Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

Swali la Msingi La kujiuliza, ni kwa nini Hizo Flow meters za TPA zionekane hazifai na zinawahujumu hao wenye mafuta na wazisiamini? na kwa nini wateja wa mafuta waamini zile "meter" za shell ambazo ukifika tu unajaziwa mafuta lita kadhaa na tunaamini?

Je nchi zingine zinatumia "vijiti"?

Je ina maana TPA haikufanya research ya kutosha kabla ya kuzinunua hizo flow metres?

swali lingine, Kwa nini kampuni ya TIPER imejiunganishia bomba na vijibomba (mchepuko), hivi serikali ikiamua kumpigia hasara aliyoisababishia serikali huyu TIPER atasema kwamba anaonewa?
Mkuu kwani unafikiri TIPER ni nani?
 
Tatizo TPA na TRA walikuwa wanapitisha meli hadi 13. Basi wangeijulisha serikali tatizo. Si umeona wanasema mita hazijawahi kusimama toka zianze? na TRA wanasema zinatoa strange readings" Uzima wa mita ni accuracy na si vinginevyo.
Nnji hivi imeoza kweli hadi meter zinasoma siyo ndio.
 
Kama ni mtii mbona ameshindwa kutoa maelezo ya kwanini aliamua kutotumia hizo flow meter kwa miaka mitano sasa. Sijui yupi yuko safi au mchafu. Lakini hata wewe hujui yupi yuko safi au mchafu.
tutafikatu########################
Umewahi kuajiriwa?
endapo ni ndio!,umewahi kwenda kinyume na maagizo ya boss wako!
....endapo utaenda nae kinyume ni nini kinaweza kukupata?/ be wise!!
 
Hapa lazima tuwe wajasiri wa kusema ukweli. Haya mambo yote ni ya mtoto wa jamaa wa Msoga, hao wengine wanaambulia tu kwa kuwa utawala uliopita ilikuwa sio rahisi kutumia weledi. Pia ni nafasi nzuri kwa watendaji wa serikali kujionea kuwa ukifanya mabaya katika zama fulani, kitabu kikifungwa unawajibika.

JPM mfunge paka kengere, nenda Msoga kakamate mwizi, na mwizi mwenyewe ni mbunge
Kusema mitandaoni ni rahisi sana ila sasa jinsi ya kufika msoga kumkamata huyo unaye mtaja ndio kazi
 
Kwa documents hizi, huyo mama wa Muhongo Magdalena haponi, yawezekana huyo mama alipewa maelekezo na mkwere, si ajilipue tu?
"Ukweli una tabaia ya kupanda ngazi huku uongo ukipenda kupanda lifts" - ZZK kaazima kutoka kwa Koffi Olomide
Hawa wanaotumwagia hizi data ni wazi huenda tangu hiyo 2009 ndio walikuwa kwenye ngazi na leo ndio wapo ghorofa mbili kufika mwisho. Waliotumia lifts wengine ni wabunge na wengine wamestaafu!

Mkuu VunjaMfupa hebu mwaga huo mchele maana sisi kuku tuna njaa kali!
 
Mkuu vunja mifupa kiini cha tatizo nionavyo mimi sio vibali vya ku-bypass metre hiyo nadhani ilikuwa plan B ya ku-control taratibu za upokeaji wa mafuta maana bila hivyo issue ingekuwa hivi.Metre zinapitisha mafuta kwa saa kadhaa halafu zina-jam masaa 24 hakuna kinachoendelea baharini huko kuna msululu wa meli 15 zinasubiri kushusha hali ingekuwaje?,ikaja plan kuwa kama zina-jam basi mtoa kibali ni kamishna wa TRA tu.Hizo metre za hovyo sana ni out-dated kabisa ni zile za mwaka 47,na hapa lazima kuna jipu la aliyeagiza zinunuliwe.Ni kweli zinazidisha volume na ndio maana TRA waliwahi kuzilipa kwa maana ya kuzirudishia pesa kampuni za mafuta,kwa maana kuwa ukipima kilichotoka melini ,kilichopita kwenye metre na kilichopokelewa kwenye tank la kampuni ya mafuta inayopokea mafuta kwa wakati huo utaona tofauti kubwa tu.


Kama hayo yote unayosema ni sawa in maana mama Magdalena hana kosa sasa ni kwa nini kama alivyomuuliza W.Mkuu awashe mita jana pale aliposikia WMkuu anakuja? Si angeacha hivo hivyo halafu amulezee hayo uliyoyaeleza? Ni kwa nini wazime kwa miaka sijui mitano halafu wawashe siku moja kabla ya Waziri Mkuu kufika?
 
hizi habari ni nzito sana, sijui kama ni kweli wanafatilia au la. ila kama ni kweli wanafatilia moto utawaka....
nchi itakuwa nzuriiiiiiiii.........
watu 'walipija' sanaaaa...
Na bado wanaendelea kujipigia noti mkuu,hapo bado hajagusa mali asili,bado tanroad ndio utazimia,bado bot ndio utalia machozi
 
Tamper mita jioni pasuwa lager taratibu asante differential.
 
Nyie waTanzania kwa nini mmejawa na unafiki na kukosa uzalendo?

