Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Mods,
Ingekuwa vema kichwa cha habari cha hii thread kibadilishwe maana kinaondoa hadhi ya JF kwa kujaribu kupamba yanayojadiliwa ndani yake. Tunaongelea mgogoro uliopo na sio jinsi wanavyojaribu kutatua maana wala hatujui kama wanajaribu kutatua.

Kwa sasa kichwa cha habari kimefanana-fanana na vile vya magazeti ya mipasho au uhuru ikiandika kuhusu Lowassa. Hebu kibadilisheni.

Mhh, kuingia tu na kuanza kutoa amri kama Lowassa.
 
Mods,
Ingekuwa vema kichwa cha habari cha hii thread kibadilishwe maana kinaondoa hadhi ya JF kwa kujaribu kupamba yanayojadiliwa ndani yake. Tunaongelea mgogoro uliopo na sio jinsi wanavyojaribu kutatua maana wala hatujui kama wanajaribu kutatua.

Kwa sasa kichwa cha habari kimefanana-fanana na vile vya magazeti ya mipasho au uhuru ikiandika kuhusu Lowassa. Hebu kibadilisheni.

Mhh, kuingia tu "baada ya kupotea siku nyingi" na kuanza kutoa amri kama Lowassa.
 
Mkandara, samahani sikupata muda wa kujibu kwenye hili.

Mwafrika,

Mkuu wangu ktk hili umekosea sana kwa sababu mimi simjui huyo Halima Mdee ndiye nani! wala sina mazoea wala ukaribu naye iweje nianze kufikiria kwamba wewe Mwafrika ndiye Mndee.

Mkandara, rudia tena kusoma nilichoandika na utaona point yangu

Mkuu utanisamehe lakini nakuomba sana unisikie hapa.. Tatizo la hoja zako nyingi zinahusu WATU yaani unatumia muda mwingi kuchambua na kufikiria watu wakati sisi tunazungumzia issues.

Mkandara,

Ukiongea habari za siasa, muda mwingi utakuwa unaongelea wanasiasa (watu kama unavyowaita wewe). Nimekusoma sana hapa ukiongelea kuhusu Mkapa, Nyerere, au yule guy aliyeteka ndege wakati wa Nyerere.

Katika yote hayo, sikuona ukiweka disclaimer kwamba unaongelea watu hao (kina nyerere na wenzake) kwa muda tu na kisha utarudi kwenye issues.

Issues unazozitaja hapa ziko kwa watu ninaowaongelea mimi.

Sijali wewe ni nani uwe Mbowe, Dr.Slaa au Mndee mimi sina mshirika katika habari yoyote zaidi ya kusoma hoja na kuzichanganua ktk mtazamo wangu. Mara kibao nimemkorofisha Zitto humu, nimezungumza mambo mengine kinyume cha ustaarabu pasipo kufikiria huyu ni nani isipokuwa maadishi ya mhusika.. That's me kwa hiyo unapohisi ama kudhani kwamba hata mimi nimenunua hiyo propaganda mkuu wangu inaonyesha wazi jinsi unavyojikisia mwenyewe.

Naona unataka kusahau kuwa kwa miaka yote hii (mitatu), nimekuwa (kwa nguvu zote) nakuwa upande wa zitto katika karibu kila kitu. Usidhani tu kuwa hili la kupingana naye limetokea tu angani. Mtizamo wangu kuhusu Zitto umebadilika sana kutokana na aliyofanya (au kutofanya) kwa siku za karibuni.

Mimi nipo kwa jina langu, Zitto yupo kwa jina la ke huyo Omar nasikia pia yupo kwa jina lake isipokuwa wewe tu.

Ukishajua jina langu then what?

Na kama sikosei ni wewe uliyetufahamisha kuhusu huyo Omar ni nani na wana uhusiano gani na Zitto, kulikuwa na haja au sababu ya kufanya hivyo!..Pengine hufahamu kwamba sisi wengine tunapenda sana kuyaona hayo majina bandia kwani unaweza kurusha madongo pasipo kuonea aibu mtu, Nitakushauri tu mkuu wangu hizi habari za kutoa ID ya mtu achana nazo kwani wewe mwenyewe unaelewa vizuri hasara zake..
Halafu huu ubishi wenu mkuu wangu wala hauna maana hata kidogo, yaani tunakusomeni kama vile tunatazama horror movie - Inatisha.

