Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

Hebu sisi watoto wa wakulima si wangetupiga risasi tuu ili tusiishi? Oooooo!!!! nimekumbuka, haaa kodi watapaata wapi? sisi ni watumwa wao siku zote, kwani hatujasoma shule, tutatawaliwa mpaka kiama.
 
Tuandamane,

Mtoto wa Mkulima weeee mapori yamejaa wee nenda kafukuze wale nyumbu na swala utapata makazi mapya! Mbuga zenyewe nasakia zimeuzwa baadhi kwa hiyo wahi sehemu huko katikati Singida na Manyoni lima mahindi kuanzisha kiwanda cha Mafuta Gongo kama ethanol product..Uta punch kuliko huyo Ridhwan.

Kama ulikuwepo mwaka jana nadhanio mwezi January niliandika mada moja kuwashtua wabongo kuhusu utengenezaji wa gongo, watu wakaniona nimepagawa - sasa mwaka mmoja baadaye wenyewe mnaona jinsi mafuta yanavyo tia watu wazimu...

Wewe Uenyekiti wa CCM vijana utakusaidia nini ikiwa huna address, nyumba ya nani unafunguliwa mlango bila kuulizwa unataka nini?...

Mkuu wengine wamezaliwa ktk koo za Utawala waache watawale wewe tafuta rikziki yako sehemu nyingine, kuongoza Bongo sio kipaji na elimu ni mirathi...

Sam, Mkuu sio utani kweli vile rafiki zangu wengi wapo CUF na ajabu ni kwamba ni waislaam, wale wakristu hawana chama kabisa wala hawajihusishi na siasa isipokuwa za kijiweni..Nimegundua hilo nilipokwenda na wale walioko CCM mkuu wamejikata yaani siku hizi wao ndio waheshimiwa wale waliorithishwa kuongoza...
 
Kama una hamu ya kuwatumikia watu kupitia siasa nenda kagombee CHADEMA,CUF,TLP

Kama unatafuta nafasi ya kazi ya Ufisadi CCM basi nenda kajaribu bahati yako kijijini kwenu kama na wewe huko baba yako anajulikana kuwa ana mashamba makubwa, ana ng'ombe nyingi au alikuwa chifu.Huko utawapa takrima ya pilau wajumbe wenzio wa CCM wakuchague.
 
Nchi hii imelaaniwa na sababu kubwa ni kupatikana kwa uhuru wa nchi hii kw anjia za kishirikina,cha kufanya kama wewe ni Mtanzania na una nafasi ya kula pesa wewe lamba na nenda zako.


Usitegemee maendeleo katika nchi hii.Wewe angalia Ridhwani sasa anamtaka beno ili amsaidie kwa baadaye wakati benoo akishashika hatamu.

Utawal wa nchi hii ni wa ku peana tu.wakati mwingine huwa nakuwa na mawazo kama ya waasi ,nimechoka na upuuzi kila siku

kwa bahati mbaya dunia nzima uhalisi wa mambo ndio huo.

Kabila, Bush, Sebelius, Patrick Kennedy,Gadafi, Bhutto,Ghandhi, Castro etc.
 
Huyu kijana, atatumia nguvu gani kuhakikisha anamuweka madarakani (UVCCM) rafikiyake mpenzi? hili kalitamka waziwazi! Au ndiyo nguvu ya baba?
 
Mwandishi wa makala hii ni CHARLES CHARLES,ambaye ni naibu katibu uhamasishaji UVCCM Taifa,kwaiyo msimshangae analinda unga wa watoto kwa kumfagilia bosi wake kaka Charles; ni vizuri ufahamu kuwa tatizo sio Beno kama unavyotaka tuamini.

Tunachokitaka sisi vijana wa CCM, NI kuongeza wigo wa uwakilishi ndani ya vikao vya maamuzi,Beno tayari ni mjumbe wa NEC Taifa anaingia katika vikao vyote vya chama kuanzia tawi-Taifa. Kwanini asiwaachie na vijana wenzake au ni yeye pekee ndio mwenye sifa,tunasema kwa lugha moja atutaki atutaki, sauti ya watu ni sauti ya mungu

Ni hatari kwa mwandishi anaeshimika kama wewe kuchochea suala la rangi ya mtu ,ukabila,na ukanda.sisi sote ni wa Tanzania,Kama vipi nenda bondeni kwa mzee madiba (MANDELA) uendeleze ubaguzi WA RANGI(racism)
 
Wow! kumbe tupo wengi, maana watu wanakaa wanafanya vikao wanagawana vyeo kama njugu kama Tanzania ni Dar pekee, ndugu naunga mkono hoja kwa nguvu zote na hata Dodoma nadhani tutakutana siku ikifika haya mawazo mgando ya kina Chaz na wengineo yafaa kufukiwa shimoni alaah!
 
