Sakata la Marekani na Iran... Marekani kaibuka kidedea..

Naona tunaongea lugha mbili tofauti View attachment 1320164

Jr[emoji769]
Mimi naongelea makombora yalihorushwa na Iran kwenye base mbili za wamarekani nchini Iraq then wakasema wamefanikiwa kuwaua askari wa Marekani zaidi ya 80.
Marekani wakatoa ripoti yao kuwa Hakuna askari hata mmoja wa marekani aliyefariki. Ndipo nikakuiliza hair wairan kusema wameua zaidi ya askari 80 walikuwa wakijimwambafy huku hawana report kamili?
Sijagusia sjambulio LA ndege ya Ukraine.
 
Leo umeandika kitoto sana.Ulitarajia marekani akubali watu 80 wamekufa?lini aliwahi kukubali watu wake wanapouwawa kwa mamia.Hata Kenya tu hapo huwa hawatoi takwimu halisi ya mauaji ya all shababi sembuse marekani.Kwa mujibu was DW uchambuzi wa Leo was maprofesa America amefyata mkia maana kivumbi kitakachotokea mashariki ya kati hakijawahi kutokea maana wafarsi wanasilaha za hatari za kuichafua mashariki ya kati kuliko ilivokuwa Syria na Iraki.Kumbuka kuna wanaume wanasubiri nani amfunge paka kengere yamkute yaliyomkuta hitra.
Serikali ya Iraq pia ilisema hakuna mtu yeyote aliyeuwawa kwenye lile shambulio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu kwa upande wa mauaji ya Qassim alikuwa na makomandoo takriban 20, hapa ithiibat ipo ingawa hukufafanua ila kwenye watu 80 kwenye kambi 2 hizi taarifa hazina ithibati, jiulize ni Camp gani inakosa mtu hata mmoja majeruhi huku ikiwa imetekea vibaya Sana Kwa mashambulizi kweli ilikuwa empty kiasi cha kukosa hata majeruhi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli bado haujajulikana.. Kuhesabu maiti 80 tasilimu zilizofukiwa na vifusi vya majengo yaliyobomoka ni kazi inayohitaji muda na utulivu.. Labda tu kama hayo makombora yalikuwa na sensor za kuhesabu miili na kupeleka feedback
Mimi naongelea makombora yalihorushwa na Iran kwenye base mbili za wamarekani nchini Iraq then wakasema wamefanikiwa kuwaua askari wa Marekani zaidi ya 80.
Marekani wakatoa ripoti yao kuwa Hakuna askari hata mmoja wa marekani aliyefariki. Ndipo nikakuiliza hair wairan kusema wameua zaidi ya askari 80 walikuwa wakijimwambafy huku hawana report kamili?
Sijagusia sjambulio LA ndege ya Ukraine.
Hilo hapo juu ndio lilikuwa jibu langu sijui ulilielewa?

Jr[emoji769]
 
Kwenye msafara wa Qaesim walikufa wengi ila kusema kwa asilimia mia ni makomandoo wote sijasema hivyo.. Kwenye shambulizi la military base nimesema kuna sensor zenye alarm za kutoa tahadhari ili watu wajifiche kwenye vyumba na mahandaki salama (bunkers) kuhusu idadi ya vifo na majeruhi hilo bado lina utata
Sasa mkuu kwa upande wa mauaji ya Qassim alikuwa na makomandoo takriban 20, hapa ithiibat ipo ingawa hukufafanua ila kwenye watu 80 kwenye kambi 2 hizi taarifa hazina ithibati, jiulize ni Camp gani inakosa mtu hata mmoja majeruhi huku ikiwa imetekea vibaya Sana Kwa mashambulizi kweli ilikuwa empty kiasi cha kukosa hata majeruhi???

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Hata watoto zake IS wameshinda,sababu yule kamanda alikuwa kikwazo kwa IS.Sasa hapa ndio ujiulize hivi US anapinga ugaidi au ana support magaidi kwa ajili ya kulinda maslahi yake.

