Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Huyu ndo anafaa kuwa kiongozi wa Vijana CCM ameonyesha nini anakitaka.
Sasa tatizo anazungukwa na mifisadi mipapa sasa sijui kama kweli atapona huyu kijana ila tunacho takiwa ni kumwombea tu apate kinga tunaweza kusikia ooh mara BP mtu katoweka hivi hivi kwani kagusa kwa mle mle mwa mafisadi.Tayari akina Makamba wanamponda wanadai eti angepeleka hizo shutuma kwenye vikao vya Chama na yeye Nape anajua hilo...Labda kijana kaona process yake itakuwa ndefu sana ndo maana kaamua kulipua kabla jengo halijaisha kabisa.
 
Miye naona mwacheni Ridhi-1 ajikaange mwenyewe. Hakuna cha kushangaa kwa CCM (chama cha mafisadi-nduzi) kwani, kama Katibu Mkuu wake (Kamba Nyingi) ni 'graduate' wa Wasema Ovyo (Waropokaji) badala ya kuwa Graduate wa Uchumi na Utawala kama vilivyo vyama vingine makini duniani, itakuwa ajabu kwa mtoto wa msanii kuongoza mtoto wa chama cha mafisadi (uv-ccm). Huo ni mwanzo wa mwisho wa chama hicho chenye mwelekeo wa kuturudisha kwenye zama za utawala wa imla wa kifamilia (usultani/ufalme).
 
As crazy as it may seem what he has done jus might work especially amidst this wind of change that seems to be sweeping through.. Also ccm ni chama kilicho jaa makundi therefore he may get enuff support on this, problem is can he substantiate what he is saying???
 
Haya mambo ndugu zangu tunachukulia mzaha. Na mzaha na hewala ndio zimeifikisha Tanzania na sisi wananchi hapa tulipo sasa.
Miaka ya nyuma(Nyerere) sikuwahi kufikiria kama kuna siku Kikwete na Lowasa watakuwa viongozi wa juu serikalini......lakini sikuwa sahihi,kwa kuwa hewala na mzaha ulikuwa mwingi. CCM inajichukulia kama ndio SERIKALI YA TANZANIA na wala si CHAMA TAWALA. Kuna mambo mengi tu ambayo sisi WANANCHI tuliyafumbia macho na sasa hivi yanatufikia shingoni.
Suala la huyu bwana Ridhiwani lisitupotezee mwelekeo wa kudeal na CCM na Uongozi wa Tanzania. Tusipofanya mchezo CCM itakuwa madarakani kwa karne nyingine ijayo....na sisi kina kajamba nani tukaendelea kugombana wenyewe kwa wenyewe....huku wachache wakifaidi nchi.
Tusisahau kwamba there is such a thing as DYNASTY.....kwa hiyo tusishangae huyo Ridhiwani akaja kuwa Rais katika siku za usoni.
George W. Bush alitayarishwa na baba yake na wafanyabiashara wa mafuta Texas kwa Urais....na wengi tulibisha sana suala la yeye kuchaguliwa.
Well alikuwa Rais kwa term mbili(8yrs) na kuivuruga Marekani hapa tuliko.
Tuwe makini ndugu zangu.
Huu ni wakati wa Kuindoa CCM madarakani. Na kuunda serikali ya Wananchi wote ...sio WanaCCM tu.

Wasalaam.

Kweli kabisa uyasemayo.
Kuna makala moja iliandikwa na mtega nundu(tanzania daima jumapili iliyopita) ilionya juu ya athari za kufumbia macho masuala ya msingi na kubaki kunyooshea kidole dudu linalouma.

CCM inajipanga leo kwa ajili ya kesho.Tusipojipanga leo kwa kukataa hata yale tunayoona madogo au hayatuhusu tunaruhusu mfumo mbovu uendelee kututengenezea madudu mengi ya kututafuna wazimawazima.
 
