Hilo la too much respect for authority huoni kama ni cultural? Na kubadili culture si jambo rahisi hata kidogo.
You would need a paradigm shift for it to change.
Nimeeleza mara kadhaa hapa, hususan ninapoona hullabaloo za CHADEMA vs CCM.
Kwamba tuna matatizo deeper than political parties. Kwa sababu hatuna a political system. Hatuna ideologies. Si kwa CCM wala upinzani. Kolimba alilisema kitambo hili kwa CCM. Upinzani una kazi ndefu kabla ya kukamilisha ideological bases, mainly because ideological bases cannot stand on an economic vacuum, and they (opposition) want politics without a political economy brainstorm. Nishauliza ideology ya CHADEMA sikujibiwa. Nishauliza plan ya CHADEMA ku combat inflation, sijajibiwa mpaka leo. Kwa mtu kama mimi ambaye niko beyond personalities politics, nataka kujua habari za left and right of center, conservative/ liberal, social and fiscal policies, ideologies za Keyness vs Hazlit, Adam Smith/ Ludwig von Mises vs Karl Marx/ Frederick Engels, Castro/Morales/Chaves/Juche vs Boigny/Lee Kuan Yew/ Masire naona the whole thing ni maigizo tu.
Kwa hiyo sasa hivi hata tukiwaweka CHADEMA (which may be good for plurality and change) hatuna uhakika kama tutafanya jipya, itakuwa ni trial and error tu. Moja ya sababu Watanzania hata walio na uelewa mkubwa wa kisiasa wanaweza kuwa reluctant kukipa madaraka chama cha upinzani kwa sasa.
Tuna matatizo cultural, na solution yake inaweza kuwa multilayered.
Ndiyo maana ninafurahi nikisikia mtu kama Ray anakuja na sinema itakayo parody the Catholic Church as a hypocritical house of burlesque. Wengine wanaweza wasielewe the tendency to a paradigm shift here (and I am a fan of neither Ray nor Bongo movies, but every little step helps)
On the one hand naona hizi almost anarchical tendencies za kuchoma moto nyumba na magari huko Mtwara ni an overreach based on ignorance on the part of the people, the government and the opposition.
On the other hand these may very well be the birth pains that will give us the baby of that paradigm shift you are talking about.
Kitu kimoja tunachohitaji ni intolerance.
Yes intolerance.Zero tolerance kwa ujinga.
Waziri kama anashindwa hata kujieleza tu, atolewe. Labda atakayekuja atajua kwamba kabla ya kuwa interviewed na press one has to anticipate at least the most basic questions and be prepared.
Sio huu upuuzi wa "sijui watu wa Mtwara wanataka nini".
Huyu waziri hana hata haya?