Mkandara,

Naona hapa umeamua kupingana na ukweli. Mimi sijawaambia Omar ni nani hapa. Omar anatumia jina lake na haikuhitaji mimi kumtambulisha. By the way, kabla sijasema chochote kuhusu Omar, Zitto alimtambulisha hapa JF kwa kuwaambia wana JF mambo yote makubwa aliyofanya Omar - likiwemo la kufanya kazi na SAS.

Hayo mengine inaonekana unafanya selection tu ya nini cha kuamini na kipi cha kutoamini.
 
Mwafrika,
Mkuu hatubishani neno kwa neno nilichoandika kama hukukielewa wewe na unataka kunitazama mimi basi tunazishe kitu kipya..Hata hivyo nitakujibu kwa haya.
Mkandara, rudia tena kusoma nilichoandika na utaona point yangu
Nimerudia kusoma sikuona kitu labda kiweke wewe mwenyewe hapa.

Ukiongea habari za siasa, muda mwingi utakuwa unaongelea wanasiasa (watu kama unavyowaita wewe). Nimekusoma sana hapa ukiongelea kuhusu Mkapa, Nyerere, au yule guy aliyeteka ndege wakati wa Nyerere.
Mkuu wangu nimeandika kuhusu Mkapa, Nyerere na hat Mussa member kwa issues ambazo hata wewe unazifahamu, Mtanzania yeyote anaweza kurelate na akachangia kimawazo. Jina la mtu ni kitambulisho cha wahusika habari nzima tunayozungumza kama vile tunaposzungumzia Ufisadi na majina ya kina Lowassa, Chenge, Rostam, Patel hutokea.
Naona unataka kusahau kuwa kwa miaka yote hii (mitatu), nimekuwa (kwa nguvu zote) nakuwa upande wa zitto katika karibu kila kitu. Usidhani tu kuwa hili la kupingana naye limetokea tu angani. Mtizamo wangu kuhusu Zitto umebadilika sana kutokana na aliyofanya (au kutofanya) kwa siku za karibuni.
Mku uloyasema mwanzo yalitosha kuelewa msimamo wako lakini sasa umefikia kumvua nguo.. Kama humtaki mkeo mpe taraka yake lakini kuanza kumdhalilisha kana kwamba kuna mtu ka doubt maamuzi yako ni kujiharibia zaidi msimamo wako. Huu ndio ushauri wangu kwako.
Ukishajua jina langu then what?
Ndio hutakuwa na hofu ya kusingiziwa majina mengine.
Mkandara,

Naona hapa umeamua kupingana na ukweli. Mimi sijawaambia Omar ni nani hapa. Omar anatumia jina lake na haikuhitaji mimi kumtambulisha. By the way, kabla sijasema chochote kuhusu Omar, Zitto alimtambulisha hapa JF kwa kuwaambia wana JF mambo yote makubwa aliyofanya Omar - likiwemo la kufanya kazi na SAS.

Hayo mengine inaonekana unafanya selection tu ya nini cha kuamini na kipi cha kutoamini
Maadam yeye hakusema anatumia jina lake sioni umuhimu wako wewe kusema hivyo, wapo watu wanajiita Kikwete, Mkapa na kadhalika usitake kunambia pia ndio wao.. Zaidi ya yote imekuwaje wewe uruke uliposikia jina lako kuhusishjwa na Mdee lakini machungu hayo usiyaone kwa Omar!. Maadam Omar hajasema mimi ndiye fulani matumizi ya jina yatabakia kama yalivyo na sii kumpekua mtu. kazi anayofanya, mahusiano yake na watu wengine as iof huyu Omar ndiye kichwa cha habari.. Hata kama kajitambulisha bado watu hapa tunasoma mchango wake ktk isuue hakuna mtu anataka kumzungumzia maisha ya mchangiaji.. Hakuna mtu anayetaka kumjua Omar nani na hatuongezei kitu wala kupunguza, hatumjui, hatujui na wala hakuna sababu, he is a non issue, kwa hiyo maelezo yako yanakosa sura kabisa mkuu wangu.
 
Mwafrika,
Mkuu hatubishani neno kwa neno nilichoandika kama hukukielewa wewe na unataka kunitazama mimi basi tunazishe kitu kipya..Hata hivyo nitakujibu kwa haya.
Nimerudia kusoma sikuona kitu labda kiweke wewe mwenyewe hapa.