NAPE UNASHANGAZA WENGI. NDANI YA CCM UFISADI AU KULA RUSHWA NI KITU CHA KAWAIDA NDIO MAANA MAKAMBA ANAKUSHANGAA KWA KUTUMIA MSAMIATI ULIOKWISHA BARIKIWA NA CCM.
CHAGUA KUENDELEA KUBAKI CCM NA KUKAA KIMPYA AU TOKA CCM ILI UUNGANE NA WANAHARAKATI WA KWELI WA KUPAMBANA NA RUSHWA KAMA AKINA DR. SLAA, BW LISSU, ZITTO n.k. NAJUA HILI LA PILI HUTALIWEZA MAANA ULIZALIWA NA KUOSHWA KWA MAJI YA BENDERA YA CCM. BASI KAA KIMYA MTOTO WE.. AU WAKUTUNGUE UKOSE KILA KITU. KWANZA WEWE MTOTO MNAFIKI,, UMEKUWA MJUMBE WA NGAZI ZA JUU WA CCM, HUKUSHANGA MAMBO YA RUSHWA YA EPA, DEEP GREEN YA CCM, KIWIRA n.k . Leo unakurupuka na kusema unataka kupambana na rushwa za akina Lowasa kwa kuwa tu unataka kugombea uenyekiti wa uvccm. Pole
 
Sasa hapa ni mahali tunapokuja kupeana elimu, labda useme ulishindwaje, au ulishindwa na mtoto wa kiongozi aliyepewa bure bila kugombea?

Weka wazi hapa tuchambue, hapa ni JF mkuu huwa hatuogopi mtu ila tunataka hoja tu ili ipimwe!



ALIKATAA UFISADIIIIIIIIIIIIIIII



DAWA YA UONGOZI KUBALI KUWA FISADI HILO UNALIJUA MKUU NDANI YA CHAMA CHAKO!!!!!!!!
 
Nnauye anasema mambo mazito mahala pasipo! Namhurumia kwamba kwa kauli zake hizi, na kwa kawaida ya CCM, tayari ameshakwama.

Ila madai yake mengine pia ni mepesi kidogo; kusema kwamba Lowasa amefanya ufisadi kwenye hilo jengo kwa kuwa tu ni mwenyekiti wa bodi ya udhamini kunatia shaka umakini wake huyu bwana mdogo. It is very easy these days to make sweeping statements so that you are also seen to be hating or even fighting ufisadi. But such statements, as much as they may boost our politicians' popularity, they don't add any value to the real war against ufisadi!


Mimi tangu mwanzo mara baada ya kusoma habari ya shutuma alizozitoa Bwana Nape Mnauye(MNEC),nilijawa na mshangao mkubwa. Nikajaribu kuweka bayana baadhi ya madukukuduku yaliyokuwa kichwa changu kufuatia hatua hiyo. Sasa kuna watu humu wameshabikia sana na kungana mkono hatua hiyo ya bwana Nape kumwaga radhi hadharani lakini bila ya kutafakari kwa kina athari zake baadaye pindi ikithibitika kwamba tuhuma hizo si za kweli.

Sasa,hilo halikunisumbua sana maana nafahamu kwamba kwa kawaida kila ngoma ina wafuasi wake.Na ndio maana wala sikuhangaika kuanza kupoteza muda kujibishana na watu ambao ama ni kwa hulka ya kupenda ubishi na kupenda malumbano am ni kwa ufinyu wa upeo wa kuweza kutafakari mambo kwa umakini.

Sasa mkuu umeonesha hofu yako kwamba, kwa kawaida ya CCM tayari kijana ameshakwama. Lakini mimi naomba niseme, hapa wala sio suala la kawaida ya CCM.Unajua binadamu yeyote anapenda heshima na kuthaminiwa utu wake. Sasa inapokea kwamba unataka kumshambualia binadamu mwenzio na hivyo kupelekea kuudhalilisha utu na heshima yake,basi ni lazima uwe umejiridhisha na madai yako.La sivyo,unaweza kujikuta unaishia mahali pabaya.Tukumbuke,sheria ni msumemo pindi ikichukua mkondo wake.Haingalii upande mmoja.Sheria inatenda haki.

Baada ya kusikia majibu ya uongozi wa UVCCM na CCM kufuatia madai mazito ya bwana mdogo Nape,kwa ufahamu wangu nimegundua kamba bwana Mnauye hakuwa amejiridhisha vya kutosha kiasi cha kuamua kuvurumusha makombora yake hadharani. Inaonekana wazi kwamba hakuwa anajua undani hasa wa mchakato wa mkataba wa mradi zaidi ya kujua mchanganuo wa mradi/mpango wa biashara pekee. Matokeo yake sasa inaonekana dhahiri kwamba Nape alikurupuka kwenda mbele ya waandishi wa habari kushusha tuhuma ambazo kimsingi anaonekana kuwa hana ushahidi wa kutosha kufikia kuwaita viongozi hao ni mafisadi na kuwataka kuwajibika.

