Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

makitoro

wajibu nini?
labda wajibu haya
1,slaa alipomtaja lowasa na richmond 2010kwenye kampain mbona walishangilia tena mbowe nikiwepo arusha naona,
2 slaa alipomtaja lowasa na wizi wa mln 300 za ujenzi wa nyumba ya mbunge akiwa waziri mkuu mbona hawakujibu?
3 lema alipo waapisha watu wa arusha viwanja vya soweto na kumuita lowasa shetani mbona hawakujibu?
4 mnyika alipotamba na nyaraka za wazi zidi ya richmond mbona hawakujitokeza,
wakijibu haya wanaweza kutusaidia kujua ukweli zidi ya slaa maana ninajua slaa, lowasa hajamtaja jana au juzi ni tangu 2010,
sasa eti mbowe,mbatia ,lissu mzee wa ukabila anaweza kusema nini?

waambie wameweka ushabiki mbele hata hawafikirii
 
Last edited by a moderator:
Una mtindio wa ubongo wew. ccm hamuwez kumuelewa lisu. Nyie mtamuelewa werema, chenge nawengineo mana ukiwa ccm uwezo wako wa kufikiri unakuwa mdogo. Alafu heading yako na content haviendani. Rudi darasan

Sasa hapo nani mwenye ubongo wa kuku?
 
Masaburi unawaharibu wanaccm wenzio! angalia hawa ndio uliwapanga wawe kiitikio cha wimbo wa dokta slaaa.

Mnatafuta impact ya press iliyowagharimu zaidi ya 80m.

mngeshtuka mapema mngeibadili jina ccm mngepata wa kuwadanganya, kwa sasa mbaya wetu ni ccm atakiona cha mtema kuni.
 
Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii. Hajaridhisha wananchi kuhusu tuhuma za ufisadi bado.
Mkuu sina uhakika kama wapiga kura wana wengi wa kitanzania huwa wanaridhika kwanza na tabia za mtu ndo kabla ya kumchagua, tumeona watuhumiwa waki chaguliwa mara kwa mara.
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Maelezo yako ni mazuri ,lakini hapa umeharibu, na wewe umefanya kama alicho fanya lissu. Maelezo yako ungeyatoa bila huu mstari ungeonekana uko safi,na upo kwa ajili kuwatetea watanzania, lakini 4 this line , na wewe umeegemea upande fulani kama Lissu
 
Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii. Hajaridhisha wananchi kuhusu tuhuma za ufisadi bado.
Nani kakwambia.....!!!! Mijitu mingine humu cyo hata ya kubishana nayo. Subiri 25 October, mabadiliko ni lazima
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Maelezo yako ni mazuri ,lakini hapa umeharibu, na wewe umefanya kama alicho fanya lissu. Maelezo yako ungeyatoa bila huu mstari ungeonekana uko safi,na upo kwa ajili kuwatetea watanzania, lakini 4 this line , na wewe umeegemea upande fulani kama Lissu: Inaonekana Hakuna mwanasheria yoyote aliyemtuhumu Lissu, haya maelezo ni yako binafsi,na kama wewe ni Mwanasheria naomba urudi Darasani
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Wanasheria wamkabili au wewe umemkabili? Maana huonyeshi wapi walipohojiwa hao wanasheria au majina yao. Kwa hiyo hapa ni wewe ndio unauliza maswali.
 
Hata mseme nini kura kwa Lowassa. Mwanasheria wetu hajakurupuka alichokisema ndicho.
 
TL yuko sahihi haswaa Slaa akalale ameshindwa na sina haja tena ya kuendelea kumsikiliza ashindwe na alegee:A S 41::A S 41:
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Aliyo yasema lissu ni ukweli mtupu unataka hoja gani zaidi people hear only what they want to hear
 
Kama mwanasheria mkuu wa selikari alikaa kwa Lisu ni nyambavu gn mwingine anaweza kupima uwezo wa Tundu Lissu hapa tz
 
Yeye ndiye aliye husika katika mchakato wa kumleta Lowasa CHADEMA.
 
Richmond mwaka wa 8 leo jaman angalieni habari nyigine mbona si IPTL ???

suala sio richmond,epa,iptl,escrow,meremeta,kagoda n.k hakuna mgombea mwingne wa uraisi mwenye tuhuma hizo nzito tofauti na lowasa, kwa hy lowasa lazima watu wahoji sababu anagombea uraisi wa nchi
 
Uwezo wa mwanasheria unapimwa kwenye nini has a?? Kauli atoazo au Practice ya sheria aloisomea?
 
Back
Top Bottom