US,Saudi Arabia na Iran ndio vinara wa kutengeneza magaidi mashariki ya kati.US inatumia ugaidi kudestabilize nchi tishio kwake na marafiki zake pale middle east.Taifa lolote linaloibuka na kuwa tishio kwa Israel na Saudi Arabia lazima US adeal nalo.Proxy wars imekuwa mbinu adhimu kufanya hujuma kwa maadui zake.Na lengo kubwa ni kuweaken wanaopinga sera zake ili yeye US aendelee kupata faida za kiuchumi na utajiri wa middle east.
Chain ya ugaidi inatoka from Western intelligence organizations via Saudi Arabian government and economic tycoons na kwenda down into different areas za middle east kuunda militias.Miaka ya 90 hadi early 2000's hii mbinu iliipa US power kubwa pale,lakini baada ya kuisambaratisha Iraq na Afghanistan,na kuanza kuichokonoa Syria,Iran na Russia zikaona maslahi yao middle east yako hatarini na Syria ingeanguka basi anayefuatia angekuwa Iran.Hivyo wakaamua kupambana kuhakikisha Syria haianguki na juhudi za US kugain influence middle east inadidimizwa.Iran wana kitu wanaita "forward defence" (kama nakumbuka vizuri),kwamba wanahakikisha ulinzi wao wa taifa na maslahi yake unaanzia nje ya Iran,na wana kitengo cha makomando wa jeshi lao kinahusika na ujasusi na hujuma za kigaidi nje ya nchi,(IRGC quds force)ndicho hicho cha akina marehemu Soleimani,kikiripoti direct kwa Ayatollah mwenyewe.Kinalinda mfumo wa utawala wa Caliphate wa kishia "velayat e faqih"( mfumo unaompa kiongozi wa kidini wa uislam wa kishia mamlaka juu ya serikali)nje na ndani ya Iran(dhidi ya wasioaminika katika mfumo rasmi wa serikali).Asili ya mbinu hii ya kujihami ilianzia kwenye mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 79.Baada ya kumuondoa Mfalme Shah na kuanzisha serikali ya Uislamu wa kishia,ikawa inasumbuliwa sana na upinzani toka mataifa ya magharibi yaliyopinga uenezi wa serikali za aina hii middle east,pamoja na hujuma za Israel na Saudia ya wasunni.Saudi,US na Israel zimekuwa zikitumia proxy wars kuua influence ya Iran middle east.Na Iran nayo inataka kukuza ustaarabu wake wa kishia eneo hilo.Iran nayo kwa msaada mkubwa wa Russia,wakaamua kuanzisha na wenyewe vikundi vya kigaidi ili kugain influence eneo la middle east na kuvuruga mtandao wa kigaidi wa US,na kuhakikisha vurugu zinaishia nje ya nchi yao,huko huko Iraq,Syria,Yemen,Afghanistan etc.
Hata muundo wa security organs za Iran unaonyesha jinsi walivyoupa umuhimu ujasusi na proxy wars nje ya nchi.

Irgc quds force ina vitengo vya askari maalum kwa maeneo ya middle east,kama vile Rasulullah(Arabian peninsula),Ansar corps(Afghanistan),Ramazan corps(Iraq) etc.
Wana kikosi cha wanamgambo wa kujitolea kinaitwa Basij,kilicho chini ya IRGC,chenye kazi za kimkakati za mobilization,ulinzi wa ndani,kupandikiza na kusimamia mawazo mikakati ya viongozi kwa jamii,kuandaa mikutano ya kidini,etc.Humu ndimo vijana wengi huwa drilled elimu ya awali ya kijeshi na huchukuliwa na kuingizwa jeshini rasmi baadae,na kurecruit militias.

