Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii. Hajaridhisha wananchi kuhusu tuhuma za ufisadi bado.
Mtafutane huko mkanywe chai kama ni mahaba niue kwako.hapendwi mtu ni kazi tu.Kiongozi sahihi ni Edward Ngoyai Lowassa.
suala sio richmond,epa,iptl,escrow,meremeta,kagoda n.k hakuna mgombea mwingne wa uraisi mwenye tuhuma hizo nzito tofauti na lowasa, kwa hy lowasa lazima watu wahoji sababu anagombea uraisi wa nchi
Mbona hao wanasheria wenzake wanaosemwa siwaoni kwenye hiyo makala?
Tundu lissu hana jipya kabakia kutapatapa tu nakupotosha ukweli
lengo lako sio lisu bali Lowasa, umeula wa chuya, I will vote for Lowasa