Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM



1.
kwanza si kweli kuwa Nchimbi alifeli darasa la saba na kwenda kusoma sangu,bali Nchimbi alikwenda kusoma Uru seminary ambako uko alisoma na kina Dk cyril Chami,ANtony Komu,Josephat Kweka etc...

Muongo mkubwa wewe, Seminary zilikuwa ni shule za private kama zingine zote, infact zilikuwa ni shule za watu wanatayarishwa kuwa mapadri, lakini otherwise zilikua ni shule za private ndio maana aliaomaua kutokuwa padri ilibidi ahamie shule ya Private ya Sangu kwa sababu asingeweza kukubaliwa na shule ya serikali, hapo peke yake huo ni uongo mkubwa sana mkuu.

mimi sijawahi kusikia mtu amepasi darasa la saba anatakiwa kwenda seminary, ninajua watu karibu wote walifeli la saba ndio waliokuwa wanakwenda seminary, unelss tu some cases ambapow azazi wao walitaka wasomee upadri kwa hiyo kwenye hilo mkuu wavunge wengine sio mimi!

2.
wakwti ule shule za seminary zilikuwa ni bora kuliko za serikali na hata inerview yake watu wajinga kama wewe walikuwa hawawezi kupass.

Mkuu mimi nilisoma Primary School Jamhuri, Mnazi Mmoja pembeni ya Cameo Cinema, nika-pass na kwenda kusoma Kwiro Secondary School, shule ya serikali form one -form four, kwa hiyo mujinga hapa ni wewe ambaye hukupass na kwenda kusoma Sangu kama Nchimbi.

Yaani kama kuna maana ya neno mjinga sijui nitakuitaje bro, maana nasikia hata kutapika if I have to go kwenye hiyo avenue ya wewe na ujinga, eti ulienda kwenye mkutano wa watu wenye akili kuhusu EAC ukijatambulisha kuwa wewe ni Law-enforcement? Unajua mpaka leo watu huwa hawaishi kucheka na kwamba sasa wewe ni Homeland Security? Bwa! ha! ha! ha! ah! ha ! nasikia wakati mwingine huwa unakuwa FBI bwa! ha! ha! ah! ah! mara bongo usalama bwa!ha!ha!ha!ah!

Mpaka utakpojifunza kuandika lugha za kistaarabu, this time nitakufundihsa adabu.

hii ndio elimu suspect ya Nchimbi:-

Sangu Secondary School Secondary Education 1989 1990 SECONDARY

Uru Seminary Secondary Education 1987 1989 SECONDARY

Oysterbay Primary School Primary Education 1980 1986 PRIMARY
 
Wakuu Ben na FMS mimi naamini mafisadi wamepandikiza mbegu humu JF ili waje wakwamishe mapambano lakini sote tunaamini wao wachache na ni hatari sana hapa JF na katika jamii yetu.
Tutashinda tu hivi vita dhidi yao nguvu ya umma ina nguvu sana kuliko nguvu zao za fedha sisi tutaendelea kukabiliana nao tu mpaka kieleweke...
 
wewe mwenye akili kama zaako ndio unaweza kuwa against mtu hapa ndani.mimi niko against mawazo ya mtu.pale anapokuwa amewaza sahihi namuunga mkono.kwa sasa Nchimbi yuko sahihi kama vile nilivyounga mkono CHADEMA kumsimamisha Marehemu Chacha Wangwe kwa kuvujisha siri za chama na kuongelea matatizo ya ndani kwenye magazeti jambo ambalo linaumiza chama.

Lakini ndugu yangu, mbona NAPE aliyosema JK ameyaunga mkono?. Nani anasema ukweli? JK(aliyesema kuwa utaratibu wa lile jengo ulikuwa na mushkeli kidogo) au Makamba?

Mawazo gani sahihi. Hiyo ni siri kuwa watu wamefanya deal chafu? unataka hiyo isivujishwe kwa sababu ni siri?

Haya mkuu nimekupata
 
Nape has my support and a lot of us who want to see things transparently. Kabla hawajamwona kuwa amekiuka taratibu, wao waweke mambo ya jengo wazi ili sisi turidhike kuwa alisema uongo. Ukiona mtu mzima anakaribia kuaibika anatumia silaha ya mwisho kukuambia ---huna heshima, umekiuka maadili, nk Lazima Makamba ana lake jambo vijana mshikamano kuyakabili haya maovu. Jipu lazima litumbuke....kuweza kupona.
 