Sasa hii ni hatari sana kwa mustakabali wake wa kisiasa,kijamii na kimaisha pia.

Majibu ya UVCCM na CCM yanaeleza kuwa mkataba haujasainiwa.Ni kwamba upo kwenye mchakato tu mpaka Kamati Kuu ya CCM itakapoubariki.Kwa maana nyingine ni kwamba,kama Kamati Kuu haitajiridhisha na mkataba huo (pengine kwa mtazamo sawa na wa bwana Nape),ni wazi kwamba itausitisha ama kutoa agizo ufanyiwe marekebisho.

Sasa swali kubwa hapa, je pupa gani zilizomfanya bwana Nape kwenda kutoa hukumu mbele ya umma ili hali kumbe hata mkataba wenyewe haujasainiwa na zaidi ni kwamba hata Kamati Kuu haijatoa baraka zake kwa mradi husika?.Mimi hapa kwa kweli ninapata wasiwasi juu ya umakini wa bwana mdogo huyu. Kama Mkuu pia ulivyoonesha wasiwasi wako juu ya umakini wake.Ninatilia shaka pia ukomavu wake kisiasa.

Ninakumbuka sana kuwa mwaka 2002 pale Chimwaga, Nape alipata kura, tena nyingi tu za kumuwezesha kuwa na mjumbe wa NEC kupitia vijana kwa sababu tu ya huruma ya wajumbe Mkutano Mkuu. Huruma ambayo ililenga kumuenzi marehemu baba yake Mzee Moses Mnauye. Nilikuwapo ukumbini siku akiomba kura. Hakuwa na rekodi yoyote ya uzoefu wa uongozi ndani ya UVCCM na CCM. Hata wakati wa kuomba kura kwa wajumbe ,Nape hakuwa na hoja ya ushawishi zaidi ya kusema kwamba kalelewa ndani ya chama.

Hilo halikuwa tatizo sana,maana naelewa kuwa kila mtu anahitaji mahali pa kuanzia ili kuweza kijifunza na kupata uwezo wa jambo husika.Lakini inasikitisha kwamba kwa kipindi chote ambacho amekuwa kwenye siasa,hajaweza kukomaa kisiasa.Sifahamu ni hoja gani alizojenga kuwashawishi wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka jana pale Kizota kuweza kumchangua kwa mara nyingine kuwa MNEC maana sikuwepo kwenye mkutano huo.

Na kama anatumiwa na watu fulani kuwa mkodo wa kupitishia hoja zao kwa malengo na maslahi yao binafsi kwa sababu fulani fulani,basi hiyo inakuwa ni bahati mbaya sana kwake.Hakika hao watu watakuwa hawamtakii mema. Anahitaji ushauri nasaha wa kisiasa.

Sasa hatari ninayoiona mbele ya bwana mdogo Nape ni kwamba, kwanza kabisa ajiandae kifikishwa mahakamani. Nina hofu kuwa bila shaka yoyote aliowatuhumu mbele ya waandishi wa habari,hawatamuacha hivi hivi. Amefanya kosa kubwa sana na la mwaka kujitumbukiza kwenye mdomo wa mamba. Na bahati mbaya ni kwamba,kwa namna suala lenyewe lilivyo,sioni namna yoyote kwa Nape kushinda kesi hiyo pindi ikifunguliwa na wahusika. Wanaweza kuja na madai ya kutaka kulipwa mabilioni ya pesa kwa kuwachufulia majina yao.Na yeye hana uwezo huo,je hatma yake itakuwaje? Namsikitikia sana!

Lakini pia nina mashaka kama azma yake ya kugombea nafasi aliyoomba itatamia.Nahisi haitamia si tu kwa kuwa katoa shutuma nzito kwa uongozi wa UVCCM na CCM bila kuwa na ushahidi wa kutoshawa kuwaita watuhumiwa ni mafisadi, bali ni kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za UVCCM na CCM kwa ujumla. Katika kanuni za uchaguzi kuna kipengere kinachomzuia mwanachama ambaye ana kesi mahakamani kugombea nafasi yoyote ya uongozi. Sasa kama nalivyosema awali, endapo kesi itafunguliwa dhidi yake, basi moja kwa moja ni wazi kwamba hataruhusiwa kugombea kwa mjibu wa kanuni.