Emergency ya ISIS ilisababisha balaa kwa US,kwani Iran ilitumia gia kubwa kuunda vikundi powerful vya kupambana na Isis,wakaingiza hadi askari wao rasmi kuongoza front operations huko Syria na maeneo mengi ya Levant,wakitumia ushia kupata sapoti ya vijana wengi wa kiarabu kama vile Houthis kule Yemen,mbinu zao zikawa effective zaidi kuishinda Isisi,na hivyo kuanguka kwa Isis ukawa ushindi mkubwa zaidi kwa Iran kuliko US,mtandao wa militias wa Iran na marafiki zake ukawa superior kuliko ule wa US.Marekani ikaiona hatari hii,kwamba Iran inachukua advantage kwa mbinu ambayo US ndio iliyoanzisha.Iran ikaanza kugain popularity hadi ndani ya mioyo ya vijana wa kishia wa Iraq.Ndipo uhatari wa akina Soleimani kwa maslahi ya US ulipoanzia hapo.Sasa US wanataka kusambaratisha mtandao mbadala ulioanzishwa na Iran.Na wameanza vizuri kweli!Kumuua baba wa mikakati ya hujuma za waajemi Commando General Soleimani,ni pigo kuu kwa Iran.The guy was oustanding soldier,very brave,experienced na eneo lile,na pia mbinu za wamarekani alizijua.No wonder Iran ilimlilia kweli,hujawahi kuona mamilioni ya watu wakizika kama alivyozikwa muajemi Soleimani!Nasikia ndiye alikuwa anaandaliwa kuwa Rais ajaye wa Iran.Pia alikufa pamoja na makamanda wake walioshiba falsafa zake za mapigano ambao wangeweza kutumika baadae.Na tukio hili la kulipua ndege ya abiria,ukabisha hujafanya halafu baadae unakubali,ndio limezidi kuivurugia Iran kabisa mbele ya jicho la watu,maana psychological warfare ni tool muhimu sana kwenye mpambano huu.Vikwazo alivyowekewa zamani vilishamuathiri kiuchumi Iran,sasa hivi alivyosema Trump anaviongeza juzi ndio vinakwenda kumalizia kile kilichobaki kwa uchumi wa Iran.Vita zake za proxy zinahitaji fedha,maana ni hujuma za taratibu kwa muda mrefu.Ataweza kuendelea nazo?Nadhani hapo ataomba kudra za mrusi zimuokoe na zengwe la Syria na Iraq(current proxy wars battlefields) lisiishe to american dream!
 
Sasa mkuu kwa upande wa mauaji ya Qassim alikuwa na makomandoo takriban 20, hapa ithiibat ipo ingawa hukufafanua ila kwenye watu 80 kwenye kambi 2 hizi taarifa hazina ithibati, jiulize ni Camp gani inakosa mtu hata mmoja majeruhi huku ikiwa imetekea vibaya Sana Kwa mashambulizi kweli ilikuwa empty kiasi cha kukosa hata majeruhi???

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Jr[emoji769]

Nami nimeelewa sasa. Combination of God looking out for them, combination of a little intel and advanced warnings they got and combination of smart people they got to make a quick and right decisions on the spot saved lives of American soldiers.
 
Kupoteza idadi hiyo ya watu kwa kipindi kifupi tena wakiwemo high profile figures sio jambo dogo.. Kwahiyo kwa mtazamo wa jumla kwenye hili sakata Iran ndio kaumia zaidi
Mkuu ,mashia suala la kufa wao ndio wanaliombea,wanaita wamekufa shahid
Ushindi wa marekani ni kwa high tech,hao ma Mulla na Ayatollas kufa kwao ni kitu kidogo sana
 
Tujadili mada hii katika uhalisia..
Tuweke mahaba pembeni...
Hapa tusizungumzie propaganda za pande zote mbili bali tujadili zile fact zilizoonekana..

Wamarekani ni watu wanaothamini mno uhai wao kuliko kitu kingine chochote... Kwakuwa wanaamini ya kwamba WE LIVE ONLY ONCE... Tunaishi mara moja tuu.. Hayo maisha baada ya kifo ni habari nyingine isiyopewa mashiko sana..
Mmarekani hataki kusikia kitu kinaitwa kufia vitani.. Wanajaribu kwa jinsi zote kujikinga kwa kila namna asife lakini pia ashinde... Ndio maana amewekeza sana kwenye teknolojia ya maroboti ya kivita.. Vita ya kwenye computer... Yaani akutungue wakati akiwa kwenye sofa, kiyoyozi na kikombe cha kahawa mkononi..

Kwenye military base zao na hata kwenye Balozi zao duniani wamewekeza kwenye mifumo imara ya ulinzi na USALAMA.. Kiasi kwamba hupata taarifa mapema kabla hatari haijatokea. Wana mahandaki na vyumba salama ambavyo ni ngumu mno kuvishambulia na kuleta madhara tarajiwa
Hiyo ndio haiba ya mmarekani aende vitani akapigane ikiwezekana ashinde kisha arudi home maisha yaendelee huku akitunukiwa nishani na medani ya vita...

