Mbowe is right....more than right!!!!
Fukuza mamluk Chair,hatuwezi kuwa na wanachama ambao wanavuruga chama afu tuwaache eti chama kitavurugika.
Uwepo wao ni matatizo kwa chama,so its better wafukuzwe.
Sina imani sana na Zito,huyu dogo anaonekana hayuko stable bado,though ni popular,but we should not trust him 100%,sijajua whats wrong with Mama Zito,but if there is a proof without doubt kuwa anavujuisha siri au anaenda kinyume na the way of our chama,its better akae kando/awekwe kando,CCM wanajaribu kutumia watu wenye ushawishi ndani ya chadema eg Zito kuvuruga chama chetu,coz wanajua once kukitokea mvutano baina ya chma na mtu kama zito/Mama Zito,this will draw the attention ya watu,some thing which may lead to collapse of our Chadema,...Mbowe if you have strong evidence that watu hao wanatuhuma ambazo ni za kweli ambazo ni hatari kwa mustakabali wa chama,its better you flush them away before they ruin our party.
Tuachen ushabik wa ki CCM,kuleana leana kusikokuwa na maana.
thats why Naungana na Absalom Kibanda katika usemi wake
"Tatizo ndani ya chama anaungwa mkono na vijana wajinga sana"