Sasa najua kama kawaida wako watakaosema,hata asipogombea kama kulipua bomu keshalipua. Ni sawa kabisa. Maana katika maisha si kila anayekuchekea nakupenda. Lakini hata vitani upaporipua bomu nia ni kumdhuru adui yako.Sasa kama bomu ulilolipua linakudhuru mwenyewe, sioni kama hiyo ni akili, hasa kwa binadamu ambaye akili zake ziko sawasawa.

Vita dhidi ya ufisadi ni muhimu sana kwa maslahi ya taifa. Na ni lazima ipiganwe kwa nguvu zote. Lakini kama zilivyo vita zingine. Ungalifu na umakini katika mapambano ndio silaha bora sana. Mnaweza kuwa na silaha nzito nzito ,lakini kama hamkuwa waangalifu na makini katika kupanga mashambulizi mnaweza kabisa kushindwa kufikia malengo ya vita husika, ambayo ni ushindi dhidi ya adui.
 
Binafsi, nimejifunza kuwa makini sana na kila tamko linalotolewa na makada mbalimbali ndani ya CCM. Wamezaliwa, wametunzwa, wamepikwa na wakaiva ndani ya CCM. Kama kuna harufu ya uvundo, uchafu na ufisadi wowote ule, huwezi kuutenganisha na hawa kwa kuwa umewafunika.

Hivyo kwangu lolote linaloweza kuliyumbisha hili zimwi CCM, nitalikaribisha na kulikumbatia mradi tu ni kwa manufaa ya taifa. Na lolote ambalo lina lengo tofauti na hili, nitalikemea na kulisuta kwa nguvu zangu zote. Hapa sina mzaha.
 
"SISI CCM HATUNA MSAMIATI WA NENO UFISADI"
Kwi!kwi!kwi!
Hata dikteta ukimwita dikteta lazima akupige risasi anataka umwite Rais wa kidemokrasia.
 
Nnauye anasema mambo mazito mahala pasipo! Namhurumia kwamba kwa kauli zake hizi, na kwa kawaida ya CCM, tayari ameshakwama.

Ila madai yake mengine pia ni mepesi kidogo; kusema kwamba Lowasa amefanya ufisadi kwenye hilo jengo kwa kuwa tu ni mwenyekiti wa bodi ya udhamini kunatia shaka umakini wake huyu bwana mdogo. It is very easy these days to make sweeping statements so that you are also seen to be hating or even fighting ufisadi. But such statements, as much as they may boost our politicians' popularity, they don't add any value to the real war against ufisadi!

Mkuu Kitila,
Nafikiri ndani ya CCM nako pia mambo yamebadilika. Wanaochukia ufisadi ni wengi kuliko wanaoukumbatia na sauti kama hizi ndio zilikuwa zinasubiriwa. Huyu kijana sio ajabu akashinda kiulaini maana ameweza kuzisoma nyota vizuri. Go Nape.
 
vita hii si yako ni vita ya wana uvccm wote..ni vita mpya dhidi ya nape na kundi lake dhalimu la kina fieldmarshal,malecela etc.

Unajua kila ninapsoma post zako ninasikia kutapika, mtu mzima unapokuwa kama mtoto mdogo, hivi unachohangaikia ni nini hasa? Hivi huoni aibu?

Exactly unachoweza kufanya ni nini? Nape ni mjumbe wa NEC, hivi kweli wewe una ndoto hata siku moja kufikia huko? Yaani wewe unayehangaika kutoka majuu lkumfuata Malecela Dodoma, wakati hata kwenu hujaenda kuona ndugu zako leo una ubavu wa kusema haya?

Mijitu mingine bwana yaani hovyo! Nape anaondoka huyo, hakuna cha nani wala nani, kuna watu wengi tu tunaomuunga mkono, sasa tumesubiri aguswe tu na mafisadi uone mtoto utakaowaka, unafikiri amemka tu na kusema?

Subiri uone, ila next time usiniingize kwenye maneno yako ya choooni, nilishakuambia siku nyingi sana kuwa nilishakudharau siku nyingi sana, sasa nashangaa kwamba bado tu jina langu, la Malecela, na mama kilango hayakutoki mdomoni vipi mkuu?