Okay

Mkuu wangu nimeandika kuhusu Mkapa, Nyerere na hat Mussa member kwa issues ambazo hata wewe unazifahamu, Mtanzania yeyote anaweza kurelate na akachangia kimawazo. Jina la mtu ni kitambulisho cha wahusika habari nzima tunayozungumza kama vile tunaposzungumzia Ufisadi na majina ya kina Lowassa, Chenge, Rostam, Patel hutokea.

Na hii inatofautiana nini na kuongelea kuhusu aliyofanya Zitto - Dowans, buzwagi, kamati ya madini, kutukana wachaga hapa JF, nk?

Mku uloyasema mwanzo yalitosha kuelewa msimamo wako lakini sasa umefikia kumvua nguo.. Kama humtaki mkeo mpe taraka yake lakini kuanza kumdhalilisha kana kwamba kuna mtu ka doubt maamuzi yako ni kujiharibia zaidi msimamo wako. Huu ndio ushauri wangu kwako.
Ndio hutakuwa na hofu ya kusingiziwa majina mengine.

Mkuu, mimi sijamvua Zitto kwa lolote lile. Hakuna nilichomsingizia Zitto hapa JF. Kama ukikiona, tafadhali kibandike.

Maadam yeye hakusema anatumia jina lake sioni umuhimu wako wewe kusema hivyo, wapo watu wanajiita Kikwete, Mkapa na kadhalika usitake kunambia pia ndio wao..

Haikuhitaji yeye kusema chochote, rafiki yake Zitto alikuwa kishamtaja Omar hapa kuwa ni nani na kafanya nini.

Zaidi ya yote imekuwaje wewe uruke uliposikia jina lako kuhusishjwa na Mdee lakini machungu hayo usiyaone kwa Omar!.

Sikuruka chochote mkuu (na huwa sina tabia ya kuruka au kulialia kwa mods au mtu yeyote hapa). Yameandikwa mengi hapa na wale wanaodhani kuwa wananifahamu lakini hujasikia nikisema chochote au kuanzisha thread mpya za vilio. Niliwakumbusha watu kuwa kunihusisha mimi na mtu yeyote yule Tanzania au nje ya Tanzania (kimakosa) kunaweza kupelekea watu wasiohusika wakapata matatizo.

Maadam Omar hajasema mimi ndiye fulani matumizi ya jina yatabakia kama yalivyo na sii kumpekua mtu. kazi anayofanya, mahusiano yake na watu wengine as iof huyu Omar ndiye kichwa cha habari.. Hata kama kajitambulisha bado watu hapa tunasoma mchango wake ktk isuue hakuna mtu anataka kumzungumzia maisha ya mchangiaji.. Hakuna mtu anayetaka kumjua Omar nani na hatuongezei kitu wala kupunguza, hatumjui, hatujui na wala hakuna sababu, he is a non issue, kwa hiyo maelezo yako yanakosa sura kabisa mkuu wangu.

Huu ni uamuzi wako katika hili na sidhani kama unataka kupitisha sheria kuwa watu wote wachangie hapa kulingana na unavyofikiria wewe. Omar alisema mengi sana hapa yaliyohitaji majibu. Mimi nitaendelea kumjibu kwa kadri ninavyoona vyema as longer as sivunji sheria za JF.
 
Mwafrika, Mkuu wangu mimi sii mtoto mdogo wa kuandika vitu pasipo kuvitazama kwa umakini.. Rudi nyuma uone jinsi gani wewe umepelekana na Omar lakini kila mahala alotajwa ni Zitto while yeye hakusema kitu kwako. Page kibao yaani itakuwa utoto kuanza upya kurudi kule.
Hata hivyo huu ulikuwa ushauri wangu tu kwako, Mambo ya Zitto na Wachagga tumeshayasahau kitambo... kasema alichosema kwa sababu yeye yumo ndani ya chama na pengine yamemkuta kweli. Sasa kama wewe ni mmoja wa wahusika ni vuziri kuja hapa na kutuelezea ukweli ni upi kinyume cha maelezo ya Zitto..

Hata maswala ya Dowans, Buzwagi na kamati ya madini kila mmoja wetu ameeleza kutoridhika na baadhi maamuzi yake. wewe ni mmoja kati yetu lakini mbona sisi hatukufika hatua hiyo! ina maana wewe una uchungu kuliko sisi?.. laa isipokuwa tunabakia kwenye issue husika. Tukirudi na maswala ya Tanesco kutumia mitambo ya Dowans, ingiza hoja yako, Buzwagi chomeka na swala la Kamati ya madini mmalize kabisa..
lakini hapa tunazungumzia matatizo ambayo CHADEMA inajaribu kuyatatua lakini badala yake Zitto ndiye amekuwa kichwa cha mada nzima, ndipo nilipoingia kati kuondoa ukungu ulokuwepo. Tujaribu kuwajenga jamaa zetu na sii kuwabomoa kwani hatufahamu huko Chadema wanayachukulia vipi maandishi kama haya. Wapeni moyo badala ya kuwavunja hata kama humpendi mtu.
 
Mwafrika, Mkuu wangu mimi sii mtoto mdogo wa kuandika vitu pasipo kuvitazama kwa umakini.. Rudi nyuma uone jinsi gani wewe umepelekana na Omar lakini kila mahala alotajwa ni Zitto while yeye hakusema kitu kwako. Page kibao yaani itakuwa utoto kuanza upya kurudi kule.

Selective perception

Hata hivyo huu ulikuwa ushauri wangu tu kwako, Mambo ya Zitto na Wachagga tumeshayasahau kitambo... kasema alichosema kwa sababu yeye yumo ndani ya chama na pengine yamemkuta kweli. Sasa kama wewe ni mmoja wa wahusika ni vuziri kuja hapa na kutuelezea ukweli ni upi kinyume cha maelezo ya Zitto..

Marhaba,

Unachoongelea hapa kina tofauti gani na kile ambacho kimekuwa kinaongelewa tayari kwenye hii thread na zingine?

Hata maswala ya Dowans, Buzwagi na kamati ya madini kila mmoja wetu ameeleza kutoridhika na baadhi maamuzi yake. wewe ni mmoja kati yetu lakini mbona sisi hatukufika hatua hiyo! ina maana wewe una uchungu kuliko sisi?.. laa isipokuwa tunabakia kwenye issue husika. Tukirudi na maswala ya Tanesco kutumia mitambo ya Dowans, ingiza hoja yako, Buzwagi chomeka na swala la Kamati ya madini mmalize kabisa..
lakini hapa tunazungumzia matatizo ambayo CHADEMA inajaribu kuyatatua lakini badala yake Zitto ndiye amekuwa kichwa cha mada nzima, ndipo nilipoingia kati kuondoa ukungu ule ulokuwepo.

Hayo ya mashindano ya uchungu ni ya kwako mkuu. Ulidai kuwa siongelei issue. Nimekupa mifano, unaanza kudai kuwa najiona mwenye uchungu kuliko wewe.

MKandara,

elewa kitu kimoja kuwa Zitto ni mwanasiasa na mbunge. Katika jukwaa la siasa. Zitto ataongelewa sana (hata kama mimi nikinyamaza). Kama mimi nikisema jambo la uongo kuhusu Zitto, naomba uliweke hapa. Kinyume cha hapo, mimi nitaendelea kumjadili Zitto kama ambavyo ninamjadili Kikwete, mama Simba, na wengine wote.

Sidhani kama una tatizo na hili pia.
 
Mwafrika,
Hivi kweli unanisoma au?.. mimi nakushauri tu maandishi yako hayazungumzii issue hii isipokuwa Zitto na kundi lake ambalo wewe unalijua..
Kuna sehemu nilisoma ukisema sijui Kafulila alianguka ghorofa ya kumi akaenda kwa Kitila Mkumbo INAHUSU? Yaani hizi habari zote ni udaku udaku mtupu mkuu wangu achana nazo..Looh! watu wengine jamani.
 
Mwafrika,
Hivi kweli unanisoma au?.. mimi nakushauri tu maandishi yako hayazungumzii issue hii isipokuwa Zitto na kundi lake ambalo wewe unalijua..

Mkandara,

Issue gani unazoziongelea hapa? Tofauti ya ninachoengelea mimi na kile unachokiongelea ni ipi (issues vs watu)?

Kuna sehemu nilisoma ukisema sijui Kafulila alianguka ghorofa ya kumi akaenda kwa Kitila Mkumbo INAHUSU? Yaani hizi habari zote ni udaku udaku mtupu mkuu wangu achana nazo..Looh! watu wengine jamani.

Sasa naona umeanza kudanganya.

Mwanzoni nilidhani unania nzuri ya kujadili kumbe wewe umepania kuongopa. Aliyesema kafulila kaanguka ghorofa kumi na kupona baada ya siku nane sio mimi, kama unataka nikukumbushe - ni mkuyu mkubwa.

Mimi nilimuuliza mkuyu mkubwa kuhusu hii statement ya kuanguka na kupona ndani ya siku nane. Nilimuuliza aleleze alijua vipi kuwa Kafulilla kapona ndani ya siku ya nane.

Kwa kuwa wewe umepania kudaganya na una selective perception, umekuja macho juu na kudai kuwa mimi ndiye nimeleta habari ya Kafulila kuanguka.

Are u serious?
 
Mwafrika,
Mkuu wangu bado hunielewi na hutanielewa kamwe.. maelezo yangu ni kukuasa wewe kutozungumzia WATU..iwe kaanzisha nani haihusu wewe kuzungumzia habari za watu kwa sababu sii wewe wala ligi yako..Ur above all that, sikutafuti kwa mabaya, wewe ndio hunisomi na inanipa wakati mgumu kunedelea kuzungumzia kitu kile kile. Kila napokusoma inanipa picha kwamba upo hapa JF KUKIPAKA..jambo ambalo linanipa kujiuliza kulikoni? Je kuna mahusiano mabaya baina ya Mwafrika na Zitto au Kafulila maanake sii issue tena ila wao kama binadamu.

Ni wewe uloandika Kafulila alipoanguka alikwenda kwa Kitila Mkumbo.. Hii habari umeindeleza na kuikuza wewe, kumzungumzia Kafulila na hata kuingiza kina Kitila mahala ambapo hata sielewi inahusiana vipi na mada hii. Binafsi napokusoma unanipa picha kwamba wanaoharibu chama ni Zitto na kundi lake..Ni imani yako na nitaiheshimu mawazo yako ingawa mimi sioni zaidi ya kuwa maamuzi ya Zitto kujiunga na kamati ni kukiwezesha chama Chadema kuingiza sera zake kulinda maslahi ya wananchi (Taifa) na sii chama tena.
Maelezo yake kuhusiana na Dowans ni yake binafsi na alisema hivyo, sidhani kama chama kilitoa agizo au msimamo wake kuhusiana na Dowans na Zitto akafanya kinyume..Halafu nakumbuka vizuri Dr. Slaa mwenyewe alikuja hapa kijiweni na kusema anapendekeza kamati ya mahesabu na ile ya madini wakutane kama alivyosema Zitto.. ikiwa na maana hata yeye hakupinga ushauri wa Zitto kukodisha mitambo ya Dowans..Sijakusikia ukimrukia Dr. Slaa au kiongopzi mwingine wa Chadema kwa kutotoa msimamo wa chama kuhusiana na Dowans.

Kisha haya ni mambo ambayo hayawezi kukivuruga chama hata kidogo..mambo yanayokivuruga chama ni pale mnapozungumzia watu, fulani mbaya, sii mtu wa kumwani ukarudisha maisha yao ktk picha na kadhalika. Yaani maneno yakirudiwa mara nyingi watu huamini..Kusema kweli kutokana na maneno yako kuna vitu najiuliza kuhusiana na Zitto jambo ambalo sidhani kama namtendea haki.
 
Mwafrika,
Mkuu wangu bado hunielewi na hutanielewa kamwe.. maelezo yangu ni kukuasa wewe kutozungumzia WATU..iwe kaanzisha nani haihusu wewe kuzungumzia habari za watu kwa sababu sii wewe wala ligi yako..Ur above all that, sikutafuti kwa mabaya, wewe ndio hunisomi na inanipa wakati mgumu kunedelea kuzungumzia kitu kile kile. Kila napokusoma inanipa picha kwamba upo hapa JF KUKIPAKA..jambo ambalo linanipa kujiuliza kulikoni? Je kuna mahusiano mabaya baina ya Mwafrika na Zitto au Kafulila maanake sii issue tena ila wao kama binadamu.

Mkandara,

Nadhani nimekuelewa. Naomba nikukumbushe kuwa, sina mahusiano mabaya na Zitto au Kafulila. Wao hawajanikosea chochote kile na wala sioni wakifanya hivyo karibuni.

Ni wewe uloandika Kafulila alipoanguka alikwenda kwa Kitila Mkumbo..