Kwa watu wa mashariki ya kati hasa waarabu... Wao wanaenda vitani wakapigane .. Kupona sio sehemu muhimu kwao.. Na ndio maana mambo ya kujitoa mhanga afe na wengine wengi sana ni SEHEMU muhimu ya mafunzo yao ya kivita.. Kwenda kupigana ufe.. Yani anapoona kuna nafasi ya kuua wengi kupitia yeye hasiti kujilipua... Hii ndio tofauti kubwa kati ya wawili hawa mzungu na mwarabu
Shambulizi la Iraq lililoondoka na kichwa cha jenerali komando wa Iran ni pigo kubwa sana kwa wa Iran.. Jenerali Qaesim alikuwa commando aliyeiva vizuri mno, mbabe na mpanga mikakati mkuu wa vita nyingi za mashariki ya kati.. Kwenye shambulizi lile lililomuua ni wazi kafa na makomandoo na watu wengine muhimu tu ambao hawajatajwa wasiopungua 20..

Baada ya shambulizi lile Iran walilipa kisasi kwa kushambulia kambi mbili za Marekani nchini Iraq na kudai kuwaua askari 80 wa Marekani.. Hili lilikanushwa na mpaka leo limekosa ithibati.. Kumbuka Marekani wana mfumo madhubuti wa tahadhari ya hatari
Katikati ya kizungumkuti cha shambulio ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka toka Iran ikashambuliwa na kombora la Iran kwa makosa na kuuwa abiria na wafanyakazi wote wanaokadiriwa kufikia 180.. Hili ni pigo la pili kwa Iran

Mwisho wakati wa mazishi ya commando Qaesim watu wasiopungua 60 walifariki kwenye mkanyagano.. Kwahiyo kwa hesabu za haraka Iran kapoteza raia wake wasiopungua 262 katika kipindi kifupi cha wiki moja na hii yote inatokana na kifo cha mtu mmoja tuu.. Commander general Qaesim Soleiman.. Kilichosababishwa na amri ya rais wa Marekani..

Halafu wanakufa kwa kugombea kugusa mabox ambayo ndani hakuna maiti YA selemani ilaha jivu tu baada ya ule msafara wake kupigwa kibiriti na kuchomwa!
Huu ni upopoma KIWANGO cha PhD [emoji44][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofcoz mmarekani amefanikiwa ndio maana anakimbilia kukataa vita ,hapa ishu ni kwamba yake yametimia ila hiyo idadi ya raia waliokufa kwenye ndege irani walikuwa 63 ,walikuwepo ,wacanada ,wa ukraine ,ila sitaki kuamini kuwa hakuna aliekufa kwenye mashambulio ya marekani ,vita vinahusisha propaganda pia za midomo ,ili kuwafariji wananchi huenda muiran akazidisha kusema 80 kumbe waliokufa 10 na mmarekani akakanusha vifo haliyakuwa wamekufa yote ni kuwafanya wananchi na dunia iwaone bora
Tujadili mada hii katika uhalisia..
Tuweke mahaba pembeni...
Hapa tusizungumzie propaganda za pande zote mbili bali tujadili zile fact zilizoonekana..

Wamarekani ni watu wanaothamini mno uhai wao kuliko kitu kingine chochote... Kwakuwa wanaamini ya kwamba WE LIVE ONLY ONCE... Tunaishi mara moja tuu.. Hayo maisha baada ya kifo ni habari nyingine isiyopewa mashiko sana..
Mmarekani hataki kusikia kitu kinaitwa kufia vitani.. Wanajaribu kwa jinsi zote kujikinga kwa kila namna asife lakini pia ashinde... Ndio maana amewekeza sana kwenye teknolojia ya maroboti ya kivita.. Vita ya kwenye computer... Yaani akutungue wakati akiwa kwenye sofa, kiyoyozi na kikombe cha kahawa mkononi..

