Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.
 
WANASHERIA WAMKABILI TUNDU LISU

Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.


Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaonge na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshaganzwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule. Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabahishaji wa democracy ndani ya Chadema kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura. Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwan nn mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukuwe form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowasa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina take mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha lowasa Dr Slaa alitupiwa vitu njee na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee Chadema wakiwa nyumbani kwa Dr slaa pamoja na mkwewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu ukawa na kusema kuwa alikuwa anapanga mikati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbna yy anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowasa ni Assets au Liability kwa Chadema?

Sasa Wakili Msomi Lisu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa Chadema wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KTK KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.
 
makitoro

wajibu nini?
labda wajibu haya
1,slaa alipomtaja lowasa na richmond 2010kwenye kampain mbona walishangilia tena mbowe nikiwepo arusha naona,
2 slaa alipomtaja lowasa na wizi wa mln 300 za ujenzi wa nyumba ya mbunge akiwa waziri mkuu mbona hawakujibu?
3 lema alipo waapisha watu wa arusha viwanja vya soweto na kumuita lowasa shetani mbona hawakujibu?
4 mnyika alipotamba na nyaraka za wazi zidi ya richmond mbona hawakujitokeza,
wakijibu haya wanaweza kutusaidia kujua ukweli zidi ya slaa maana ninajua slaa, lowasa hajamtaja jana au juzi ni tangu 2010,
sasa eti mbowe,mbatia ,lissu mzee wa ukabila anaweza kusema nini?
 
Last edited by a moderator:
Wanasheria waliohojiwa ni akina nani hao? Mbona tumeona maprof.wakimponda na wametajwa! Wewe umetoa wapi hzo data?
 
Hongereni sana wanasheria wetu kwa kazi nzuri.
 
lengo lako sio lisu bali Lowasa, umeula wa chuya, I will vote for Lowasa
 
Back
Top Bottom