Taratibu, miiko na Sheria za utumishi wa Umma zinasemaje juu ya mfanyakazi mwizi? Je huyo Mkwere and co. Uliyemtaja hapo juu hakuwa mtumishi wa Umma? Eti unataka awajibishiwe gizani na kimya kimya.

Mmejawa na mepepo hadi mnadiriki kusema kuwa eti inahitajika busara tena busara nyingi kumuwajibisha mwizi wa Mali za Umma.

Akili kama zako ndizo zilizopelekea hii nchi kufikia hapa ilipofika.
Kweli wewe ni nkuba,umetema cheche mzee
 
Jamani mama wa Watu alitoa agizo mita zisitumike mpaka zirekebishwe. TPA hawajarekebisha. Walipoulizwa wakasema zimefungwa mnyororo. Watumishi wa serkali kibao waliitwa kwa meseji kwamba mkulu ameamua mita zianze kazi tarehe 10 Februari walikuwa pale KOJ kuitikia witoTPA, akasema anasubiri WAMA waje kufungua minyororo.
WAMA wamekuja vijana , wanaambiwa wakafungue kumbe minyororo ilikuwa inaning'inia wala mita hazijafungwa. Hivi mainjinia wa TPA kwa miaka mitano walikuwa hawajui Kama minyororo inaning'inia na valve ziko wazi. Hili limeshuhudiwa na wengi.
 
Katika taarifa kuna meter mpya zinafungwa huu mwezi wa nane sasa na zinatarajiwa kukamilika kufungwa baada ya miezi minne. Jee ziliagizwa na awamu ipi?

Isitoshe, sakata la meter lilianzia Tanga, serikali ikapiga marufuku mafuta kushushwa huko bila meter, zikafungwa meter mpya, ndiyo hizo zinazoongelewa sasa. Ni awamu ipi hiyo?

Hizo sehemu tumesoma kuwa zinamilikiwa na Serikali kwa asilimia 50 ina maana watendaji ni wezi. Kuzirudisha kuwa 100% ni njia mojawapo ya kuongeza wizi.

Nnashauri wapewe kampuni binafsi waziendeshe hizo jetty kwa asilimia mia moja.
Viambatanisho kuanzia #32 na kuendelea vinaweza kukujibu hili!
 
tutafikatu########################
Umewahi kuajiriwa?
endapo ni ndio!,umewahi kwenda kinyume na maagizo ya boss wako!
....endapo utaenda nae kinyume ni nini kinaweza kukupata?/ be wise!!
Mkuu sijaona utii anaoonesha hapo huyu Mama. Muhongo ni boss wake na kamharibia (japo sms aliyomtumia haikuwa mbaya, na hana uhakika kama aliyetuma ni waziri wa nishati). Kwa Waziri Mkuu kasema "ukweli" (mwanzoni alisema uongo) kuhusu kuanza upya kutumia flow meters, lakini akashindwa kusema sababu halisi za kuacha kutumia flow meters hizohizo tena enzi hizo Prof. Muhongo akiwa si waziri (usije shangaa akasem alipigiwa simu na mtu toka Ikulu).
Mimi ni mtumishi wa serikali, ila najua huwa kunakuwa na mambo tofauti au makubwa zaidi underground...
 
Katika taarifa kuna meter mpya zinafungwa huu mwezi wa nane sasa na zinatarajiwa kukamilika kufungwa baada ya miezi minne. Jee ziliagizwa na awamu ipi?

Isitoshe, sakata la meter lilianzia Tanga, serikali ikapiga marufuku mafuta kushushwa huko bila meter, zikafungwa meter mpya, ndiyo hizo zinazoongelewa sasa. Ni awamu ipi hiyo?

Hizo sehemu tumesoma kuwa zinamilikiwa na Serikali kwa asilimia 50 ina maana watendaji ni wezi. Kuzirudisha kuwa 100% ni njia mojawapo ya kuongeza wizi.

Nnashauri wapewe kampuni binafsi waziendeshe hizo jetty kwa asilimia mia moja.
Ha ha wapewe ALOSCO eeh?
 
tutafikatu########################
Umewahi kuajiriwa?
endapo ni ndio!,umewahi kwenda kinyume na maagizo ya boss wako!
....endapo utaenda nae kinyume ni nini kinaweza kukupata?/ be wise!!
Sheria ya nchi inaruhusu immunity? Ili a-spill the beans! Kama kuna vimemo alivyotunza atoe, sms kwenye simu na maagizo au mawasiliano yoyote na hao waliomtuma.
 
Mtunzaji wa mita ni TPA, anaetumia data za mita kutoza kodi ni TRA. WAMA kazi yake ni kumlinda mlaji katika matumizi ya vipimo sahihi. Yeye kazi yake ni kuhakikisha hicho kipimo hakipunji, Haki bin Haki.
 
Ninatamani sana kukuunga mkono, ila kwa CCM na nchi hii...naomba nisitabiri jambo...nitaongea pale litakapotokea.

Miaka mitano ulikuwa waziri wa Nishati mkazifunga Mita leo unatoa amri kwa SMS fungua MITA mwenye akili timamu amaeshajua tayari.Nitashangaa kama Waziri huyu ataendelea,maana kama alikuwa JIPU nyuma leo imekuwaje siyo JIPU???
 
Back
Top Bottom