Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Hana uzoefu wala upeo wa kutosha kuiongoza UVCCM labda angetulia kidogo apate orientation za chama he was nobody until his father was being nominated as CCM president candidate na ukiangalia he has like four years and wants to go for that high profile nadhani sasa ndio mgawanyiko ndani ya hicho chama utajidhihirisha rasmi . Mimi yangu macho. But hey!all the Best Ridhiwani thats is your challenge now you have to take it.
 
Kilbark,

Huwezi kujua huenda ameandaliwa tuition ya nguvu akishachaguliwa....Teh! teh! tehhhhh
 
Wengine tusiofungamana na upande wowote tunasema,,,,,,,"ACHA WAFU WAZIKANE......."

Kama mjumbe mmoja hapa aliyesema ikiingia kwenye utaifa tuatajadili na sisi wengine kwa maslahi ya taifa.Ila sasa its ya ball wenye chama !
 
Kama mwanachama wa CCM anahaki ya kuchaguliwa kuwa kiongozi regardless nafasi ya baba yake, lakini hili nafikiri sitaweza kuliongelea sana kwani lina masirahi kidogo kwa taifa kwa sasa ikitokea masirahi ya taifa yameongezeka then tutarudi kujadili zaidi.
 
Nachokijua ni kwamba Ridhwani anamsupport rafiki yake Benno Malisa ambauye kwa sas ani katibu wa vijana
 
ishu ya ridhwan kuwa chair wa UV-CCM imekuwepo kichinichini ingawa kuna tetesi pia kuwa alitaka mshkaji wake wa karibu aingie pale kusudi wajenge vibanda kabisa na kujisafishia njia ya ulaji ndani ya chama.

Jamaa ana haki kama mwana CCM mwingine yeyote ile kuchaguliwa na kuchagua lakini shaka ni juu ya dhamira yake ya kuwa kiongozi.Yeye siyo mwanasiasa bali mtaka siasa.Anajua fika kuwa akiwa katika duru za kisiasa atauzika tu kwa wataka siasa wengine kwa kutumia jina la baba.

Chuoni tulikuwa nae na kwa miaka yote sikuona kama alikuwa anachipukia kuwa mwanasiasa zaidi ya kuwa mgomvi na mtu aliyekuwa anapenda kujulikana kuwa baba yake ni waziri wa mambo ya nje na mgombea mtarajiwa (wakati huo).

Kwenye siasa za DARUSO hakuwahi kuonesha nia ya kugombea ila alikuwa mahiri wa kujenga kambi za wagombea na kuside na wale alioamini walikuwa na mawazo kama yake.Hilo ni jambo la kawaida katika siasa lakini daima hakuwa akiwaunga mkono wagombea wenye sifa stahili.

Anyway mie hayo nawaachia wenye chama chao.Mie chama changu Tanzania.Atanihusu sana kama akitangaza kugombea kwenye chama changu
 
bora asigombee aache tu usanii umezidi.Lazima tujiulize anagombea kwa manufaa ya nani?
 
sasa this is too uch ya viongozi kuwaridhisha watoto wao ofisi.yale yale ya zanzibar na akina karume,mwinyi na mtoto wake sasa naona yamekuwa monarchy.hamna ishu ya right to be elected this is family matter na ndio nepotism unafiki mkubwa.
 
Sina hakika na ugombeaji wake, What i know anamsaidia rafiki aitwaye Beno Malisa ambaye ni Naibu katibu Mkuu Uvccm, Ridh yeye anagombea Baraza kuu Taifa hata hivyo Dodoma patakuwa hapatoshi
 
PM.. nilidhani umesema ni Mwenyekiti wa UVCCM.. sisi wengine tusio na chama au ambao si CCM tuna haki gani kujadili uchaguzi wa kiongozi wa jumuiya ya CCM? Nadhani wale wana CCM na hasa vijana wa CCM waliopo hapa ndio wanahaki ya kufanya hivyo. Ila akitaka kugombea Ubunge he is a fair game.

Mkuu MJJ,
Hapa naona umejichomeka mwenyewe. Kama hutaki kuyajadili ya UVCCM si unaiskipu hiyo thread? Ridhi-1 ni haki kujadiliwa na yeyote anayemfahamu au kuwa na maoni juu yake ni rukhsa ya kila mtu awe CHADEMA, CUF au hata ODM-Kenya.
 
Kwanini tumjadili Ridh1? Tumekosa ya kuzungumza? Muda ukifika kama ana maslahi kwa taifa tutamzungumzia tu jamani.
 
Hata JUA likigeuka kuwaka usiku, na usiku ndio mwezi kuwa jua, Ridhiwan Kikwete HATAKUWA mwenyekiti wa UVCCM.

Suala hili nalielewa kwa undani wake. Anayetaka ufafanuzi anitafute PM kwa wakati wake.

LOL

Lazima nicheke hapa!

./MwanaHaki
 
P.S. Bado hatujaanza siasa za Usultani, mtoto wa Sultani apewe kiti kidogo kwa kumuandaa kushika nchi. Bado! Bado sana!
 
Hawa CCM wana matatizo wanazani ni nchi ya kifalme hii!
Anyway yana mwisho hayo.
 
akishakuwa mwenyekiti, wamchague fred lowasa kuwa katibu mkuu, na nani vile....mzindakaya violet kuwa mweka hazina, na list haijaisha yule mtoto wa makamba kuwa makamu mwenyekiti...hapo ndo itanoga kwelim kweli
 
akishakuwa mwenyekiti, wamchague fred lowasa kuwa katibu mkuu, na nani vile....mzindakaya violet kuwa mweka hazina, na list haijaisha yule mtoto wa makamba kuwa makamu mwenyekiti...hapo ndo itanoga kwelim kweli

...Mnandaa vifisadi vya baadae????
 
kama ana wasifu tumwache aende kuwadanganya!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom