King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,774
- 3,279
Mpaka leo wazungu wengi wameathirika na sumu walizokuwa wanatumia na serikali zimegoma kuwalipa can you imagine that
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kaumia vipi iran wakat kwa kauli yako umesema wairani kufa vitani sio habari kubwa kwao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umeandika kitoto sana.Ulitarajia marekani akubali watu 80 wamekufa?lini aliwahi kukubali watu wake wanapouwawa kwa mamia.Hata Kenya tu hapo huwa hawatoi takwimu halisi ya mauaji ya all shababi sembuse marekani.Kwa mujibu was DW uchambuzi wa Leo was maprofesa America amefyata mkia maana kivumbi kitakachotokea mashariki ya kati hakijawahi kutokea maana wafarsi wanasilaha za hatari za kuichafua mashariki ya kati kuliko ilivokuwa Syria na Iraki.Kumbuka kuna wanaume wanasubiri nani amfunge paka kengere yamkute yaliyomkuta hitra.Tujadili mada hii katika uhalisia..
Tuweke mahaba pembeni...
Hapa tusizungumzie propaganda za pande zote mbili bali tujadili zile fact zilizoonekana..
Wamarekani ni watu wanaothamini mno uhai wao kuliko kitu kingine chochote... Kwakuwa wanaamini ya kwamba WE LIVE ONLY ONCE... Tunaishi mara moja tuu.. Hayo maisha baada ya kifo ni habari nyingine isiyopewa mashiko sana..
Mmarekani hataki kusikia kitu kinaitwa kufia vitani.. Wanajaribu kwa jinsi zote kujikinga kwa kila namna asife lakini pia ashinde... Ndio maana amewekeza sana kwenye teknolojia ya maroboti ya kivita.. Vita ya kwenye computer... Yaani akutungue wakati akiwa kwenye sofa, kiyoyozi na kikombe cha kahawa mkononi..
Kwenye military base zao na hata kwenye Balozi zao duniani wamewekeza kwenye mifumo imara ya ulinzi na USALAMA.. Kiasi kwamba hupata taarifa mapema kabla hatari haijatokea. Wana mahandaki na vyumba salama ambavyo ni ngumu mno kuvishambulia na kuleta madhara tarajiwa
Hiyo ndio haiba ya mmarekani aende vitani akapigane ikiwezekana ashinde kisha arudi home maisha yaendelee huku akitunukiwa nishani na medani ya vita...
Kwa watu wa mashariki ya kati hasa waarabu... Wao wanaenda vitani wakapigane .. Kupona sio sehemu muhimu kwao.. Na ndio maana mambo ya kujitoa mhanga afe na wengine wengi sana ni SEHEMU muhimu ya mafunzo yao ya kivita.. Kwenda kupigana ufe.. Yani anapoona kuna nafasi ya kuua wengi kupitia yeye hasiti kujilipua... Hii ndio tofauti kubwa kati ya wawili hawa mzungu na mwarabu
Shambulizi la Iraq lililoondoka na kichwa cha jenerali komando wa Iran ni pigo kubwa sana kwa wa Iran.. Jenerali Qaesim alikuwa commando aliyeiva vizuri mno, mbabe na mpanga mikakati mkuu wa vita nyingi za mashariki ya kati.. Kwenye shambulizi lile lililomuua ni wazi kafa na makomandoo na watu wengine muhimu tu ambao hawajatajwa wasiopungua 20..
Baada ya shambulizi lile Iran walilipa kisasi kwa kushambulia kambi mbili za Marekani nchini Iraq na kudai kuwaua askari 80 wa Marekani.. Hili lilikanushwa na mpaka leo limekosa ithibati.. Kumbuka Marekani wana mfumo madhubuti wa tahadhari ya hatari
Katikati ya kizungumkuti cha shambulio ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka toka Iran ikashambuliwa na kombora la Iran kwa makosa na kuuwa abiria na wafanyakazi wote wanaokadiriwa kufikia 180.. Hili ni pigo la pili kwa Iran
Mwisho wakati wa mazishi ya commando Qaesim watu wasiopungua 60 walifariki kwenye mkanyagano.. Kwahiyo kwa hesabu za haraka Iran kapoteza raia wake wasiopungua 262 katika kipindi kifupi cha wiki moja na hii yote inatokana na kifo cha mtu mmoja tuu.. Commander general Qaesim Soleiman.. Kilichosababishwa na amri ya rais wa Marekani..
Kupoteza idadi hiyo ya watu kwa kipindi kifupi tena wakiwemo high profile figures sio jambo dogo.. Kwahiyo kwa mtazamo wa jumla kwenye hili sakata Iran ndio kaumia zaidi
Jr[emoji769]
Wengi wamekuwa machizi na death rate ilipanda baada ya wanajeshi wengi kurejea US.. Wengine wakawa mchicha mwiba na wengine walevi kupindukia
Jr[emoji769]
Mi najiulizaga sana swali kama hill.Hivi wazungu wakiamua kuturudisha utumwani tutapinga kwa njia zipi.Sikh za Uhuru huwa tunaonesha vifaru sijui kumtishia nani?Yeah! Huwa najidharau hasa kwa kuangalia walio nizidi uwezo! Kiakili na kiuchumi!!. Utakuwa umenielewa nadhani.