Kwenye military base zao na hata kwenye Balozi zao duniani wamewekeza kwenye mifumo imara ya ulinzi na USALAMA.. Kiasi kwamba hupata taarifa mapema kabla hatari haijatokea. Wana mahandaki na vyumba salama ambavyo ni ngumu mno kuvishambulia na kuleta madhara tarajiwa
Hiyo ndio haiba ya mmarekani aende vitani akapigane ikiwezekana ashinde kisha arudi home maisha yaendelee huku akitunukiwa nishani na medani ya vita...

Kwa watu wa mashariki ya kati hasa waarabu... Wao wanaenda vitani wakapigane .. Kupona sio sehemu muhimu kwao.. Na ndio maana mambo ya kujitoa mhanga afe na wengine wengi sana ni SEHEMU muhimu ya mafunzo yao ya kivita.. Kwenda kupigana ufe.. Yani anapoona kuna nafasi ya kuua wengi kupitia yeye hasiti kujilipua... Hii ndio tofauti kubwa kati ya wawili hawa mzungu na mwarabu
Shambulizi la Iraq lililoondoka na kichwa cha jenerali komando wa Iran ni pigo kubwa sana kwa wa Iran.. Jenerali Qaesim alikuwa commando aliyeiva vizuri mno, mbabe na mpanga mikakati mkuu wa vita nyingi za mashariki ya kati.. Kwenye shambulizi lile lililomuua ni wazi kafa na makomandoo na watu wengine muhimu tu ambao hawajatajwa wasiopungua 20..

Baada ya shambulizi lile Iran walilipa kisasi kwa kushambulia kambi mbili za Marekani nchini Iraq na kudai kuwaua askari 80 wa Marekani.. Hili lilikanushwa na mpaka leo limekosa ithibati.. Kumbuka Marekani wana mfumo madhubuti wa tahadhari ya hatari
Katikati ya kizungumkuti cha shambulio ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka toka Iran ikashambuliwa na kombora la Iran kwa makosa na kuuwa abiria na wafanyakazi wote wanaokadiriwa kufikia 180.. Hili ni pigo la pili kwa Iran

Mwisho wakati wa mazishi ya commando Qaesim watu wasiopungua 60 walifariki kwenye mkanyagano.. Kwahiyo kwa hesabu za haraka Iran kapoteza raia wake wasiopungua 262 katika kipindi kifupi cha wiki moja na hii yote inatokana na kifo cha mtu mmoja tuu.. Commander general Qaesim Soleiman.. Kilichosababishwa na amri ya rais wa Marekani..

Kupoteza idadi hiyo ya watu kwa kipindi kifupi tena wakiwemo high profile figures sio jambo dogo.. Kwahiyo kwa mtazamo wa jumla kwenye hili sakata Iran ndio kaumia zaidi

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siamini kama ndege ile imeshushwa kwa bahati mbaya...huenda kuna majasusi yalikua yanavuka border wakaamua kuishusha yote.

Inabaki kuwa siri ya jeshi

[/QUOTE .
Unaweza kuwa mkweli kutokana na mutazamo wako, Lkn mbona Vietnam walikufazaidi ya 5000? Iraq zaidi ya 3000 na walio rudi vilema zaidi ya 4000? Kitu unacho takiwa kujua ni kwamba dunia ya sasa kila inchi inafanya juhudi kuwa na tekinologia ya halo ya juu ata sisi wafrika ni kukosa pesa za kuendesha mitambo ya kuvumbua vitu Ila tuna watu wenye uwezo mkubwa sana, kwahiyo Iran unao isemea ni inchi ya pili kama siyo.kwanza bada ya Uturuki kuwa na tekilogia nzuri tena ya nyumbani! Unasahu kuwa Marekani kasha wahi kumvamia muirani Mara 3 na akashindwa mipango yake na ndege zake kushushwa kwakupoteza direction na mawasiliano.
 
A lot to tell.. But the night has a story to tell
Nami nimeelewa sasa. Combination of God looking out for them, combination of a little intel and advanced warnings they got and combination of smart people they got to make a quick and right decisions on the spot saved lives of American soldiers.

