Haya yote umeyajulia Poraaand au Ileje?
teh teh teh teh
Haya yote umeyajulia Poraaand au Ileje?
teh teh teh teh
I knew it, i knew it, i knew it.
the answer is............ Poraaaaaand.
10/10
ok! ok! ok!
I knew it, i knew it, i knew it.
the answer is............ Poraaaaaand.
great thinker, next post ni kujibu hii na kuwapa thanks watu
umeshajizika kwenye kumpenda Mbowe basi, yakitokea haya huna la kusema!
unaandika ukoko ukoko, siasa za Tz mbona zitawatesa nyie, achani ushabiki
MBOWE ALISHAKIHARIBU CHAMA, SASA MNATHIBITISHA, AMEITISHA MKUTANO viongozi wake wengi wasaidizi hawapo
ameshamcorrupt mpaka Slaa sasa, Slaa alitakiwa aulize integrity ya huo mkutano, kama kubwa jinga nalo limeingia nyavuni
yaani mtu mmoja kiongozi akiwa bogus chama lote linakuwa hivyo hivyo
duh!
ameshamcorrupt mpaka Slaa sasa, Slaa alitakiwa aulize integrity ya huo mkutano, kama kubwa jinga nalo limeingia nyavuni
Du ama kweli ng'ombe wa masikini hazai...
Now I understand kwanini MWAFRIKA alikuwa akilazimisha kuwa mimi nasema kama msemaji wa Zitto. Mwanzoni nilidhani ni upofu wa kudhani kila mtu hana akili ya kusema ama kuwa na msimamo wake mwenyewe kumbe ugali ulikuwa unaandaliwa kuni?
Wakati haya yakifanyika kama ni kweli ushauri wangu ni kuwa mtambue kuwa Shida Salum alihchaguli kwa kura zaidi ya asilimia 70 kuingia kamati kuu/baraza kuu na pia Kafulila alipata kura nyingi kuliko wagombea wote ndani ya baraza la vijana hivyo hapo mjiandae kupambana na pengine zaidi ya nusu ya wanachama wa CHADEMA.
Hapo sijamuongelea Zitto ambaye wote mnamjua uwezo wake, ubishi wake, umaarufu wake, uthabiti wake na pia ni kiongozi anayejua mapungufu yenu mengi tu na kama sio wote. Na bila ya kusahau wale wote walio na tofauti na uongozi wenu mara baada ya Chacha Wangwe na wengineo kutokea ambao Zitto alifanya kazi ya ziada kupunguza wengi wao wasipige kura za maruhani wakati ule. Kamwe huwezi ukafanya haya yanayosemwa hapa bila ya kuwa na nia mbaya na Zitto. Na hakuna anayeweza kukubali vinginevyo.
Mwenzenu baada ya yale yaliyopita hivi mujuzi hapa jamiiforum,nilikuwa nimeshaanza kufanya mikakati ya kuwakutanisha ninyi na Zitto haraka iwezekanavyo ili muongee mjue na kutambua hasa sababu zinazowafanya muwe kama mlivyo sasa. Sasa kama mmefika huko mnapoelekea then nitakachoweza kufanya ni kuwatakia safari njema ninyi wajuvi na asanteni sana kwa mnayotundea sisi watanzania wenye matumaini yasiyokwisha ya kuona Tanzania yenye demokrasia makini na yenye uwezo wa kujenga taifa lenye ustawi wa wote na imara zaidi...
omarilyas
Naona unajipatia madaraka sana siku hizi ya kuwa monta wa JF. Kama umekosa kazi, kagombee uenyekiti wa kijiji chenu kule marakanchoka labda utaweza kutoa amri mbuzi kama hizi.
Unayeteswa ni wewe hapa mwenye obsession na Mbowe
Kama Slaa akiwa kubwa jinga, wewe utakuwa nani vile?
mimi ni mental case, kati yangu mimi na wewe nani ni obsessed na Mbowe
Unatumika na mbowe kuwapaka na kuwachukia akina Zito ili halina ubishi
Leo nilijua utakaa mbali kabisa na hii thread, lakini mjusi kujifanya yumo safari ya Kenge.
ili hautasamehewa
Ona sasa tukiwaambia sticky na vijana , mnabaki kuwaonea wivu tu, na kupiga domo JF
mKUU nimeshakulipua feel free kujibu utakavyo hii post, ila nina hakika aibu imekutanda sio wewe tu na akina Mtei ambaye ni mjomba wako
Narudia ili uwe na amani JF usiwe na side yeyote hii itakupa raha kuchangia maada humu
niandkapo hii post consider me the dumpest person in the earth giving you most valuable whizz.
Learn from Mkamap, Masatu, junius, Engineer, Kishoka,Kitila
huwa wnajadili ideas na hawana bifu na watu
acha nicheke kidogo
tehe, tehe, tehe, ! he he he! gonga basi
Zitto ndio maana mambo yote yanayohusu CCM sio ya kichama tu bali yakiTaifa pia; kwasababu hakuna upinzani wa kweli hapa Tanzania. Wapinzani mmejaa ubinafsi tu kila mmoja anataka afaidi yeye na wapambe wake,maslahi yenu mmeyaweka mbele yale ya Taifa nyuma.Mtu mwenye mawazo tofauti lazima afukuzwe chama!! Mengi hakukosea kuleta mambo ya SS to the public domain kwasababu mambo ya CCM ni mambo yanayohusu serikali yake kwahiyo ni ya Kitaifa!! UPO hapo??
Inabidi Zitto aende ccm ambako hakuna majungu na ubinafsi. Au sio?
Salaam wana JF,
Nadhani mnakuwa emotional sana. Mimi siamini kuwa kuna mpago wowote wa kumfukuza mtu yeyote uanachama wa CHADEMA kwani kaiba yetu ipo wazi kuhusu taratibu za kufukuza uanachama. Nadhani kuna watu ni waoga ndani ya chama kuhusu nafasi zao na kwamba watafukuzwa kwa kuwa walikuwa wakiniunga mkono kufanya mabadiliko ya uongozi. Lakini pia kuna uwezekano mkubwa mjadala huu umeletwa ili kuficha mjadala wa CCM wa umeendelea kwa wiki nzima na pia kuonyesha kuwa hata CHADEMA wanagombana.
Chama kipo shwari na viongozi hawana ugomvi. Pia David Kafulila wala Shida Salum hawawezi kuwa wasaliti wa chama hata kidogo. Nimewahi kusema humu ndani kuwa kule Kigoma CHADEMA ni movement - anayetaka kuvuruga CHADEMA hatatoka salama hata kidogo.
Mwenyekiti Mbowe ni mzoefu wa siasa na hawezi kufanya haya ambayo yameandikwa katika magazeti.
Ninawaomba mtulie kwani CHADEMA ipo imara kabisa na hakuna ugomvi wowote na wala hakuna atakayefukuzwa!
Omar,
Wewe hujawahi kuwa na nia nzuri na chadema, haya unajua kabisa unayasema kinafiki tu. Bado hujui kama uwe mwanaccm au upinzani. Bado husemi kwa hakika kuwa wewe ni mwanachama wa chama gani. Hayo ya kuitakia mema chadema yameanza lini?
simply grow up!
Ngoja nikujibu hili ambalo umeng'ang'ania nalo sana.
Mosi. Katika kama hali hii ya CCM na CHADEMA bado hatujaongelea CUF, ni kipi hicho ch kunifanya nijunge na yeyote. Kwangu mimi muhimu ni Tanzania. Na kama uanachama mimi ni Mwanachama wa Tanzania mwenye kuamini ndoto za umajumuyi wa Uafrika na siasa ya ujamaa na kujitegemea....Yote haya yalikuwepo wakati wa TANU lakini sasa hakuna.....Niende wapi ndugu yangu...
Uanachma sio swala la oppurtunity kama muonavyo wengi. Uanachama ni imani thabiti katika ajenda, misingi, ndoto na falsafa.......
Kwa hali tuyonayo, na machaguo tuliyonayo...nachelea kusema kama kujiunga katika chama kimojawapo labda nitakapofika mahala naamini kuwa ninahitaji kuwa na nafasi ya kuchaguliwa kisiasa ili kufanikisha ndoto na dira ya yangu ambayo ni kuwa na Tanzanianjema yenye kuwa mchango mkubwa katika kufanikisha kujenga Africanjema yenye kujengwa katika misingi ya demokrasia ya kweli, uongozi wa kinidhamu na maadili, umoja wa kibara na maendeleo ya binadamu.
Hadi sasa naamini kuwa naweza kufanikisha ama hata kujengea misingi imara ya kufanikisha hiyo ndoto na dira yangu bila ya kuwa mwanachama wa chama chochote. Hadi sasa naamini kuwa hakuna chama ambacho kinaonyesha kwa vitendo kuwa angalao kina dira inayofanana kidogo na dira yangu. Mpaka sasa naamini kuwa ni UTANZANIA pekee ndio unaoweza kuniwezesha kujenga misingi hiyo ya kujenga Tanzanianjema na Africanjema....
Ndugu yangu, kwangu mimi what matters ni nini nafanya na sio nafasi gani ninakuwa nayo ama ukada gani ninauvaa....
omarilyas