteua Zuma wetu Lowassa
 
Amekwisha na Lowassa amepanda na sasa anafaa kuwa RAIS WETU na Nape akamatwe na kuswekwa ndani huku wafadhili wetu kina Jeetu Patel, Yussuf Manji, Johnson Lukaza na wenzao watuchangie kufanya maandamano ya kuipongeza kwa uamuzi wa kishujaa na kihistoria kumteua Zuma wetu Lowassa

Yusufu Manji anajiandaa kugombea ubunge wa Kigamboni ndio maana anafadhifi timu ya Yanga ya Dar es Salaam....Watanzania wanashabikia tu bila kujua kwamba there is no free lunch in this World.

Mimi nadhani hata mfumo wetu wa demokrasia una mushkhelo mkubwa sana hasa ukizingatia upeo mdogo wa kuelewa mambo walionao Watanzania. Unaposema atayepata kura nyingi ndiye awe kiongozi. wakati wapiga kura walio wengi ni wajinga na hawaelewi hata wanachokifanya wakati wanapiga kura, unategemea kupata kiongozi wa aina gani? TAFAKARI!!
 
Wewe makamba ujioni ulivyozeeka afadhali mwenzako nape aitaji starter


wewe mpaka wakupe starter ndio gari inawaka:::::waache watoto waondoe uchafu huo umo ndani!!!!!!ya chama msituaibishe chama chetu

n kama huamini subiri matokeo ya vikao huko dodoma ndio utaleta heshima

na manyangau wenzako wote lowassa na wnenginei mtaamini kumbe chama sio cha baba zenu ccm ni ya wote
 
That is the end of his political career, or it is the beggining of the end of his career. That how CCM goes, Nape is no body in CCM, CCM is the chain of strong Mafia. Sasa when you try to be a tycoon wakati career yako ni siasa then inabidi umuulize mzee Lamwai.

Pole nape, you need a day off.... Your career in politics is dead. Ushauri wa bure ni kwamba washamwaga mboga just mwaga ugali... Just go public and tell us kwamba Jk ni kweli amekula pesa za EPA, nenda katueleze Rostam kaiba nini... Washakufukuza, it is the mess... Just blow the sh*******in public

jamani kwanza muelewe kitu kimoja kumfukuza ni nafuu sana kwake,hivi kuna nani asie jua Nchimbi style ya kuwachifupa, kuwakolimba na kuwa ipi malechela watu wanao katisha anga zake, huyo mtoto ashukuru sana kufukuzwa na naamini na yeye anajua kuwa kwa NCHIMBI naweza kukuslice wakati wowote
 
Lowassa, Nchimbi kuwekwa kitimoto


Na Mwandishi Wetu

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inaendelea na kikao chake mjini Dodoma leo baada ya kile kilichoanza wiki iliyopita jijini Dar es Salaam kuahirishwa kwa sababu mbalimbali yakiwemo majukumu ya nje ya nchi ya Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.


Moja ya agenda zinazosubiriwa na wanachama wengi ni ile ya utata wa mkataba wa ubia wa jengo la umoja wa vijana wa CCM (UVCCM), ambao inadaiwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini wa jumuia hiyo, Edward Lowassa alisaini bila ridhaa ya wajumbe wenzake na pia hauna maslahi kwa jumuia hiyo.


Wajumbe sita (majina tunayahifadhi) wa kamati hiyo waliozungumza na gazeti hili muda mfupi kabla ya kuanza kikao hicho, wamesema kuwa hawatakuwa tayari kumlinda mtu hata kama ni maarufu kiasi gani endapo itabainika hakufuata taratibu katika kulinda maslahi ya chama na jumuia zake.


Matamshi ya wajumbe hao yanathibitisha kuwa Lowassa huenda akawekwa kiti moto na kujikuta kwenye wakati mgumu kunusuru nafasi yake kisiasa ambayo tangu mwaka 2008 uanze amekuwa akiporomoka toka nafasi ya uwaziri mkuu hadi Mbunge baada ya kuwajibika kutokana na makosa ya baadhi wa maofisa serikalini juu ya mkataba wa ufuaji wa umeme wa dharura wa kampuni ya Richmond.