Mkuu Kitila,

tunahitaji vijana imara kama huyu bwana mdogo, it is about time ukampa nafasi na yeye aonyeshe vitu vyake kwa taifa letu.

Ahsante mkuu!
 
Wasema Asilan Hawajabariki Mkataba Jengo Jipya

Wassisitiza Zilikiukwa Kuupitisha

Waeleza Unasukumwa Na Wenye Maslah Binafsi

Baadh Ya Wajumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Wa Vijana Ccm Limemkana Katibu Mkuu Wa Chama Hicho Fisadi Comrade Alhaj Yussuf Makamba..nan Kusema Amedanganywa Kuhusu Suala Zima La Ujenzi Wa Jengo La Makao Makuu Ya Jumuiya Hiyo Wakizungumza Nkwa Nyakati Tofauti Wajumbe Hao Ambao Baadhi Ni Wenyeviti Wa Mikoa Ya Tanga Tanzania Bara Na Visiwani Walisema

Jamani Sasa Kama Huyu Babu Makamba Si Fisadi Nipeni Jina Lingine??????

Shame Mzee Makamba Ccm Wameamua Kulinda Vyao Umechelewa Sasa Hivi Alikuwahi Aliepita Sasa Hivi Watoto Wanataka Ngoma Droo Sio Kula Wenyewe!!!!


''''''''''''''''hakuna Kikao Chochote Kilichokaaa Kujadili Suala Hilo Na Kufikia Muafakawalisema;''''''''''''''''''''' Nanukuuu

Mjumbe Kutoka Tanga Emanuel Kiondo Alisema Ingawa Swala Hilo Lililetwa Kjwenye Kikao Cha Baraza Kuu Kilichofanyika Feb 9 Mjini Dodoma Kwa Kauli Moja Wajumbe Waliupinga Muswada Huo Wa Mradi Wao Na Kuitaka Kamati Ya Utendaji Kuupitia Upya Kabla Ya Kukubali Muwekezaji!1!@


Tuliwaambia Wakae Wauboreshe Watuletee Lakini Ajenda Hiyo Aikuletwa Mpaka Leo Hii Naongea Na Kumshangaa Mzee Wetu Makamba Akitetea Ufisadi Kwa Macho Yake Huku Akitaja Mambo Ya Ajabu Kwamba Fisadi Ni Mzinzi!!!!kama Hivyo Hata Yeye Ni Fisadi Maana Natumaini Amepitia Ujana Alimnukuu!!!
Tunashangaa Leo Tunaambiwa Wamenza Ujenzi Hii Kitu Aiwezekani Rushwa Imjetumika Hapa Tutamwomba Raisi Kuingilia Katiu Mapema Swala Hili Kabla Halijatugawa Namnukuu!!!
Alisema Mkataba Huo Hauna Baraka Za Baraza Kuu La Uvccm Kinyume Na Kauli Za Makamba!!!
Kauli Hiyo Iliungwa Mkno Na Wenzake Wenyeviti Wa Dodoma Donald Majiti Aliesema Ni Uongo Hakuna Aliekubali Upumbavu Kjama Ule Hata Mtoto Mdogo Ukimpa Ule Mkataba Atasema Nasikia Tumbo Linauma Namnukuu!!!!\

Daniel Ole Porokwa
M.kiiti Wa Arusha Alisema Nae Hakuna Aliepitisha Mkataba Huo Na Kama Wameanza Basi Ccm Kunawaka Moto Na Tutalinda Maslahi Ya Chama Mpaka Mwisho Ole Wao!!!

Mustafa Hamed Wa Unguja
Anasema Anchokumbuka Kiiliishia Tume Kupewa Majukumu Ya Kuupitia Upya Mkataba Huo Na Sio Kuanza Kazi Kama Alivyosema Fisadi Alhaji Makamba

;;;;;;'''kazi Kweli Kweli Lazima Kieleweke;;;''''''''
 
Wasema Asilan Hawajabariki Mkataba Jengo Jipya

Wassisitiza Zilikiukwa Kuupitisha

Waeleza Unasukumwa Na Wenye Maslah Binafsi

Baadh Ya Wajumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Wa Vijana Ccm Limemkana Katibu Mkuu Wa Chama Hicho Fisadi Comrade Alhaj Yussuf Makamba..nan Kusema Amedanganywa Kuhusu Suala Zima La Ujenzi Wa Jengo La Makao Makuu Ya Jumuiya Hiyo Wakizungumza Nkwa Nyakati Tofauti Wajumbe Hao Ambao Baadhi Ni Wenyeviti Wa Mikoa Ya Tanga Tanzania Bara Na Visiwani Walisema

Jamani Sasa Kama Huyu Babu Makamba Si Fisadi Nipeni Jina Lingine??????

