Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

Mm sikuzote huwa nasema kunawatu wakishika nchi tutakoma wataifanya ya mamazao

Kama ccm walivyoifanya Tanzania wanaiba waziwazi wanapandisha twiga na tembo wazimawazi tena wenyewe ndio vidampa kwa waarabu ndenge inabeba hadi jiwa kwenda zako wewe na ukoo waizi wa fikra za maendeleo ya Watanzania na mwisho December 15


Swissme
 
Ujue chadema ni chama cha kihuni sana kinaendeshwa kama kundi la wavutaji tu.
 
Chadema sasa hali si shwari waendesha vikao vya siri kuwajadili wanachama

Na Fidelis Butahe

HALI ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inaonekana kuyumba baada ya Mwananchi kupata habari kwamba Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe juzi aliongoza kikao cha siri mjini Dodoma kilicholenga kuwajadili baadhi ya wanachama akiwemo mama mzazi wa Zitto Kabwe, Shida Salum.

Habari hizo kutoka ndani ya chama hicho, zilieleza kuwa waliohudhuria kikao hicho ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa, Hemed Sabula, John Mrema, Erasto Tumbo, Benison Kigaila, Halima Mdee, Lucy Owenya na Anna Komu.

Habari hizo zilifafanua kuwa Mbowe aliwasilisha ajenda ya kufukuzwa uanachama kwa afisa habari wa chama hicho, David Kafulila, mama mzazi wa Zitto Kabwe, Shida Salum ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho na Danda Juju ambaye ni afisa Mwandamizi kwa kuwa wanakichafua chama kwa kuchochea mgogoro kutokana na kuvujisha siri za chama kwenye vyombo vya habari.

Habari hizo, zilieleza kwamba baada ya Mbowe kuwasilisha hoja yake, ilipingwa na wajumbe wa kikao hicho kwa maelezo kuwa, Zitto Kabwe hatakubaliana na jambo hilo na kusisitiza kuwa linaweza kukipasua chama, lakini katika majumuisho Mbowe alisisitiza kuwa hataweza kufanya kazi na Kafulila hivyo alisisitiza kuwa Kafulila apewe barua ya kufutwa uanachama.

Kutokana na kusimamia uamuzi huo, ilidaiwa kuwa wajumbe wa mkutano huo walikubali kwa shingo upande umauzi huo.

Baada ya tarifa hizo Mwananchi liliwatafuta wahusika ambao walikiri kuwepo kwa taarifa za kikao hicho na kusisitiza kuwa wanasubiri kuona kama watapatiwa barua za kufutwa uanachama au la.

"Mimi hizo taarifa nimezisikia na nilikuwa najua kuwa kulikuwa na kikao kisicho rasmi kilichokaa Dodoma ila mpaka sasa sijapata barua yeyote, nasikia kuwa wanataka kunitimua uanachama, lakini ngoja tusubiri tuone wakinipatia barua kila kitu kitakuwa wazi," alisema Kafulila ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kuwania Ubunge mwaka 2010 Kigoma Kusini

Kafulila pia aliwahi kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama hicho, (Bavicha) katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa Agosti mwaka huu, lakini mshindi hakupatikana baada ya mpinzani wake, John Heche kupinga matokeo kwa madai kuwa kura 20 zilikuwa zimeongezeka.

Naye Danda Juju alisema taarifa hizo, amezisikia ingawa hana uhakika nazo na kusisitiza kuwa kwa kiasi fulani anaweza kuziamini kwa kuwa alikuwa na taarifa kuwa Mbowe anafanya kikao kisicho rasmi mkoani Dodoma. Mama mzazi wa Zitto, Shida Salum hakuweza kupatikana kuzungumzia sakata hilo.

Habari za udaku hizo
 
Aiseee acha nizidi kukichukia hiki chama cha ukoo,mbowe na Salaa njooni mchukue kadi zenu huku kabla hatujazitia moto.NCHI HII HAITAKUJA KUTAWALIWA NA WACHAGA HAWA WENYE UDINI NA UKABILA.
 