Jr[emoji769]
 
That's the main point @kabombe
Mkuu ,mashia suala la kufa wao ndio wanaliombea,wanaita wamekufa shahid
Ushindi wa marekani ni kwa high tech,hao ma Mulla na Ayatollas kufa kwao ni kitu kidogo sana

Jr[emoji769]
 
[emoji15][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Halafu wanakufa kwa kugombea kugusa mabox ambayo ndani hakuna maiti YA selemani ilaha jivu tu baada ya ule msafara wake kupigwa kibiriti na kuchomwa!
Huu ni upopoma KIWANGO cha PhD [emoji44][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Tujadili mada hii katika uhalisia..
Tuweke mahaba pembeni...
Hapa tusizungumzie propaganda za pande zote mbili bali tujadili zile fact zilizoonekana..

Wamarekani ni watu wanaothamini mno uhai wao kuliko kitu kingine chochote... Kwakuwa wanaamini ya kwamba WE LIVE ONLY ONCE... Tunaishi mara moja tuu.. Hayo maisha baada ya kifo ni habari nyingine isiyopewa mashiko sana..
Mmarekani hataki kusikia kitu kinaitwa kufia vitani.. Wanajaribu kwa jinsi zote kujikinga kwa kila namna asife lakini pia ashinde... Ndio maana amewekeza sana kwenye teknolojia ya maroboti ya kivita.. Vita ya kwenye computer... Yaani akutungue wakati akiwa kwenye sofa, kiyoyozi na kikombe cha kahawa mkononi..

Kwenye military base zao na hata kwenye Balozi zao duniani wamewekeza kwenye mifumo imara ya ulinzi na USALAMA.. Kiasi kwamba hupata taarifa mapema kabla hatari haijatokea. Wana mahandaki na vyumba salama ambavyo ni ngumu mno kuvishambulia na kuleta madhara tarajiwa
Hiyo ndio haiba ya mmarekani aende vitani akapigane ikiwezekana ashinde kisha arudi home maisha yaendelee huku akitunukiwa nishani na medani ya vita...

Kwa watu wa mashariki ya kati hasa waarabu... Wao wanaenda vitani wakapigane .. Kupona sio sehemu muhimu kwao.. Na ndio maana mambo ya kujitoa mhanga afe na wengine wengi sana ni SEHEMU muhimu ya mafunzo yao ya kivita.. Kwenda kupigana ufe.. Yani anapoona kuna nafasi ya kuua wengi kupitia yeye hasiti kujilipua... Hii ndio tofauti kubwa kati ya wawili hawa mzungu na mwarabu
Shambulizi la Iraq lililoondoka na kichwa cha jenerali komando wa Iran ni pigo kubwa sana kwa wa Iran.. Jenerali Qaesim alikuwa commando aliyeiva vizuri mno, mbabe na mpanga mikakati mkuu wa vita nyingi za mashariki ya kati.. Kwenye shambulizi lile lililomuua ni wazi kafa na makomandoo na watu wengine muhimu tu ambao hawajatajwa wasiopungua 20..

Baada ya shambulizi lile Iran walilipa kisasi kwa kushambulia kambi mbili za Marekani nchini Iraq na kudai kuwaua askari 80 wa Marekani.. Hili lilikanushwa na mpaka leo limekosa ithibati.. Kumbuka Marekani wana mfumo madhubuti wa tahadhari ya hatari
Katikati ya kizungumkuti cha shambulio ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka toka Iran ikashambuliwa na kombora la Iran kwa makosa na kuuwa abiria na wafanyakazi wote wanaokadiriwa kufikia 180.. Hili ni pigo la pili kwa Iran

Mwisho wakati wa mazishi ya commando Qaesim watu wasiopungua 60 walifariki kwenye mkanyagano.. Kwahiyo kwa hesabu za haraka Iran kapoteza raia wake wasiopungua 262 katika kipindi kifupi cha wiki moja na hii yote inatokana na kifo cha mtu mmoja tuu.. Commander general Qaesim Soleiman.. Kilichosababishwa na amri ya rais wa Marekani..

Kupoteza idadi hiyo ya watu kwa kipindi kifupi tena wakiwemo high profile figures sio jambo dogo.. Kwahiyo kwa mtazamo wa jumla kwenye hili sakata Iran ndio kaumia zaidi

Jr[emoji769]
Wavaa pedo hawawezi kukuelewa hata kidogo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom