Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

Nimeshajiridhisha sasa kuwa huyu Muhongo Uprofesa wake ni wa darasani (Nadharia) zaidi kuliko ku-deal na watu direct. Aondolewe kwenye baraza la mawaziri haraka kwa sababu huyu anaonekana kuwa ni hatari kwa usalama wa taifa na arudi darasani akafundishe

Kusoma Ohms law hakusaidii kujua masuala ya raslimali na matumizi yake kwa mstakabari na matakwa ya watu.
 
Sijasema naweza kuleta maendeleo. Kujua tatizo ni kitu kingine na kulitatua ni kitu kingine kabisa. Ila walau NAJUA tatizo.

Watu wa Moshi wote wanajua jinsi ya KUFIKA kilele cha Mlima Kilimanjaro ila kufika huko juu ni hadhithi nyingine.
Alaa! Basi kumbe twaweza kukutumia wewe kupata hayo maendeleo tunayoyatamani. Au we wasemaje?
 
Sasa kama sababu ni nyingi na zinajulikana kwa nini hatuziondoi ili tuweze kuendelea?

Sabau nyingi na uondoaji wake ni wa aina nyingi pia. Mie kila siku napigia mstari hilo la kuachana na upuuzi wa too much respect for authority.

That is a constant and common theme in my posts. Alleviating this mental sloth we are slumbering in.

Accepting challenge, diversity, complexity, hard work and plurality as vital parts of progress.

Sio vi Waziri hata PR tu haviwezi, let alone the hard work of charting the murky waters of reconciling geopolitics and the needs of local constituents.

Waziri anasema hajui watu wa Mtwara wanataka nini? This is the most basic thing any carbon based biped with a backbone would think of.

Let alone a Professor.

Hawa ndio wale "absent minded professors" nini?
 
Sijasema naweza kuleta maendeleo. Kujua tatizo ni kitu kingine na kulitatua ni kitu kingine kabisa. Ila walau NAJUA tatizo.

Watu wa Moshi wote wanajua jinsi ya KUFIKA kilele cha Mlima Kilimanjaro ila kufika huko juu ni hadhithi nyingine.

Unajua yeyote ambaye anaweza kulitatua? Maana tayari upo wewe ambaye unajua na kufahamu sasa kilichobaki ni kutafuta tu anayejua namna ya kulipatia ufumbuzi.

Ila angalia isije ukawa unadhani unajua na kufahamu wakati hata hujui kama hujui na kufahamu....chondechonde mami!
 
Sabau nyingi na uondoaji wake ni wa aina nyingi pia. Mie kila siku napigia mstari hilo la kuachana na upuuzi wa too much respect for authority.

That is a constant and common theme in my posts. Alleviating this mental sloth we are slumbering in.

Accepting challenge, diversity, complexity, hard work and plurality as a vital parts of progress.

Hilo la too much respect for authority huoni kama ni cultural? Na kubadili culture si jambo rahisi hata kidogo.

You would need a paradigm shift for it to change.
 
Hilo la too much respect for authority huoni kama ni cultural? Na kubadili culture si jambo rahisi hata kidogo.

You would need a paradigm shift for it to change.

Nimeeleza mara kadhaa hapa, hususan ninapoona hullabaloo za CHADEMA vs CCM.

Kwamba tuna matatizo deeper than political parties. Kwa sababu hatuna a political system. Hatuna ideologies. Si kwa CCM wala upinzani. Kolimba alilisema kitambo hili kwa CCM. Upinzani una kazi ndefu kabla ya kukamilisha ideological bases, mainly because ideological bases cannot stand on an economic vacuum, and they (opposition) want politics without a political economy brainstorm. Nishauliza ideology ya CHADEMA sikujibiwa. Nishauliza plan ya CHADEMA ku combat inflation, sijajibiwa mpaka leo. Kwa mtu kama mimi ambaye niko beyond personalities politics, nataka kujua habari za left and right of center, conservative/ liberal, social and fiscal policies, ideologies za Keyness vs Hazlit, Adam Smith/ Ludwig von Mises vs Karl Marx/ Frederick Engels, Castro/Morales/Chaves/Juche vs Boigny/Lee Kuan Yew/ Masire naona the whole thing ni maigizo tu.

Kwa hiyo sasa hivi hata tukiwaweka CHADEMA (which may be good for plurality and change) hatuna uhakika kama tutafanya jipya, itakuwa ni trial and error tu. Moja ya sababu Watanzania hata walio na uelewa mkubwa wa kisiasa wanaweza kuwa reluctant kukipa madaraka chama cha upinzani kwa sasa.

Tuna matatizo cultural, na solution yake inaweza kuwa multilayered.

Ndiyo maana ninafurahi nikisikia mtu kama Ray anakuja na sinema itakayo parody the Catholic Church as a hypocritical house of burlesque. Wengine wanaweza wasielewe the tendency to a paradigm shift here (and I am a fan of neither Ray nor Bongo movies, but every little step helps)

On the one hand naona hizi almost anarchical tendencies za kuchoma moto nyumba na magari huko Mtwara ni an overreach based on ignorance on the part of the people, the government and the opposition.

On the other hand these may very well be the birth pains that will give us the baby of that paradigm shift you are talking about.

Kitu kimoja tunachohitaji ni intolerance.

Yes intolerance.Zero tolerance kwa ujinga.

Waziri kama anashindwa hata kujieleza tu, atolewe. Labda atakayekuja atajua kwamba kabla ya kuwa interviewed na press one has to anticipate at least the most basic questions and be prepared.

Sio huu upuuzi wa "sijui watu wa Mtwara wanataka nini".

Huyu waziri hana hata haya?
 
Korosho... Hizo korosho ni mali zao kabisa, mbona hizo korosho zinasafirishwa? Watanzania tuwaulize kwa nini korosho zao zinasafirishwa kutoka Mtwara.

Muhongo anashindwa kuelewa...korosho zkilimwa na kusafirishwa huwa tunaandaa tena mashamba kwa ajili ya msimu ujao...tunalima tena!! Na hii ni mzunguko mzima wa mwaka, lakini anashindwa kuona hii gesi ikivunwa tutaachiwa mashimo...!!

Isitoshe, wananchi wa Lindi na Mtwara wamepunguziwa bei ya umeme... Je, wanavyounganishiwa huo umeme kwa bei nafuu kuliko wananchi wengine, hawajiulizi? Pili, vijana wao tumewachukua wanakwenda kusoma VETA...

Waziri: Kwanza naomba kuwaambia wananchi wa Mtwara, kuwa wasicheze ngoma wasiyoijua. Wasiimbe nyimbo wasizozijua wala hawajui wanaotunga tenzi za nyimbo hizo.

Hili punguzo la bei ya umeme kwa wakazi wa Mtwara ndio imesababisha yule usalama wa taifa achomewe gari yake na Imesababisha Waziri SimbaChawene awekewe magogo ili wananchi wa msimbatiwahoji huo umeme umepunguzwa bei wapi...kwani hata hapo Msimbati hamna umeme!!!

Nadhani waendelee kudhani kwamba hii ngoma tunayocheza hatuijui..........Nawakilisha
 
From the international press

Pipeline Riots Leave 7 Dead in Tanzania

Pipeline Riots Leave 7 Dead in Tanzania - WSJ.com

By NICHOLAS BARIYO

KAMPALA, Uganda-Days of riots over the construction of a 310 mile Chinese-funded gas pipeline in Tanzania have left seven people dead, but the development will continue, officials said Monday.

The riots mark an escalation of local tensions as the East African nation attempts to start exploiting recently discovered offshore natural-gas reserves.

Peaceful demonstrations last week degenerated into chaos after protesters began targeting the residences of policemen and local government officials. By Sunday, at least seven people had been killed and dozens had been arrested, a police spokesman said. Activists said the death toll could be higher.

The pipeline is planned to run from the impoverished southern region of Mtwara to the port city of Dar es Salaam. Mtwara residents want the government to use the fuel to stimulate the local economy first, and were angered by the government's decision to proceed with construction despite local resistance.

Yona Maro, a rights activist in Dar es Salaam, said residents believe the pipeline will deprive them of any benefits that could come from finding the natural resource.

"There are high levels of poverty and unemployment in Mtwara, people see this pipeline as an entity that will disadvantage them," Mr. Maro said.
Tanzania's government is implementing the pipeline as a "high-priority project" to boost power plants and help end years of chronic power shortages, Deputy Information Minister Amos Makala said. "Some selfish politicians are inciting the population against the government, this is unacceptable" he said.

After days of rioting, police had managed to restore order in Mtwara on Sunday, Mr. Makala said. He said pipeline construction work would continue.

The $1.2 billion project is being funded by China Export-Import Bank. Construction started in November and the project is expected to be commissioned early 2014.

Canada-based Wentworth Resources, WRL.OS +4.21% which operates the Mnazi gas fields in Mtwara, said in November that it was completing an agreement to supply 80 million cubic feet of natural gas to the pipeline. Company officials couldn't return calls or emails seeking comment about the riots.

Tanzania has enjoyed relative stability and peace for years, but the recent discovery of huge gas reserves has heightened tensions among local residents.

Mainland Tanzania is also embroiled in a spat with the semiautonomous archipelago of Zanzibar over sharing future oil and gas revenue. The feud continues to hamper the commencement of exploration activities by Royal Dutch Shell RDSB.LN +0.60% PLC, which holds a license near the archipelago.

The U.S. Geological Survey estimates that East Africa's coastal region holds up to 441 trillion cubic feet of natural gas.
Write to Nicholas Bariyo at nicholas.bariyo@dowjones.com
 
Acheni umbumbumbu, raia wa mtwara wanalishwa sumu wasizozijua, binafsi nimefatalia sana matakwa ya raia wa Mtwara, na kwa zaidi ya asilimia 99% matakwa yao yameshaelezwa ni jinsi gani yatatekelezwa na ambayo yameshaanzwa fanywa kwa upendeleo!!
Hivyo mimi nasikitishwa na watu mnaocomment ujinga wakati ukweli wa mambo unafahamika, fuatalieni mambo kwa pande zote mbili ndipo mtakaporealize kuwa raia wa Mtwara hawajui hata wanachopigania!!!!!!
Profesa na crew yako yote endeleeni kuchapa kazi kwani ipo siku watanzania wataelewa juu ya hiki mnachowaeleza leo!!!

Msubiri Pinda arudi dar ndo utajua kama watu wa Mtwara wanajua wanachodai au la.
 
Ndio maana mvutano hauishi, kumbe waziri haelewi wanamtwara shida yao nini, inavyoonekana na wanamtwara hawamwalewi waziri, kazi ipo.
Hivi vikao vya posho tangu lini vikapeleka feedbacks kwa wananchi, wananchi hakuna wanalolijua sio tu kuhusu gesi hata hivyo vikao kama vilifanyika.
waziri hizi ndio kejeli wasizozitaka wana mtwara, Muhongo ni kati ya mawaziri niliyokuwa nikifikiri wana uwezo wa kufikiri kumbe naye bure tu, ulitaka walime korosho na wazile huko huko mtwara. Waziri hawana korosho tu, wana gesi pia, kaeni chini muwasikilize acheni kuwakejeli.

Hata mimi nimemtoa maanani kabisaa. Uzembe mpaka watu wameuana. Kiongozi ni yule mwenye busara kutatua matatizo kabla.Rudi kufundisha, huna maana kabisa. Siri ya korosho unaijua? Wanamtwara wanalia kila siku bei ndogo isiyo na tija, hakuna anayewasikiliza.Kumbe wajuaji ndio walio na viwanda vya korosho huko India. Bei itapandaje??
 
Ndio maana mvutano hauishi, kumbe waziri haelewi wanamtwara shida yao nini, inavyoonekana na wanamtwara hawamwalewi waziri, kazi ipo.
Hivi vikao vya posho tangu lini vikapeleka feedbacks kwa wananchi, wananchi hakuna wanalolijua sio tu kuhusu gesi hata hivyo vikao kama vilifanyika.
waziri hizi ndio kejeli wasizozitaka wana mtwara, Muhongo ni kati ya mawaziri niliyokuwa nikifikiri wana uwezo wa kufikiri kumbe naye bure tu, ulitaka walime korosho na wazile huko huko mtwara. Waziri hawana korosho tu, wana gesi pia, kaeni chini muwasikilize acheni kuwakejeli.

Huyu waziri hayupo serious,lakini kunajambo lazima tujifunze hapo,kwamba mwizi akitaka kuhalalisha kitu alichokiiba,lazima aanze kudanganya watu kwamba hiyo mali ya wizi ni yake,na atafanya kila mbinu ili watu waamini kwamba ni yake,na huu ndio ujinga ambao hawa jamaa wamekuwa wanatufanyia siku zote,lakini wanashindwa kusoma alama za nyakati,na hii inaonyesha kwamba ndio mwisho wa kufikiri kwao huko.
kwamfano: wewe na familia yako kilasiku mnakalia mikeka wakati wa kula chakula,na wewe kama baba hilo jambo linakukera haupendezwi nalo,sasa unajitahidi ili ununue meza ya kulia chakula,na unafanikiwa kununua meza ya kulia chakula,kwahiyo unaileta hapo nyumbani na watoto wanafurahi kwamba wamepata meza,lakini sasa wanajikuta ni wafupi hawafikii kwenye meza ya kulia chakula,kutokana hilo wewe unaona isiwe tabu,unaenda kuwaita watoto wa jirani kwa vile niwarefu,ili wakae mezani na watoto wako unawaambia waendelee kukaa chini kwenye mkeka,mpaka watakapokuwa warefu,hii ndio story serekali inajaribu kuwaambia wana mtwara,kwamba wao ni wafupi hawapaswi kukaa kwenye meza waendelee kukaa chini.
 
CCM OYEEEE....hii ndio CCM tumeona watu wamesema sana pale mbele ya MH.Waziri mkuu mpaka vipovu vimewatoka lakini nilichokigundua ni Mh. Alikua anamtathimini na kumpoint mtu mmoja mmoja wao na kuendelea kuandika majina yao wale ambao walikua wamepatiwa nafasi ya kuongea. Wana mtwara CCM haishindwi kutoa bahasha za kuwanyamazisha nyinyi watu ambao munaweza mukaizamisha na kuiokoa mtwara hata kama muko watu 1000. Tahadharini sana na bahasha hizi kama kweli zimeshaanza kusambazwa.
 
Juu ya hili punguzo la umeme wanalodai kuwa limetolewa kwa wananchi wa Lindi na Mtwara nalo ni upotoshaji mkubwa kwa wananchi. Kwa ufupi ni kuwa wanaonufaika na punguzo hilo ni wale walio karibu na line zao tu(yaani mita 30 toka kwenye nguzo) watu ambao ni wachache mno ukilinganisha na wale ambao wapo nje ya line. Na kwa wale walio nje ya line gharama ya kuunganisha umeme zimebaki kuwa ni zilezile yaani nguzo Tsh 800,000/= na service line Tsh 485,000/=. Hivyo tunamuomba huyu Liproffeseli aacha siasa pia ajiheshimu kwani naona anaanza kupoteza heshima yake kwa jamii.
 
Huyu waziri hayupo serious,lakini kunajambo lazima tujifunze hapo,kwamba mwizi akitaka kuhalalisha kitu alichokiiba,lazima aanze kudanganya watu kwamba hiyo mali ya wizi ni yake,na atafanya kila mbinu ili watu waamini kwamba ni yake,na huu ndio ujinga ambao hawa jamaa wamekuwa wanatufanyia siku zote,lakini wanashindwa kusoma alama za nyakati,na hii inaonyesha kwamba ndio mwisho wa kufikiri kwao huko.
kwamfano: wewe na familia yako kilasiku mnakalia mikeka wakati wa kula chakula,na wewe kama baba hilo jambo linakukera haupendezwi nalo,sasa unajitahidi ili ununue meza ya kulia chakula,na unafanikiwa kununua meza ya kulia chakula,kwahiyo unaileta hapo nyumbani na watoto wanafurahi kwamba wamepata meza,lakini sasa wanajikuta ni wafupi hawafikii kwenye meza ya kulia chakula,kutokana hilo wewe unaona isiwe tabu,unaenda kuwaita watoto wa jirani kwa vile niwarefu,ili wakae mezani na watoto wako unawaambia waendelee kukaa chini kwenye mkeka,mpaka watakapokuwa warefu,hii ndio story serekali inajaribu kuwaambia wana mtwara,kwamba wao ni wafupi hawapaswi kukaa kwenye meza waendelee kukaa chini.

You are on to something big mkuu. I have the same sense.

Siamini kama huyu Waziri Muhongo kweli "hajui" watu wa Mtwara wanataka nini.

He is a professor for god's sake, he is no dummy.

Kwa hiyo anajua angalau the most basic rationale.

Sasa swali ni, kwa nini anasema hajui?

Je, kuna vitu anajua akianza kuvizungumzia vitaibua maswali zaidi na anaona ni bora aseme hajui tu? Heri lawama kuliko fedheha style?
 
Kila wakati ukiuliza watu kwa undani nini kinatakiwa; ni maneno ya kinadharia tu hakika hakuna ambacho ambacho hakijaelezwa".

Utasikia wanasema kama huyu: "POINT TO NOTE: WanaMtawara hawakatai gesi isisafirishwe kwenda Dar es Salaam, bali wanataka waelezwe ni kwa vipi watafaidika na rasilimali ya gesi iliyovumbuliwa Mtwara. Huu ni upotoshaji ambao serikali inaufanya mara kwa mara. Naomba usome tamko la Shura ya maimum wa Mtwara."

Kwa type ya watu kama akina Mwita Maranya wenye shule za kuungaunga na kukaa tu kwenye keyboard 24 hrs na kusubiri mkuu wao wa masalia aje hapa na kusema anaomba msamaha usiojulikana kuwa alikosa nini na kwa nani huwezi kuwatosheleza. Hata ungeleta Mtaalamu aliyebobea kutoa maelezo na ushawishi vipi maana wao walizoea Wanasiasa ambao wanalamba mafisadi miguu. Akiwa Bungeni kelele nyingiiiiii; akiwa gizani utasikia "naomba unimalizie yale malipo nikachukue lile Hammer!!!!"

Faida zimeshaelezwa sana katika vikao na wadau huko huko kusini, maelezo ya Waziri, Naibu wake na hata leo katamka vema katika kipindi cha 45. Sasa mnataka tuanze kuishi kwa kuwekeana conditions eti serikali ikisema tutafanya hivi na wakaonyesha mpango ulio wazi hadi bungeni ukakubalika na wawakilishi wetu mnaofikiri ni mahiri wakipiga makofi; huku mnageuka na kusema hatujashirikishwa. What a govn't on earth is this gonna be!! Yaani kila Waziri akimaliza kuwasilisha bajeti na wadau wamejadili na kuelimishwa juu ya mradi tarajiwa katika mikoa husika tena Waziri anapaswa kuja kuwatembelea mmoja mmoja katika familia akina Maranya nyumbani kwao na kuwasimulia hadithi za miradi na kuwabembeleza. Kumbe mmezoea na kulelewa katika tabia hizi za kuchochea ten %.

Basi hili ndilo fundisho kwenu. Ndio maana unasikia wote wanaosema huyu ni arrogant etc kwa sababu wamezoea wale type ya wale Wanafiki madouble agent; wataalam wa kukusanya dawa za kuuwa panya. Huu mwaka mmekutana na watu makini waadilifu halafu hawapigi magoti kuomba vyeo kama mlivyozoea!!!

Wewe Maranya na kundi lako usitishe watu wala wewe si chochote mnakuja hapa kudharau elimu za watu wanaoheshimika ambayo wengine kama wewe Maranya najua itabidi tukusanye vyeti na ujuzi wa watu wote wa kile kijiji chako hadi vizingani lakini hamtafikia hapo.

Katika jambo la wazi linaloeleweka; ukiendelea kusema huelewi; mwenye akili timamu na mwenye shule iliyosimama anayekusikiliza lazima aseme "sijui tatizo ulilo nalo". Ila kwa wasio na akili timamu na wanafiki lazima waseme najua tatizo lako na mwisho wa siku hawawezi kukusaidia.
Well done Prof. Muhongo, that is schooling; despite all the explanations, hata sisi hatujui wanaoamkia kila siku kwenye mtandao na agenda ya gesi hatujui sasa wanataka nini??? Usikute wao ndio wanataka kutuondoa katika agenda kuu ya ujenzi wa Taifa na kuupunguza umaskini. Yaani tuendelee kutegemea wenye majenereta na yanayoitoza TANESCO gharama kubwa na mwisho wa siku ni wewe Maranya ndio utalipa hizo tarrifs za kijinga anbazo zisingepaswa kutokana na rasilimali tuliyonayo.