Kafulila alishambuliwa humu na haya machagadema na aliitwa majina ya kila namna.... UKWELI UNAKAWAIDA MOJA YA KUPANDA NGAZI TARATIBU LAKINI LAZIMA UFIKE NA UKIFIKA KAMWE HAUSHUKI🙏🏿🙏🏿
 
kumbe kabla ya kuwa tumbili alikuwa sisimiz

Hahahahahahahahahaha... we ulivyokua unaona wanamshobokea kwenye escrow ulifikiri wana upendo? Bora hata werema aweza kuwa na roho ya utu lakini sio hawa walioasi mungu kanisani na kuja kuchumia tumbo kwenye siasa.

Unaanzaje kumuita binadamu mwenzio sisimizi? Si bora hata tumbili ina unafuu... hawa wachaga wanafiki sana.
 
Hahahahahahahahahaha... we ulivyokua unaona wanamshobokea kwenye escrow ulifikiri wana upendo? Bora hata werema aweza kuwa na roho ya utu lakini sio hawa walioasi mungu kanisani na kuja kuchumia tumbo kwenye siasa.

Unaanzaje kumuita binadamu mwenzio sisimizi? Si bora hata tumbili ina unafuu... hawa wachaga wanafiki sana.

Naskia jamaa wameshona sare za kampeni kwa hela za escrow na wameanza kugawa! na mwaka huu mpaka chupi za kijani na njano zipo! nyie hamjapewa za kwenu! aah utani bhana!! kautaratibu ka kachama ketu kila baada ya miaka mitano!
 
Mkamap

Kwanza heading yako haijatulia kabisa imekaa kiushabiki na kama vile mtu anayefulahia mpasuko wa chadema.Kwa hali ya sasa wakati watu wengi wanaomba hilo lisitokee.

Mbowe, kufukuza watu kwenye chama ni jambo ambalo linafanywa na watu ambao hawana uvumilivu wa kisiasa. Ingekuwa kufuka watu ni jambo zuri sana basi ungeona historia ikikuambia hivyo. Tuna mifano hai kama zeller miller alikuwa democrat lakini alitoa speech kwenye convetion ya bush pai Joe amefanya hivyo lakini hawakufukuzwa uanachama. Kumfukuza mtu uanachama costyake ni kubwa kuliko kumuacha.

Solution hapa ni kujitahidi sana comcontain kwani akiwa nje bado atapata habari na atakuwa huru sana kuzisambaza kuliko sasa. halafu chama ambacho watu wake wote wanakubaliana 100 kwa 100 ni chama gani hicho Mafia tu nao wanakuwa na tofauti

Mbowe sisi sasa tumechoka na tunataka chama kiende mbele na kama utakuwa wewe ni kikwazo iitabidi tukutoe tu kumbuka kuwa ni rahisi kwa sasa kukutoa wewe kuliko hata kuwatoa vichaa. basi ni matamanio yangu kuwa utasikia kilio chetu na kujenga chama na pia kuwa siyo watu wote watakupenda lazima kuna wengine watakupenda wewe ma wengine zito hilo ni la kawaida kabisa. Kuna sehemu kuna mtu alikuwa amependwa na watu wengi lakini hakuwa raisi.

Mbowe sasa ni wakati wa kukipeleka chama kwenye ahtua nyingine na siyo kuanza kudeal na wanachama. mkicheza karata yenu vizuri wataondoka wenyewe na ilakuvukuza normal!
CC
Nguruvi3
Pasco
Mungi
MBOWE
Zitto
 
Last edited by a moderator:
Mbowe ni dikteta mkubwa, iweje aandae ajenda ya kufuta wanachama yeye mwenyekiti na sio katibu Dr Slaa? Iweje aseme siwezi kufanya kazi na Kafulila kwani chama ni kampuni yake binafsi?

Tulijua haya yata surface. Sasa tusubiri Baba mkwe nae aje apigilie msumari wa mwisho.

Huu woga wa Zitto unatokea wapi? au ndio kuogopa kivuli? Dhambi ya ubaguzi itaendelea kumla Mbowe na hatimae wakiisha "wabaya" wake atahamia kwa akina Slaa, Mnyika, Mdee etc

CC
Pasco
Nguruvi3
Mnyika
MBOWE
Ben saanane
 
Last edited by a moderator:
MICHAGGADOMO ni hatari,Ni KIRUSI/JINAMIZI Hatari sana..
 
Mod futahii kitu
mpakanionyeshe kadi ya a ct???
 
MICHAGGADOMO FukuzaFukuza Damuni na UNAFISI Wa DJ ZERO KENGEZA MBOWE mwenye MATEGE YA MACHO....
 
Back
Top Bottom