Pilitoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 1,201
- 515
CHADEMA ilinishinda kwa sababu ya ubabe nilihoji baadhi ya vitu matokeo yake nikageuziwa kibao na nikaambiwa nitakua mwanachama wa kawaida na nisigombee nafasi yoyote kwa miaka kadhaa lau ningekubali hii leo nisingekuwa mbunge
hiki chama cha wachaga ni shida sana aisee,ukiwa siyo mchaga lazima wakuundie zengwe tu,ni chama ambacho ni hatari sana tz