Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

Sakata la Mita za Mafuta: Great Thinkers, njooni huku

Hapa lazima tuwe wajasiri wa kusema ukweli. Haya mambo yote ni ya mtoto wa jamaa wa Msoga, hao wengine wanaambulia tu kwa kuwa utawala uliopita ilikuwa sio rahisi kutumia weledi. Pia ni nafasi nzuri kwa watendaji wa serikali kujionea kuwa ukifanya mabaya katika zama fulani, kitabu kikifungwa unawajibika.

JPM mfunge paka kengere, nenda Msoga kakamate mwizi, na mwizi mwenyewe ni mbunge
Hapo ndipo Lake Oil,Panone,Davids Mosha ilipotajirikia
 
bypass nyinginyingi za TPA na TRA. Nitawaletea lakini ngoja tufupishe.
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    166.5 KB · Views: 54
  • image.jpeg
    image.jpeg
    196 KB · Views: 71
hizi habari ni nzito sana, sijui kama ni kweli wanafatilia au la. ila kama ni kweli wanafatilia moto utawaka....
nchi itakuwa nzuriiiiiiiii.........
watu 'walipija' sanaaaa...
 
Mkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.

Nyie waTanzania kwa nini mmejawa na unafiki na kukosa uzalendo?

Taratibu, miiko na Sheria za utumishi wa Umma zinasemaje juu ya mfanyakazi mwizi? Je huyo Mkwere and co. Uliyemtaja hapo juu hakuwa mtumishi wa Umma? Eti unataka awajibishiwe gizani na kimya kimya.

Mmejawa na mepepo hadi mnadiriki kusema kuwa eti inahitajika busara tena busara nyingi kumuwajibisha mwizi wa Mali za Umma.

Akili kama zako ndizo zilizopelekea hii nchi kufikia hapa ilipofika.
 
Mkuu hii nchi imezungukwa. majipu chungu nzima ndio hapo utahamini maneno ya upizani mfano pr.mohongo mbali na kufanya vizuri kwenye nishati na madini kwa awamu 4 lkn baada yakushidwa kutoa mahamuzi katika suala la escow hakutakiwa tena kuwa waziri sasa Leo anaonekana tena katuma mssg kwa huyo mama sasa akitumbuliwa atakuwa ameonewa kama ilivyo onekana hpo mwanzo jamani tunaelekea wapi tunaitaji MTU gani atusafishe kiukweli inauma sana kuona tunachezewa akili na watu wachache kuliko million 48 za wananchi masikini ambao awazi kumudu hata elimu na matibabu ,pamoja na mlo kamili tunakuomba Mh magu hapa usipepese macho kama ulivyosema kuwa utawajibisha waitu hasa pale watakopo kuwa wamekiuka taratibu watumbuliwe Mara moja
 
Mkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.

Hakuna anayekeji juhudi! Lakini mpango wa kama akina Yona na Mramba tunawaona barabarani wakifanya ufagizi alafu usiku wanakula starehe Serena kwa zile Pesa zetu ni upuuzi mtupu!
Tunataka hatua hizi ziendane na kumfilisi muhusika anapopatikana na hatia.


Nategemea ofisi ya DPP muda huu ingekuwa imekwisha peleka mapendekezo kwa AG na mtaani muda huu tunajadili jinsi sheria ya kuwashughulikia hawa inavyostahili kuwa ili kabla mwaka huu haujaisha etc by Juni tuwe na Kesi zisizopungua 100 na Dec 2016 ziwezimeisha.

Lakini wimbo ni majipu na TV show!

cc Pasco
 
Mkuu anafanya kazi baada ya kupata ushauri wa kitaalamu namna ya kuvuruga mirija ya wakubwa bila kutikisa nchi. Haya mambo si ya mchezo mchezo kesho unaamka unamkamata Mkwere alafu biashara inafia hapo. Tuache spinning za ajabu kama kweli tunaipenda Tanzania. Tuunge mkono hizi juhudi badala ya hii tabia ya kuombeana mtu ashindwe tu alafu unajifanya mzalendo.

Katika taarifa kuna meter mpya zinafungwa huu mwezi wa nane sasa na zinatarajiwa kukamilika kufungwa baada ya miezi minne. Jee ziliagizwa na awamu ipi?

Isitoshe, sakata la meter lilianzia Tanga, serikali ikapiga marufuku mafuta kushushwa huko bila meter, zikafungwa meter mpya, ndiyo hizo zinazoongelewa sasa. Ni awamu ipi hiyo?

Hizo sehemu tumesoma kuwa zinamilikiwa na Serikali kwa asilimia 50 ina maana watendaji ni wezi. Kuzirudisha kuwa 100% ni njia mojawapo ya kuongeza wizi.

Nnashauri wapewe kampuni binafsi waziendeshe hizo jetty kwa asilimia mia moja.
 
Received 31/01/2011
Replied 01/02/2011

The difference is 24hrs or less?????
 
Majibu ya TRA kwenda TPA naona hayasomeki, labda simu yangu ya Mchina, ukizoom yanafifia zaidi. Kwa waliosoma, je TRA waliijibu nini TPA?

Kwa nadharia ya kawaida, pale Bandarini pametajirisha watu wengi sana.

Labda tu reshuffle ambayo ni Full Overhaul ifanyike TPA na TRA wale wa kitengo cha Kodi Bandarini.
Naamini Rais anaweza kuamua kurelocate watumishi wote pale hata kama wengine wako clean, ila kuanza upya ni jambo jema. Watapangiwa kazi maeneo mengine!
 
Kwa documents hizi, huyo mama wa Muhongo Magdalena haponi, yawezekana huyo mama alipewa maelekezo na mkwere, si ajilipue tu?
 
Back
Top Bottom