Bado unazidi kukosea (kudanganya kwa bahati mbaya?). Aliyeandika kuwa Kafulila kaenda kwa Kitila sio mimi bali ni mkuyu mkubwa. Nilichofanya mimi ni kuuliza tu undani wa hiyo habari.

Hii habari umeindeleza na kuikuza wewe, kumzungumzia Kafulila na hata kuingiza kina Kitila mahala ambapo hata sielewi inahusiana vipi na mada hii. Binafsi napokusoma unanipa picha kwamba wanaoharibu chama ni Zitto na kundi lake..Ni imani yako na nitaiheshimu mawazo yako ingawa mimi sioni zaidi ya kuwa maamuzi ya Zitto kujiunga na kamati ni kukiwezesha chama kuingiza sera zake, maelezo yake kuhusiana na Dowans ni yake binafsi na alisema hivyo, sidhani kama chama kilitoa agizo au msimamo wake kuhusiana na Dowans na Zitto akafanya kinyume..Hapafu nakumbuka vizuri Dr. Slaa mwenyewe alikuja hapa kijiweni na kusema anapendekeza kamati ya mahesabu na ile ya madini wakutane kama alivyosema Zitto.. ikiwa na maana hata yeye hakupinga ushauri wa Zitto kukodisha mitambo ya Dowans..Sijakusikia ukimrukia Dr. Slaa au kiongopzi mwingine wa Chadema kwa kutotoa msimamo wa chama kuhusiana na Dowans.

Kisha haya ni mambo ambayo hayawezi kukivuruga chama hata kidogo..mambo yanayokivuruga chama ni pale mnapozungumzia watu, fulani mbaya, sii mtu wa kumwani ukarudisha maisha yao ktk picha na kadhalika. Yaani maneno yakirudiwa mara nyingi watu huamini..Kusema kweli kutokana na maneno yako kuna vitu najiuliza kuhusiana na Zitto jambo ambalo sidhani kama namtendea haki.

Haya mengine yote ninakubaliana nawewe.
 
Mwafrika,
Mkuu hii itakuwa mara yangu ya mwisho kukuelezea. Huko nyuma Bi. Asha Abdala kazungumzia issue na kuzieleza ipaswavyo. Nilimfuatilia kwa makini sana na kusoma mengi ambayo yamekuwa majibu kwa tuhuma nyingi sana.. na kama kulikuwepo na ushawishi wake kuhusiana na mtu yeyote yeye alikuja na swali kumuuliza mhusika ukweli ni upi..
Mkuyu mkubwa alikuja na hoja zake ambazo ni mtazamo wake yeye Mkuyu mkubwa lakini toka hapo wewe ukaiweka vita yako kwa Zitto na Kafulila badala ya kujibizana na huyu Mkuyumkubwa. Umefikia kusema mengi sana ambayo binafsi sikuyaona mahusiano yake na mada hii. Bi. Asha alikuwa nawajenga wanachadema mbele ya tuhuma nzito za kina MkamaP, Mkyumkubwa na wengineo.

Tofauti hiyo nmdio imenisukuma mimi kujiuliza mengi na huwezi kunambia huna msuguano baina yako na Zitto au kafulila. Mtu yeyote anayekusoma anajua wazi kabisa kwamba huwapendi Zitto na kundi lake ambalo mmelipa ubatizo kuwa ni maharamia.
Na kama unakubaliana na kipande changu cha mwisho, inakuwaje wewe useme mchawi wa Zitto ni Zitto mwenyewe na kundi lake ukawataja kwa majina, wakati sii wao waliosema lolote kuhusiana na Mdee ila mtu wa nje kabisa ya chama hicho au kundi hilo. Mkuu wangu kila thread inayowahusu watu hawa umekuwa ukikipaka tuuu pasipo kufanya utafiti japo kidogo..
Hata hivyo tuyaache hayo mimi nimekushauri, unaweza kuendelea ni haki na Uhuru wako kuandika Upendavyo..
 
Muda wowote ukiwa tayari kunieleza chochote, kuwa huru kufanya hivi. So far, kama umegundua, ninajibu hoja zako bila ugomvi wala bange(i). Kama ukiwa tayari kuendeleza mjadala na mimi, nitakuwepo tu hapa kadri MUNGU apendavyo.

Kitu kimoja ukumbuke ni kuwa, binadamu wote hatufanani. Kila mtu ana namna yake ya kuandika na kujibu hoja. Kama Asha Abdalah yeye kaandika vyema, mimi siwezi kufikia kiwango chake cha kuandika. Nitaandika tu kwa kadri ninavyoweza.

Mkuyu mkubwa alikuja na hoja zake ambazo ni mtazamo wake yeye Mkuyu mkubwa lakini toka hapo wewe ukaiweka vita yako kwa Zitto na Kafulila badala ya kujibizana na huyu Mkuyumkubwa. Umefikia kusema mengi sana ambayo binafsi sikuyaona mahusiano yake na mada hii. Bi. Asha alikuwa nawajenga wanachadema mbele ya tuhuma nzito za kina MkamaP, Mkyumkubwa na wengineo.

Sioni kama kuna ukweli katika hili ila kulingana na niliyokwisha andika hapo nyuma, sioni kama wewe una nia ya kujali kilichotokea kwa hakika baina yangu mimi na kina Zitto.

Tofauti hiyo nmdio imenisukuma mimi kujiuliza mengi na huwezi kunambia huna msuguano baina yako na Zitto au kafulila. Mtu yeyote anayekusoma anajua wazi kabisa kwamba huwapendi Zitto na kundi lake ambalo mmelipa ubatizo kuwa ni maharamia.

Ikiwa kupingana na kina Zitto ni kutowapenda (kulingana na tafsiri zako), basi inaonekana hata wewe huwapendi watu kibao tu ulio wahi kupingana nao hapa JF.

Na kama unakubaliana na kipande changu cha mwisho, inakuwaje wewe useme mchawi wa Zitto ni Zitto mwenyewe na kundi lake ukawataja kwa majina, wakati sii wao waliosema lolote kuhusiana na Mdee ila mtu wa nje kabisa ya chama hicho au kundi hilo. Mkuu wangu kila thread inayowahusu watu hawa umekuwa ukikipaka tuuu pasipo kufanya utafiti japo kidogo..
Hata hivyo tuyaache hayo mimi nimekushauri, unaweza kuendelea ni haki na Uhuru wako kuandika Upendavyo..

Ukiendelea kuhusisha issue hii na ile ya watu kumtaja Mdee hapa JF, utakuwa unaelekea ambako sitakuwa na namna yoyote ile ya kukusaidia. Ukitaka kuamini kuwa hili langu na Zitto linahusiana na chochote kile kati ya Zitto na Mdee, basi, safari ya kinachoendelea hapa ndio mwanzo imeanza.

Ushauri wako nimeusikia ila nitaendelea kuweka record sawa hapa JF as longer as sivunji sheria za jamvi.
 
Mwafrika,
Sijasema Asha anaandika vizuri kuliko wewe... hapana nimesema Bi Asha anazungumzia zaidi issue na majina ya watu yanaingia pale yanapohitajika tofauti na wewe Jina la mtu linaelezea story inayomhusu mtu huyo huyo mahala pasipo husika.
Nitapenda sana kujua ukweli baina yako na Zitto na nimefuatilia sana mkorogo baina yako na Omar. Nikasema mkuu Omar is a non issue ukarudi kwa Zitto nikasema tena he is a non issue kwa sababu ukimsoma Bi. Asha unapata picha kubwa zaidi.

Huvunji sheria hata kidogo isipokuwa tamu ya mjadala inaondoka. Unaweza kuona unasema ukweli lakini kwangu mimi ndio nasema haihusu! Ukweli utabakia ukweli lakini kama haihusu sina haja ya kuujua ukweli huo.. Haya ni mawazo yangu kama msomaji..
 
Ndugu moderator,

Tafadhali unganisha zile thread zote zinazohusu kafulila hapa ile kuwa na mtiririko mzuri.

omarilyas
 
sadly, threads kama hizi zilikua moto sana lakini pia ziliacha casualties kibao
 
CHADEMA ilinishinda kwa sababu ya ubabe nilihoji baadhi ya vitu matokeo yake nikageuziwa kibao na nikaambiwa nitakua mwanachama wa kawaida na nisigombee nafasi yoyote kwa miaka kadhaa lau ningekubali hii leo nisingekuwa mbunge
 
chama gani ukihoji ktu unaitwa masalia muulize shibuda na zitto wanajua story vizuri
 
Leo unangaika toka asubuhi kama nguluwe alie kwenye joto anaehitaji kupandwa
 
Back
Top Bottom