Kheri Profesa aliyezaliwa katika nyumba ya nyasi kuliko, kilaza aliyekulia ndani ya kigae cha ghorofa la ufisadi!!!!!!

ogopa profesa aliyezaliwia nyumba ya nyasi! ndio maana kauli zao zimekaa kinyasinyasi tuu!

Katika jambo la wazi linaloeleweka; ukiendelea kusema huelewi; mwenye akili timamu na mwenye shule iliyosimama anayekusikiliza lazima aseme "sijui tatizo ulilo nalo". Ila kwa wasio na akili timamu na wanafiki lazima waseme najua tatizo lako na mwisho wa siku hawawezi kukusaidia.
Well done Prof. Muhongo, that is schooling; despite all the explanations, hata sisi hatujui wanaoamkia kila siku kwenye mtandao na agenda ya gesi hatujui sasa wanataka nini??? Usikute wao ndio wanataka kutuondoa katika agenda kuu ya ujenzi wa Taifa na kuupunguza umaskini. Yaani tuendelee kutegemea wenye majenereta na yanayoitoza TANESCO gharama kubwa na mwisho wa siku ni wewe Maranya ndio utalipa hizo tarrifs za kijinga anbazo zisingepaswa kutokana na rasilimali tuliyonayo.

Kheri Profesa aliyezaliwa katika nyumba ya nyasi kuliko, kilaza aliyekulia ndani ya kigae cha ghorofa la ufisadi!!!!!!
 
You are on to something big mkuu. I have the same sense.

Siamini kama huyu Waziri Muhongo kweli "hajui" watu wa Mtwara wanataka nini.

He is a professor for god's sake, he is no dummy.

Kwa hiyo anajua angalau the most basic rationale.

Sasa swali ni, kwa nini anasema hajui?

Je, kuna vitu anajua akianza kuvizungumzia vitaibua maswali zaidi na anaona ni bora aseme hajui tu? Heri lawama kuliko fedheha style?

Mkuu,

Huyu Proffesor Muhongo ameonyesha ni jinsi gani viongozi wanakuwa na kiburi wanapopata madaraka na hasa haya madaraka ya kupewa bila kuchaguliwa kwa kura.

Nafikiri alifikiria mara mbilimbili kuchukua nafasi hiyo alipoombwa na raisi na hiyo inaonyesha pia kasoro ya kupanga watu ambao hawatakusaidia kuongoza na kutekeleza shughuli za serikali kwa wananchi walioiweka serikali ya ccm madarakani.

Kwa mtu wa aina ya Proffesor Muhongo katika mahojiano yake angeelezea mkataba huo wa gesi kwamba ni wa kati ya serikali yetu na kampuni gani na kutoka nchi gani.

Waziri atambue kuwa siku zote yeye ni "user friendly" na wananchi wake na hivyo ndivyo mawaziri wa nchi zilizoendelea wanavyofanya.

Kwa mtindo aliotumia kujibu maswali rahisi kwa majibu magumu namna hii anaingia kwenye ile orodha ya akina Wassira.

Mambo aliyoyasema yanaweza kabisa kurekebishwa na mtoto wa kidato cha nne aliesomea Geography, na akaeleza vizuri manufaa ya gesi hiyo kwa mikoa hiyo ya kusini.
 
Huyu Muhongo kwa majibu yake haya amejiaibisha yeye, serikali, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alichokitumikia na Vyuo Vikuu vyengine alivyosoma vilivyompatia hizo shahada zake

Kwa kutaka kujivua kwake kuzungumzia upande wa wanachi, ameamua kutoa majibu yakijabari yaliyokosa umakini, mantiki na kusheheni ufedhuli.

Mhongo anaonyesha ugonjwa ule ule wa viongozi wa Tanzania, cheo kupanda kichwani
 
Back
Top Bottom