Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

Na je akichaguliwa Lowasa kuwa rais utajinyonga?
 
hatuwezi kujitoa akili kwa kumpa nchi mtu ambae anakubali kupindisha ukwl kwa maslah ya mkuu wake. kwnn asikatae kupitisha mkatab kwa maslah ya taifa, bdala yake ameptsha mktab hewa, wkati mm nasuffer kulipia umeme bei juu ndo anakuja leo kusema. LOWASA? No way.kura yangu NOO
 
nnachoona mm n kwamba hakuna hoja ya mwana CDM yeyote aliyethbtsha kuwa LWS hakuhusika na RICHMOND zaid ya kuzngmzia privacy za dr. slaa.
 
Cheap Propaganda kabisa. Wataje hao wanasheria ili tuone. Kwani tunawajua karibu wanasheria wengi wa Tanzania.
 
Kama mtu ana pressure ni bora akawa kimya kwani kitakachowakuta hio october mtashangaa!Chama Cha Mapinduzi kipo kimkakati kushinda uchaguzi kivyovyote sio hizi blaa blaa zenu humu mitandaoni,kusanyeni watu na malory,mabasi ,endeleeni kuwakatia watu tiketi za ndege ili kujaza viwanja ila october hakuna wakumzuia Magufuli kwenda magogoni tambueni fisadi hana nafasi tz
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

riwaya ndeeeeefuu na hakuna cha maana ulichoandika. Subiri kichinjio mwezi oktoba halafu ndio uanze kuuliza hayo maswali ya kijinga.
 
Nimesoma ujumbe wako na umenifurahisha ulivyouandika, hata hivyo najiuliza hayo maoni ya wanasharia wanaomuponda Tundu Lissu uliyakusanyaje?? Kila mmoja alikupigia simu/ulimpigia simu? Ulifanya nao mkutano? Ulifanya nao mahojiano? Walikutembelea nyumbani? Idadi yao ni ngapi, wanatoka wapi na walitoa maoni yao lini ili angalau tujiridhishe na hiyo kauli yako ya 'wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti'. Tusipopata majibu, basi angalau tu uaambulie kusifiwa kuwa umetoa riwaya nzuri inayokaribia hekaya za Abunwasi. Nasubiria majibu. Kidumu Chama cha Mapinduzi.
 
Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii. Hajaridhisha wananchi kuhusu tuhuma za ufisadi bado.

Una Kiranga na Lowassa wewe, Na safari hii lazima ule malimao.
 
Last edited by a moderator:
makitoro

wajibu nini?
labda wajibu haya
1,slaa alipomtaja lowasa na richmond 2010kwenye kampain mbona walishangilia tena mbowe nikiwepo arusha naona,
2 slaa alipomtaja lowasa na wizi wa mln 300 za ujenzi wa nyumba ya mbunge akiwa waziri mkuu mbona hawakujibu?
3 lema alipo waapisha watu wa arusha viwanja vya soweto na kumuita lowasa shetani mbona hawakujibu?
4 mnyika alipotamba na nyaraka za wazi zidi ya richmond mbona hawakujitokeza,
wakijibu haya wanaweza kutusaidia kujua ukweli zidi ya slaa maana ninajua slaa, lowasa hajamtaja jana au juzi ni tangu 2010,
sasa eti mbowe,mbatia ,lissu mzee wa ukabila anaweza kusema nini?

wanasheria wana deal na wanasheria wenzao hasa wale wanaonekana wanaidhalilisha taaluma hao wachezea pembeni wenzangu na mimi wasioujua hata vidence ina maana gani manasheria wajishughulishe nao wa nini sasa?
 
Mkuu sina uhakika kama wapiga kura wana wengi wa kitanzania huwa wanaridhika kwanza na tabia za mtu ndo kabla ya kumchagua, tumeona watuhumiwa waki chaguliwa mara kwa mara.

Wananchi huwa wanarahisisha maswali kwa kuamini CCM. Sada Loeassa alivyotoka CCM wale waliokuwa wanarahisisha kwa kuangalis chama watashindwa kufanya hivyo.

Halafu Lowassa alikuwa disgraced in a very public way. Na bado mpaka sasa hizi habari za Dr. Slaa zinazidi kumsiliba.

Watanzania wakiona ana maswali mengi, hawatamchagua.
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Mwaka huu mtatumia hela zote mlizoficha kila kona na tunazila kweli.Ila kura zote ni kwa Lowassa.Nchi hii imefaidiwa na wachache vya kutosha huu ni wakati wa kugawana wote.Ni raha kweli.Tumieni kila mbinu mwisho wa yote ni mwezi ujao.Baada ya teck ya Slaa tunasubiri nyingine.Mimi na ukoo wetu kura ni kwa Lowassa.
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Hao wasomi mbona hawakumshangaa Jaji Werema issue ya escrow sembuse wakili Lissu waendelee tu kushangaaaa kama inawasaidia - cheap politics
 
makitoro

wajibu nini?
labda wajibu haya
1,slaa alipomtaja lowasa na richmond 2010kwenye kampain mbona walishangilia tena mbowe nikiwepo arusha naona,
2 slaa alipomtaja lowasa na wizi wa mln 300 za ujenzi wa nyumba ya mbunge akiwa waziri mkuu mbona hawakujibu?
3 lema alipo waapisha watu wa arusha viwanja vya soweto na kumuita lowasa shetani mbona hawakujibu?
4 mnyika alipotamba na nyaraka za wazi zidi ya richmond mbona hawakujitokeza,
wakijibu haya wanaweza kutusaidia kujua ukweli zidi ya slaa maana ninajua slaa, lowasa hajamtaja jana au juzi ni tangu 2010,
sasa eti mbowe,mbatia ,lissu mzee wa ukabila anaweza kusema nini?

Tunaomba utujibu haya upotoshaji wa siasa mfilisi

1. Wanasheria hao akina nani,wako wapi na walimjibu wapi?
2. Hivi Ukabila unaujua?, nani mwenye ajenda za ukabila kama sio ccm?
Mwaka 2000 ccm ilipita nchi nzima kusema cuf ni chama cha wapemba wakati msajili wa vyama vingi amepewa sheria kuvifuta vyama vyenye mwelekeo wa ukabila,hajafanya hivyo?

Kwa taarifa yako chadema ina vita na ccm mfumo ambao umelelewa na kupaliliwa ndio maana waovu wamepewa nafasi kugombea tena(yumo Tibaijuka,Chenge,na Ngereja)

4. Azimio la Arusha liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Yani ule mchakato wa kumpata mgombea wa chadema na ukawa kwa ujumla uliwashangaza watu wengi sana nje na ndani ya Tanzania .alipitishwa ndani ya masaa 48 na hakukuwa na wakushindana nae.
 
Back
Top Bottom