Last edited:
Beno Malisa alitumia nafasi yake kana mwanasheria wa UVCCM Makao makuu kuhongoza nkakat wa kuhakukucha aliyekuwa katibu wa uchumi na fedha wa umoja wa vijana taifa sasa kaimu katibu wa umoja wa vijana Taifa Francis Isack hafanikiwi kuwapatia mkopo watendaji wa UVVCCM akianini kuwa kama Francis Isadk angefanikiwa kungemjenga Francis kisiasa,mkpo uho ulikuwa na lengo la kuboresha maisha kwa kila mtendaji wa UVCCM

Cha kushangaza leo hii Beno Malisa aMhanzisha mkakati wa Divide and Rule ndani ya watendaji wa UVCCM kwa kuwachukua baadhi ya watendaji ambao anaamini wanamuunga mkono mpango wake wa kugombea uenyekiti wa UVCCM-Taifa na kuwapatia mkopo kupitia Dar comunity Bank mfano ni K/ibu wa UVCCM Moshi njini BW AZIZ,sasa hivi amewaita makatibu watatu kutoka mwanza na watatu kutoka Bukoba

Mchezo mwingine mchafu anaofanya malisa kwa kushirikina na IZZA TANBWE,juzi wamekuja Tanga wakitumia Rosorce za chama na allowance,waliwaita makatibu wa UVCCM na kuwapa Rushwa ya sh 20,000/= kwa kila katibu,mwisho wakamwachia katibu wa UVCCM mkoa Fedha BW MWITA hakisha wenyeviti wa wliya wa UVCCM watakaochaguliwa mwezi huu wa sita mwishoni wanakuwa watu wao Malisa na Tambwe IZZA mwenye mpango wa wa siku moja kugombea URAIS wa nchi hii,jambo ambalo sio rahisi kufuatia record yake ya kuhama vyama CUF NCCR

RUSHWA ...........RUSHWA ........ZITATUMALIZA .......UVCCM
 
....ridhiwani kikwete anajiandaa kumrithi EMMANUEL NCHIMBI..kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana....

..lets give him a fair hearing as himself and not as presidents son...since to elect or being elected is his natural right!!!..

..nawaalika members wenye nyeti zaidi juu ya hili...tukae kama kamati ..tumuangalie yeye as yeye...then other connections later..

lete ishus....
 
....ridhiwani kikwete anajiandaa kumrithi EMMANUEL NCHIMBI..kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana....

..lets give him a fair hearing as himself and not as presidents son...since to elect or being elected is his natural right!!!..

..nawaalika members wenye nyeti zaidi juu ya hili...tukae kama kamati ..tumuangalie yeye as yeye...then other connections later..

lete ishus....
kidogo ninachojua ni kwamba huyu mtoto ni mwongo, mwongoooo, yani hajatulia mapepe mapepe hivi, mpepesa macho, kati ya kumi anayoongei ukweli unaweza kuwa ni nusu tu, yani hata moja haijatimia...... like father like son....
 
kuna bendi moja hapa tz sijui inaitwaje... nadhani ni diamond musica inasema ukipanda matembele... utavuna matembele.....

maana kama wewe ni nyoka huwezi kuzaa kondoo
 
af nimesahau kuongeza lingine, nasikia ana marafiki kibao, lkn hata mmoja hanae moyoni, kama baba yake tuu,


kama unabisha hebu omba appointment nae pale ofcn kwake, ya saa mbili asbh, ye anakuja saa nneeee... kama babake tuu

ukakimbilie zimbabwe kana kwamba nchini kwako kuko shwari, hizo sifa unazotafuta toka ulaya zitakutokea @#$%^&*... PUANI
 
kama unabisha hebu omba appointment nae pale ofcn kwake, ya saa mbili asbh, ye anakuja saa nneeee... kama babake tuu
Ridhiwani ana ofc wapi? au ndio ile firm ya Law
 
PM.. nilidhani umesema ni Mwenyekiti wa UVCCM.. sisi wengine tusio na chama au ambao si CCM tuna haki gani kujadili uchaguzi wa kiongozi wa jumuiya ya CCM? Nadhani wale wana CCM na hasa vijana wa CCM waliopo hapa ndio wanahaki ya kufanya hivyo. Ila akitaka kugombea Ubunge he is a fair game.
 
Vitu vingine yeye mwenyewe apime uzito na aangalie nafasi yake katika chama yeye kama mtoto wa Mwenyekiti wa chama,,, Kwa upande mwingine mie nawahimiza wanachama wa umoja huo wamchague kwa kura nyingi ili kuharakisha mauaji ya CCM..
 
....ridhiwani kikwete anajiandaa kumrithi EMMANUEL NCHIMBI..kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana....

..lets give him a fair hearing as himself and not as presidents son...since to elect or being elected is his natural right!!!..

..nawaalika members wenye nyeti zaidi juu ya hili...tukae kama kamati ..tumuangalie yeye as yeye...then other connections later..

lete ishus....

Bora wakiite Chama Cha Kikwete maana naona Vikwete wote wanachukua nafasi za juu katika chama cha mafisadi !!!
 
Hata kama anafaa na ni kiongozi bora, nadhani ili kuleta appearance ya kuwa hakuna upendeleo na nepotism angeacha kugombea.
 
Back
Top Bottom