Nimemsikiliza Nape kwenye mahojiano na KLHNEWS.

Ni dhahiri kijana Nape amekomaa kisiasa; anaonekana ana nia ya kweli ya kuleta mabadiliko ndani ya CCM. Akifanikiwa basi atakuwa ameleta mabadiliko Tanzania.

Pia, mahojiano hayo yamenipa uelewa mzuri kwa nini Nchimbi na hao wazee wa CCM wakina Kingunge, Makamba etc hawamtaki.

Nitasikitika sana iwapo Kamati Kuu ya CCM Taifa itamkana maana watakuwa wametuma ujumbe mchafu sana kwa viongozi wote wa chama chao na maadili ya viongozi wote wa serikali Tanzania. Watakuwa wamepoteza dira katika kuiongoza Tanzania moja kwa moja, hasa katika kipindi hiki cha mabadiliko ya kifikra.

JK na Kamati Kuu lazima watume ujumbe mzito kwa yoyote yule Tanzania kuwa ufisadi hauna nafasi ndani ya chama na serikali. Hii ni nafasi yao; natumai wataitumia vema.


Kijana anastahili kupewa moyo ili aende sambamba na mafisadi ndani ya CCM kwa faida ya Tanzania.
 
Makamba of all pipo. Makamba ambaye mpaka jiji la Dar linaitwa jiji la Makamba.

What has gone wrong?, alifanya vyema sana alipokuwa jijini. Kuna kitu.

Kweli nguvu kubwa sana zinatumika kumuua NZI.

KWANINI? Phil nakubaliana na wewe. Something is wrong..
 
Wakuu Ben na FMS mimi naamini mafisadi wamepandikiza mbegu humu JF ili waje wakwamishe mapambano lakini sote tunaamini wao wachache na ni hatari sana hapa JF na katika jamii yetu.
Tutashinda tu hivi vita dhidi yao nguvu ya umma ina nguvu sana kuliko nguvu zao za fedha sisi tutaendelea kukabiliana nao tu mpaka kieleweke...


Mkuu Fidel,

Naamini tutashinda,Unajua wamechukizwa sana na jinsi huo uamuzi wao ulivyochambuliwa hapa jana.Leo naona waganga njaa wao wanakuja hapa ku-spin.Hapa moto utawaka,wabaki huko huko kwenye Genge la wahuni.Hapa ni mapinduzi Daima,tunaanza na mapinduzi ya fikra then hapo kazi itakua rahisi kuipeleka Tanzania yetu kwenye Neema.

Kuna wale waliojiona Miungu watu wa kupiga hata parapanda ya mwisho,through this Esteemed Forum we are going to prove them Wrong.

Kwanza hapa kuna wakuu wenye itikadi tofauti lakini linapokuja suala la mabadiliko makubwa yanayohitajika kulikomboa taifa letu tukufu,baadhi yetu huwa tuna-compromise for the interests of our beloved Motherland.

Mkuu FEMS na wakuu wengine tumetofautian sana kutokana na interest zetu kulalia ktk vyama tofauti but kwa hili la maslahi ya Taifa tumekua tukisimama pamoja.Salute kwenu wakuu.


Mafisadi watahangaika sana na fedha zao,lakini ipo siku watajikuta under house arrest halafu wananchi tuichukue nchi yetu.Hapo ndipo ukombozi wa kweli utakaposhangiliwa kwa vifijo na nderemo,watanzania kwa mara ya kwanza tutaandika katiba mpya itakayorahisisha utawala,na huo ndio utakua mwisho wa ufisadi maanke hata sheria zitasema ufisadi ni kosa la juu katika kuhujumu uchumi na adhabu yake ni kifo au kifungo cha maisha gerezani.Hizo ni salamu kwao
 
Makamba of all pipo. Makamba ambaye mpaka jiji la Dar linaitwa jiji la Makamba.

What has gone wrong?, alifanya vyema sana alipokuwa jijini. Kuna kitu.

Kweli nguvu kubwa sana zinatumika kumuua NZI.

KWANINI? Phil nakubaliana na wewe. Something is wrong..



Makamba kinacho mponza ni njaa yake ana njaa sana mzee huyu yaani haridhiki sijui vp mzee wetu huyu.........Manji alimpiga tafu sana kipindi kile lakini ndo hivyo tena bado pesa ya serikali anakula na ya chama anakula sijui tamaa gani hii?
Yaani njaa kama minyooo afadhali minyoo inashiba njaaa kama Nzige duh....njaa zao ndo zinawaponza sana hawa watu ndo maana wanaunda mizengwe na fitina juu.
 