Shame Mzee Makamba Ccm Wameamua Kulinda Vyao Umechelewa Sasa Hivi Alikuwahi Aliepita Sasa Hivi Watoto Wanataka Ngoma Droo Sio Kula Wenyewe!!!!


''''''''''''''''hakuna Kikao Chochote Kilichokaaa Kujadili Suala Hilo Na Kufikia Muafakawalisema;''''''''''''''''''''' Nanukuuu

Mjumbe Kutoka Tanga Emanuel Kiondo Alisema Ingawa Swala Hilo Lililetwa Kjwenye Kikao Cha Baraza Kuu Kilichofanyika Feb 9 Mjini Dodoma Kwa Kauli Moja Wajumbe Waliupinga Muswada Huo Wa Mradi Wao Na Kuitaka Kamati Ya Utendaji Kuupitia Upya Kabla Ya Kukubali Muwekezaji!1!@


Tuliwaambia Wakae Wauboreshe Watuletee Lakini Ajenda Hiyo Aikuletwa Mpaka Leo Hii Naongea Na Kumshangaa Mzee Wetu Makamba Akitetea Ufisadi Kwa Macho Yake Huku Akitaja Mambo Ya Ajabu Kwamba Fisadi Ni Mzinzi!!!!kama Hivyo Hata Yeye Ni Fisadi Maana Natumaini Amepitia Ujana Alimnukuu!!!
Tunashangaa Leo Tunaambiwa Wamenza Ujenzi Hii Kitu Aiwezekani Rushwa Imjetumika Hapa Tutamwomba Raisi Kuingilia Katiu Mapema Swala Hili Kabla Halijatugawa Namnukuu!!!
Alisema Mkataba Huo Hauna Baraka Za Baraza Kuu La Uvccm Kinyume Na Kauli Za Makamba!!!
Kauli Hiyo Iliungwa Mkno Na Wenzake Wenyeviti Wa Dodoma Donald Majiti Aliesema Ni Uongo Hakuna Aliekubali Upumbavu Kjama Ule Hata Mtoto Mdogo Ukimpa Ule Mkataba Atasema Nasikia Tumbo Linauma Namnukuu!!!!\

Daniel Ole Porokwa
M.kiiti Wa Arusha Alisema Nae Hakuna Aliepitisha Mkataba Huo Na Kama Wameanza Basi Ccm Kunawaka Moto Na Tutalinda Maslahi Ya Chama Mpaka Mwisho Ole Wao!!!

Mustafa Hamed Wa Unguja
Anasema Anchokumbuka Kiiliishia Tume Kupewa Majukumu Ya Kuupitia Upya Mkataba Huo Na Sio Kuanza Kazi Kama Alivyosema Fisadi Alhaji Makamba

;;;;;;'''kazi Kweli Kweli Lazima Kieleweke;;;''''''''
 
huyu Makamba si ndio mungumutu wa ccm sasa hao vijana sijui wanajua they know kama they are playing with fire?
 
Huyu mzee anajisahau kuwa huu si ule wakati wa zidumu fikra za katibu mkuu , siku hizi watu wanahoji makamba....
 
Sasa Nape akiona wanaletea usiku huko asiajitoe ajiunge opposition na tunamkaribisha.Lakini ajiimarishe katika kujenga hoja na kuweka sera za kisasa.

Nchimbi PHD holder aliongoza chama kama monitor wa nursery school.a very big failure.What i know about Nape ni kuwa Liberal minded,hata hivyo mapugufu hayakosekani mengi na hasa anapokua binadamu.

Ila hizo hoja alizoibua asizitegemee sana kwenye kampeni.Labda kama ana fighting spirit.JIno kwa Jino ataweza?
 
u know what, inspite of all the verbal accolades, most citizens of this country are spineless lot. The kind of folk that would rush to an explosion out of curiousity, only to ran in the opposite direction at the crack of a twig! Other than that they would exchange a ballot for a mere plate of ubwabwa
 
Back
Top Bottom