Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii. Hajaridhisha wananchi kuhusu tuhuma za ufisadi bado.
Tusiandikie mate wakati wino upo. Tusubiri last week of October.
Tusiandikie mate wakati wino upo. Tusubiri last week of October.
Sema wanasheria wa ccm utaeleweka halafu waambie mwanasheria namba 1 nchini tanzania ni tundu antipas lisu sawasawaaaaa
Mchakato wa kumpata mgombea urais wa cdm haukuwa huru. Uligubikwa na mizengwe
Wanaccm swala la Slaa ndio ilikuwa karata yao ya mwisho haikufanikiwa. Wameacha kueneza sera kwa wapiga kura wamebaki kupika majungu tu. Wamekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya hamsini bado ahadi ni zili zile za maji bila aibu. Wapisheni wanaume wapige kazi mjifunze kutoka kwao.Kupita ule ambao mwenyekiti wake alikuwa na majina yake kwenye mfuko wa shirt?
kupigia kura mtu anayetengemea maigizo ya gwajima na nguvu zake kumsaidia kwenda ikulu ni kumdhiaki mungu,
Lissu hakuona hata haja kuumiza kichwa kumjibu mropokaji Slaa,,,akaamua kumtupia vpande vyake.
Kwa ufupi Slaa hana jipya na akiendelea kujidai kujua atazid kudharaulika,,,apumzke tu mana tym hii hana hata uwezo wa kumshawishi mtoto kutabasamu