Wakuu,

Hata kwenye Nipashe naona waziri mkuu mstaafu ndugu Cleopa Msuya amecomment na kusema huo uamuzi ulikua wa jazba? Sasa kazi kweli kweli,je akina JK wata-support maamuzi ya jazba na kizebu zebu cha akina Nchimbi? Nadhani hapo sasa wao wanaweza kuonekana vichaa zaidi ikiwa wata-support hayo mapendekezo ya jazba.
 
That is the end of his political career, or it is the beggining of the end of his career. That how CCM goes, Nape is no body in CCM, CCM is the chain of strong Mafia. Sasa when you try to be a tycoon wakati career yako ni siasa then inabidi umuulize mzee Lamwai.

Pole nape, you need a day off.... Your career in politics is dead. Ushauri wa bure ni kwamba washamwaga mboga just mwaga ugali... Just go public and tell us kwamba Jk ni kweli amekula pesa za EPA, nenda katueleze Rostam kaiba nini... Washakufukuza, it is the mess... Just blow the sh*******in public
 
Mkuu FEMS na wakuu wengine tumetofautian sana kutokana na interest zetu kulalia ktk vyama tofauti but kwa hili la maslahi ya Taifa tumekua tukisimama pamoja.Salute kwenu wakuu.

Mkuu Ben,
Hili nami linanipa faraja sana kuwa na mshikamano mmoja katika kupigania maslahi ya Taifa lakini waliopo kwenye kundi la warafi na wachoyo wanaojimilikisha nchi kama yao tunawagundua taratibu pindi tunapo pigania haki za wanyonge na haki za kila mtu.

Mafisadi watahangaika sana na fedha zao,lakini ipo siku watajikuta under house arrest halafu wananchi tuichukue nchi yetu.Hapo ndipo ukombozi wa kweli utakaposhangiliwa kwa vifijo na nderemo,watanzania kwa mara ya kwanza tutaandika katiba mpya itakayorahisisha utawala,na huo ndio utakua mwisho wa ufisadi

Hawa mafisadi ni wachache sana kwa nini tuwashindwe???
Na hao wanao jiita wapambe wao nao ni wachache mno ukilinganisha na sisi wapiganaji...hii vita tutashinda tu mpaka kitaeleweka tu....Cha mhimu ni umoja na ushirikiano na kuwakana hawa warafi na wapambe wao tuone wapi watakimbilia?
 
Just in Halmashauri Kuu ya UVCCM inayokutana Dodoma imemvua Uanachama wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu Nape NNauye kwa sababu nyingine ikiwamo utovu wa nidhamu...wengine wenye habari zaidi watufahamishe zaidi.

I am confused completely, why such a huge punishment to Nape? Did they punish him because what he said was wrong or because he used the wrong channels to deliver the right message? I think that is a strong message to the outspoken MPs like Mama Anne Kilango, Dr. H. Mwakyembe and the likes.
 
That is the end of his political career, or it is the beggining of the end of his career. That how CCM goes, Nape is no body in CCM, CCM is the chain of strong Mafia. Sasa when you try to be a tycoon wakati career yako ni siasa then inabidi umuulize mzee Lamwai.

Pole nape, you need a day off.... Your career in politics is dead. Ushauri wa bure ni kwamba washamwaga mboga just mwaga ugali... Just go public and tell us kwamba Jk ni kweli amekula pesa za EPA, nenda katueleze Rostam kaiba nini... Washakufukuza, it is the mess... Just blow the sh*******in public

Na dawa ya CCM ndiyo hiyo tuu.Wakimwaga Mboga,Mwaga ugali.Halafu uamue kupambana nao waziwazi hadi wakufukuze wenyewe uanachama.Wasijekua wanataka kumfanyia aliyofanyiwa Napoleon kwa sababu umaarufu wake uliku ni tishio kwa waliokua juu yake,naye afanye siasa za Ki-napoleon.Si chama chake pia kinajitangaza kuwa cha Mapinduzi lakini chenye kutenda kinyume na vyama vya aina hiyo duniani linapokuja suala la maslahi ya kitaifa.

Hilo kundi la mafioso lazima lishindwe na kulaaniwa kwa nguvu zote
 
Ninakumbuka mtu mmoja wa karibu sana na Nape aliwahi kuniambia kwamba Nape ni mwanasiasa mzuri sana. Ila tatizo kubwa atalokumbana nalo huko mbeleni ni kwamba, alibugi stepu mwaka 2005 wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM....Yeye hakuwa mwanamtandao, na ni dhahiri kabisa kwamba alikuwa kwenye kambi ya Sumaye...!!!