Wakizungumzia kuhusu mradi wa jengo la vijana mmoja wa wajumbe hao alisema kuwa, wataangalia kwa makini na kwamba hii si mara ya kwanza kuangalia miradi ya jumuia na kuwawajibisha wale wote waliohusika na kusisitiza kuwa kiboko kilichotumika kwa viongozi wa UWT Taifa kuhusiana na mradi wa jengo lililopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi kitatumika kwa viongozi wa vijana endapo walifanya makosa.


"Hatuwezi kuwa na vigezo tofauti, kama makosa yamefanywa iwe kwa mwanachama wa kawaida au maarufu hukumu kichama ni ile ile na hatukuanza leo. Ikumbukwe huko Nyuma kamati kuu iliwahi kuvunja Baraza Kuu la jumuia hiyo na kumvua nyadhifa zote Mwenyekiti wake wa Taifa," amesema mjumbe huyo mwandamizi wa kamati hiyo.


Kutokana ma kauli hiyo Lowassa na Mwenyekiti wa Taifa wa jumuia hiyo, Emmanuel Nchimbi wanaweza kuwajibishwa endapo kamati kuu haitaridhishwa na maslahi ya ubia aliotiwa saini Januari 2, 2007 na Mwenyekiti wa baraza la wadhamini, Lowassa.


Aidha wajumbe hao wamesema kuwa agenda ya mradi wa vijana ni tofauti na kujadili majina ya walioomba kugombea nafasi za uongozi wa jumuiya hiyo katika ngazi za taifa hivyo hawatakuwa tayari kuunganisha agenda hizo kwa pamoja kila kimoja kitatolewa maamuzi yake kufuatana na maelezo tena ya kina.


Suala la Lowassa limekuwa gumzo kubwa hivi karibuni kutokana kukumbwa na tuhuma zilizoelekezwa kwake na mgombea wa kiti cha uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Nape Nnauye ambaye amefukuzwa uanachama wa umoja huo juzi.


Baraza Kuu la UVCCM juzi lilimvua uanachama Nape katika kinachodaiwa kuwa ni kukiuka maadili ya chama pamoja na kumwengua rasmi katika kinyang'anyiro cha kuwania uenyekiti wa umoja huo katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika baadaye mwaka huu.


Nape amekuwa gumzo kubwa katika uchaguzi huo kutokana na kulipua alichokiita bomu la ufisadi kuhusu mradi wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM jijini Dar es Salaam ambapo alidai Lowassa alisaini mkataba wa mradi huo kinyemela.


Kijana huyo amekuwa akiwataka mwenyekiti wa UVCCM anayemaliza muda wake, Dk. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu, Kaimu Katibu Mkuu, Francis Isaac na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, Edward Lowassa wawajibishwe kwa kupitisha mradi ambao anadai hauna
 
Tuone kama kibao kitageuzwa kwa Nchimbi na Lowassa na hivyo Nape kuibuka kidedea katika vita dhidi ya mafisadi.
 
kuna watu watavuliwa uanachama kama the real first strike ya JK... hapo ndipo maandamano yataanza kuzizima!
 
kuna watu watavuliwa uanachama kama the real first strike ya JK... hapo ndipo maandamano yataanza kuzizima!

Labda, lakini huyo JK hana ubavu, muoga sana anajua wakiamua kulala naye mbele basi hata 2008 hatamaliza. Maana wanamjua nje na ndani.
 
kuna watu watavuliwa uanachama kama the real first strike ya JK... hapo ndipo maandamano yataanza kuzizima!

JK ana ujasiri wa kumvua mtu uanachama? Au ataendeleza yaliyoanzishwa na baraza la UVCCM? The clock is ticking by a minute, second.....
 
Wakuu mlioko Dodoma tunaomba updates.Sasa tutajua mwendawazimu ni nani?
 
Hivi hii story nayo inaqualify kuwa Breaking News?

Anyway, Jamaa wanatuzuga tu tumewazoea hawa, ila hatuna cha kufanya.
 
Back
Top Bottom