Politic is dynamic game na sio holybook that does not change.Ndo mana nawaita wajinga koz mnajua bt mnafanya propaganda nyepes na za kitoto ndo mana zinafeli kabla hazijaanza kutekelezwa.matusi sio mahali pake,au ni kundi la manyumbu nini ,
kweli mbowe na lisuu ni vigeugeu na wanafiki,kama kuna mtu wa arumeruasema kama wizi huu wa lowasa slaa hakuutaja kwenye uchanguzi wa nasari arumeru na ukampa ushindi,ttzo hawana cha kujibu ,na hawawezi kujibu wataishia kulalamikia uvunguni na bado makongoro sijui jizi lenu litapita wapi ,