My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
hawakuisusia hiyo Jackpot, ishu ni Formula ya kuicheza hiyo Jackpot hawana,Eti waarabu wao hawaogopi kifo
Hivi unafikiri kwanini waliisusia ile jackpot ya dollar milion 80 kwa atakayefanikisha kuleta kichwa cha trump?
Mimi niliongeza milion kumi pale zakitanzania, endapo kuna sisimizi itayoweza kuthubutu kugusa empaya ya trump mimi ningepeleka hiyo milion kumi kwenye familia yake iwe kama rambi rambi
Sent using Jamii Forums mobile app