Leo umeandika kitoto sana.Ulitarajia marekani akubali watu 80 wamekufa?lini aliwahi kukubali watu wake wanapouwawa kwa mamia.Hata Kenya tu hapo huwa hawatoi takwimu halisi ya mauaji ya all shababi sembuse marekani.Kwa mujibu was DW uchambuzi wa Leo was maprofesa America amefyata mkia maana kivumbi kitakachotokea mashariki ya kati hakijawahi kutokea maana wafarsi wanasilaha za hatari za kuichafua mashariki ya kati kuliko ilivokuwa Syria na Iraki.Kumbuka kuna wanaume wanasubiri nani amfunge paka kengere yamkute yaliyomkuta hitra.
Kuna thread moja ililetwa ya homeless wa ulaya na USA
Nilichangia nikasema wengi ni veterans wa iraq lakini kuna jamaa mmarekani mweusi aliniahambulia sana
Anyway jamaa wameathirika sana kama unavyosema
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wamekubali kuitungua Kwa bahati mbaya na Makombora ya hasira waliyokuwa wanatupa Iraq kwenye Base ya wamerekani. Nimesikia hii habari VOA.Nazani ndege ni ya Ukraine hapo labda kama kuna jambo lilifichwa
Walikua wanakitaka kichwa chake cha nn na aliwakosea nn?Eti waarabu wao hawaogopi kifo
Hivi unafikiri kwanini waliisusia ile jackpot ya dollar milion 80 kwa atakayefanikisha kuleta kichwa cha trump?
Mimi niliongeza milion kumi pale zakitanzania, endapo kuna sisimizi itayoweza kuthubutu kugusa empaya ya trump mimi ningepeleka hiyo milion kumi kwenye familia yake iwe kama rambi rambi
Na hio ndio tofauti Kati ya kutumia akili na kutumia hisia.. unafikiri kwanini wazungu hudharau waafrika na waarabu..? Ni kuwa kiungo kinachoitwa ubongo hatukifanyii kazi ipasavyo!
Haujamuelewa jamaaHuo ni ukweli Kabisa
Yani ni kama mwakinyo kapigwa na baunsa ambaye kiuwezo mwakinyo kazidiwa, halafu mwakinyo anamuambia barnaba kua ukiweza kumpiga yule jamaa aliyenipiga ukamtoa ngeo basi mimi nitakupa milion tano
Ungekua wewe ndio barnaba ungeenda?
Sasa ilicho kifanya iran ni sawa na huo mfano wa mwakinyo kumsakizia ugomvi usiomhusu barnaba
Iran anasilaha na makombora yakuzidi lakini pamoja na hivyo vyote kapigwa mwanajeshi wake, akatoa kauli kua lazima atarudishia lakini ghafla akabadili gia angani eti natoa dau kwa atakayeleta kichwa cha trump
Hapa ndipo nilipoona kua iran inawatu wenye akili kwasababu hakuna aliyetaka kukubali huu ujinga
Kwahiyo mkuu mshana hair jamaa wairan waliposema Waneta zaidi ya wanajeshi 80 wa US walikuwa wakijimwambafai tu?!Si mdogo kivile na hatupaswi kumdharau hata kidogo.... Lile shambulizi kwenye kambi mbili za Marekani nchini Iraq halikuwa la kitoto pia... Kama si mfumo madhubuti wa Marekani wa ujenzi na ulinzi pale pangebakia mahandaki na kila kitu kingezikwa pale
Jr[emoji769]
Kwahiyo mkuu mshana hair jamaa wairan waliposema Waneta zaidi ya wanajeshi 80 wa US walikuwa wakijimwambafai tu?!
Umekuja mbio kama umefukuzwa au umefumaniwa... kasome uliposoma tena Iranians waliokiwa kwenye ndege ni 80+bro nirekenishe kidogo...
kwenye hiyo idadi ya wairan waliolufa siyo sawa,hiyo ndege ilikia na raia wengi wa nchi zingine pia...wairan walikua 63 tu,hiyo kuweka rekodi sawa.
lakini pia ndege haikua ya urusi,ilikua ni ndege ya shirika la ndege la ukraine.
kuweka sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya point bora kabisa hii, labda kwa mwaka mzima wa 2020Na hio ndio tofauti Kati ya kutumia akili na kutumia hisia.. unafikiri kwanini wazungu hudharau waafrika na waarabu..? Ni kuwa kiungo kinachoitwa ubongo hatukifanyii kazi ipasavyo!
Hiyo damage ya majengo kubomoka na mavifusi kurundikana umeiona wapi mkuu?Ukweli bado haujajulikana.. Kuhesabu maiti 80 tasilimu zilizofukiwa na vifusi vya majengo yaliyobomoka ni kazi inayohitaji muda na utulivu.. Labda tu kama hayo makombora yalikuwa na sensor za kuhesabu miili na kupeleka feedback
Jr[emoji769]