Tatizo wabongo tumekua waongeaji mno
Ukiacha kuvua samaki wabongo tunalalama hakuna bonga wavuvi siku hizi hawavui ee tena ee hapa sijui kuna mtu wewe umemwandaa awe mvuvi tuu na kwanini isiwe wewe mvuvi??
mtu akiamua kuvua hao samaki tena waanza lalama ooh mvuvi huyu anamaliza samaki ooh mvuvi huyu anachafua ziwa lazima azuiwe mvuvi huyu kapandisha bei ya samaki lazima adhibitiwe.
Wewe bado hujawai hata sukuma mashua pale ufukweni je wajuaje dhahama iliyo baharini?? Watanzania wezangu acheni uoga usio na misingi.