Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,644
- 860,880
- Thread starter
- #21
Iran mbali sana hivi hapa kwetu tuna mfumo wa kulinda raia wetu ama hata kuwajali kwenye shida ndani na nje ya nchi
Jr[emoji769]
Iran hapo kwenye kuua wananchi wao wenyewe na hadi sasa hamna kiongozi aliewajibika aiseeee nazidi kukereka nao
imagine ingeku marekani watu wangesharesign na hatua kuchukuliwa
STRONG INSTITUTIONS katika taifa lolote for checks and balance na uwajibikaji ktk maeneo mbalimbali zinabadilisha maisha ya raia wake
Jr[emoji769]