Ndio maana naona watu waliokuwa kwenye mtandao wanakuwa na kiburi cha kumwita mwendawazimu hadharani kwa kuwa wanajua kwamba Nape si kijana wa JK. Makundi yaliyojitokeza ndani ya CCM wakati wa uchaguzi wa mwaka 2005 bado yapo, japo chini chini na wanajuana kwa sura kama ilivyo kwa Wapemba na Waunguja!!!

Msishangae hiyo CC na NEC pia wakapitisha huo uamuzi wa UV-CCM! Tusibiri tuone!
 
Mkuu Ben,
Hili nami linanipa faraja sana kuwa na mshikamano mmoja katika kupigania maslahi ya Taifa lakini waliopo kwenye kundi la warafi na wachoyo wanaojimilikisha nchi kama yao tunawagundua taratibu pindi tunapo pigania haki za wanyonge na haki za kila mtu.



Hawa mafisadi ni wachache sana kwa nini tuwashindwe???
Na hao wanao jiita wapambe wao nao ni wachache mno ukilinganisha na sisi wapiganaji...hii vita tutashinda tu mpaka kitaeleweka tu....Cha mhimu ni umoja na ushirikiano na kuwakana hawa warafi na wapambe wao tuone wapi watakimbilia?

Maneno mazito hayo mku Fidel,

Angalao tukianzia kusimamia maslahi ya taifa hivi
na kuweka itikadi kando wakati mwingine,basi ushindi upo upande wetu.

Nakumbuka tulipojiunga hapa kulikua na unazi wa vyama iliopitiliza,lakini kutokana na mapambano ya fikra kushika kasi hali ilibadilika na watu waitikadi tofauti wakasimamia lile lenye maslahi na taifa tu.Naamini hata huko vijijini wananchi wakipata elimu ya kutosha ya uraia basi Taifa hili litakua limepona,hapo sasa ndipo tutaweza kusema safari ya Demokrasia ya kweli imeanza,na itakua ngumu sana kwa mtu kuja kuwa rais eti kwa 80% ya kura.


Kwa kweli hebu tupambane na hawa maadui wakubwa wa Taifa hili,Mafisadi hawa ni hatari na wanachukiza hata kuliko Idd Amini.Hebu tupambane nao kwa uwezo wetu wote.Wakitutisha basi rejea huu moto wangu hapa chini na tuendelee na mapambano makali.Wananchi twaitaka Nchi yetu,twaitaka haki yetu.We are Proudly Tanzanians!
 
Sorry Masaki,

Nilikuona online wakati naandika ukawa umesha sema. Nakuaminia mzee wa data.

Sijui Halisi yupo wapi atupe mpya za huko!
 
Yap,Nape si mtandao lakini ile spirit ya umoja kwa kuzika makundi after election iko wapi? Hili kundi la Mtandao bado linajiona kuwa na hati miliki ya mamlaka? No,huu ni uhuni.
 
Masaki,

Naomba tathmini yako mkuu on this.

Asante

FairPlayer,

Tathmini yangu katika hili ni kwamba ni kweli Nape si mwanamtandao na hayo makundi ya wanamtandao na wasio wanamtandao bado yapo ndani ya CCM. Bora basi asingekuwa mwanamtandao na asiwe upande wowote ule, lakini alikuwa upande wa Sumaye kwenye mchakato wa 2005.

Njia aliyoitumia Nape ya kufichua ufisadi imekuwa sahihi kwake na imembeba sana! Ila watu wanasahau kwamba Nape si mwanamtandao, ni kijana wa Sumaye na hatujui Sumaye anafikiria nini kuhusu uchaguzi wa 2010 (japo alishasema hagombei tena).

Ndio maana nasema CCM - Mtandao wanatumia kila njia kuhakikisha kwamba Nape hawi kiongozi wa juu ndani ya UVCCM. Ikumbukwe kwamba UVCCM huwa ina nguvu sana katika kupigia debe wagombea urais wakati wa mchujo wa ndani ya chama. Na ikibidi hawataona hatari kumfukuza uanachama!
 
In CCM; Mtandao is everything. Nadhani hata JK mwenyewe ameshindwa kuuzima. Atahubiri sana lakini mtandao unabakia palepale.

Kama rais ameshindwa NAPE ataweza?
 
Back
Top Bottom