Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,793
Tujadili mada hii katika uhalisia..
Tuweke mahaba pembeni...
Hapa tusizungumzie propaganda za pande zote mbili bali tujadili zile fact zilizoonekana..
Wamarekani ni watu wanaothamini mno uhai wao kuliko kitu kingine chochote... Kwakuwa wanaamini ya kwamba WE LIVE ONLY ONCE... Tunaishi mara moja tuu.. Hayo maisha baada ya kifo ni habari nyingine isiyopewa mashiko sana..
Mmarekani hataki kusikia kitu kinaitwa kufia vitani.. Wanajaribu kwa jinsi zote kujikinga kwa kila namna asife lakini pia ashinde... Ndio maana amewekeza sana kwenye teknolojia ya maroboti ya kivita.. Vita ya kwenye computer... Yaani akutungue wakati akiwa kwenye sofa, kiyoyozi na kikombe cha kahawa mkononi..
Kwenye military base zao na hata kwenye Balozi zao duniani wamewekeza kwenye mifumo imara ya ulinzi na USALAMA.. Kiasi kwamba hupata taarifa mapema kabla hatari haijatokea. Wana mahandaki na vyumba salama ambavyo ni ngumu mno kuvishambulia na kuleta madhara tarajiwa
Hiyo ndio haiba ya mmarekani aende vitani akapigane ikiwezekana ashinde kisha arudi home maisha yaendelee huku akitunukiwa nishani na medani ya vita...
Kwa watu wa mashariki ya kati hasa waarabu... Wao wanaenda vitani wakapigane .. Kupona sio sehemu muhimu kwao.. Na ndio maana mambo ya kujitoa mhanga afe na wengine wengi sana ni SEHEMU muhimu ya mafunzo yao ya kivita.. Kwenda kupigana ufe.. Yani anapoona kuna nafasi ya kuua wengi kupitia yeye hasiti kujilipua... Hii ndio tofauti kubwa kati ya wawili hawa mzungu na mwarabu
Shambulizi la Iraq lililoondoka na kichwa cha jenerali komando wa Iran ni pigo kubwa sana kwa wa Iran.. Jenerali Qaesim alikuwa commando aliyeiva vizuri mno, mbabe na mpanga mikakati mkuu wa vita nyingi za mashariki ya kati.. Kwenye shambulizi lile lililomuua ni wazi kafa na makomandoo na watu wengine muhimu tu ambao hawajatajwa wasiopungua 20..
Baada ya shambulizi lile Iran walilipa kisasi kwa kushambulia kambi mbili za Marekani nchini Iraq na kudai kuwaua askari 80 wa Marekani.. Hili lilikanushwa na mpaka leo limekosa ithibati.. Kumbuka Marekani wana mfumo madhubuti wa tahadhari ya hatari
Katikati ya kizungumkuti cha shambulio ndege ya Ukraine iliyokuwa inaruka toka Iran ikashambuliwa na kombora la Iran kwa makosa na kuuwa abiria na wafanyakazi wote wanaokadiriwa kufikia 180.. Hili ni pigo la pili kwa Iran
Mwisho wakati wa mazishi ya commando Qaesim watu wasiopungua 60 walifariki kwenye mkanyagano.. Kwahiyo kwa hesabu za haraka Iran kapoteza raia wake wasiopungua 262 katika kipindi kifupi cha wiki moja na hii yote inatokana na kifo cha mtu mmoja tuu.. Commander general Qaesim Soleiman.. Kilichosababishwa na amri ya rais wa Marekani..
Kupoteza idadi hiyo ya watu kwa kipindi kifupi tena wakiwemo high profile figures sio jambo dogo.. Kwahiyo kwa mtazamo wa jumla kwenye hili sakata Iran ndio kaumia zaidi
Jr