Sakata la Dr. Slaa: Wanasheria wamkabili Lissu

Wewe mtoa mada ni mmoja ya hao mawakili au la? kwasababu hujasema ni mawakili gani ni lini wamesema. Naona umekurupuka na Title halafu maelezo yote yanaonekana ni mawazo yako.. Halafu kwa ushauri wako kwa viongozi kwamba watafute namna bora ya kumjibu Slaa kwa sasa sahau hilo endelea na shughuli zako.

Ni kwamba Slaa atajibiwa baada ya uchaguzi(Hakuna muda huo mchafu sasa hivi) na kama Slaa kaongea muda huu ili ajibiwe basi atasubiri sana. Hakuna muda wa kupoteza. Kwa ufupi effect ya Slaa sasa hivi ni almost negligible yan Sifuri
 
Slaa hastahili kujibiwa na kiumbe chochote kwa Usaliti wake ... kila mtu mwenye macho ameona kilichotokea ... Uswahaba wake na Masaburi, Mwakyembe na Sitta ... Slaa ameisaliti Taifa lake kwa Tamaa ya Madaraka na vipande vya fedha ...
 
Hawa wanasheria na wao washughulikie sheria na implications zake ktk sakata la Lowassa kwa Richmond kwa nini abebewe bango. Lowassa ameiweka wazi kuwa Lowassa alikuwa akitii amri ya juu yake. Na ndivyo ilivyo ktk utendaji wa Tanzania. Mhasibu akiambiwa na Mkurugenzi wa Kampuni kuwa achukue pesa ya Kampuni ampatie mke wa Mkurugenzi aendee sokoni, mhasibu hawezi kukataa japo moyoni atakuwa anaona hiyo sio sawa. Utakuta magari ya umma saa saba usiku nje ya mabaa maofisa wakiwa baa wakinywa na madereva wakiwa wamelala usingizi kwenye usuka wa magari hayo. Unadhani madereva hao huwa hawajui kuwa wanavyofanya sio vizuri.
Mkubwa na mdogo kwa Tanzania Huwa hali hii ni common.
Lowassa kila anapolitamka hakuna anayesema sio kweli. Kwa nini mimi na wewe tusiamini kuwa hayo ndio ukweli.
Kwa nini wanasheria wetu hawajalisemea hili?
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Kwani unafikiri tatizo Ñî kuchagua MTU sahihi? Magufuli mwenyewe sio chaguo sahihi. Wananchi wanataka kuondoa mfumo ccm. Watu wamechoka na ccm.
 
Mchakato wa kumpata mgombea urais wa cdm haukuwa huru. Uligubikwa na mizengwe
 
Kuwaingiza wanasheria wetu wanaoheshimika sana kwenye siasa nyepesi na za kipuuzi zinazofanywa hapa nchini kwetu ni kuwadharau.

Hakuna mwanasheria makini anayeweza kushangazwa na namna Lissu alivyojibu maswali kwa mwandishi waVOA
 
Wanasheria mbalimbali na wasomi kwa nyakati tofauti wamekuwa na mashaka na uwezo wa Tundu Lisu kisheria wakati akijibu hoja za Dr Slaa.

Wamekuwa wakiuliza na kushangaa Wakili Msomi mwenzetu alipokuwa anaongea na mwandishi wa habari wa VOA kwa njia ya simu. Tumeshangazwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule.

Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr Slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabaishaji wa demokrasia ndani ya CHADEMA kwa kukiukwa kwa katiba ya Chadema maana utaratibu wa kumpata mgombea haukufuatwa maana ilipaswa kuwe na uwazi kila mwanachama kugombea kwa kuchukua fomu kisha vikao husika vya chama kupitisha kwa kupiga kura.

Lakini pia anatupa maswali kama tangu mwezi January Slaa alipitishwa na Kamati Kuu, je ni kwanini mwezi July waliitisha mwanachama anayetaka kugombea achukue form ya urais ili hali tayari walikuwa na mgombea tayari?

Hapa wanakosa hoja ya Kusema Lowassa alionewa na mchakato wa kumpata rais ndani ya CCM maana nao walishafanya hayo mapema kama kweli mwenyekiti alifika kikao na majina yake mfukoni.

Pili anaposema kuwa mara baada ya kumpitisha Lowassa Dr Slaa alitupiwa vitu nje na mkewe maaana tatizo ni ufirst lady. Sasa hapa anatupa maswali ya kujiuliza kama Dr Slaa alifukuzwa na mkewe baada ya kunyimwa urais na huku kuna Picha walisambaza wakionyesha wazee wa baraza la wazee CHADEMA wakiwa nyumbani kwa Dr Slaa pamoja na mkewe na kueleza umma kuwa dokta amekubali kurudi kuongeza nguvu UKAWA na kusema kuwa alikuwa anapanga mikakati ya ushindi na kipindi hiko alikuwa likizo, je wazee wale walienda nyumbani kwa Dr Slaa kumwombea msamaha ili mkewe akubali kuendelea kuishi na Dr Slaa?

Kimsingi Lissu alipaswa kujibu hoja zilimtaja yeye na sio kuanza kuongelea privacy za watu, mbona yeye anayo mengi tu anayofanyiwa na mke wake hatusemi?

Kwa mfano Dr Slaa alisema kuwa kulikuwa na kikao cha watu wanne yaani Slaa, Mbowe, Lissu na Gwajima wakibishana kuhusu kama Lowassa ni Assets au Liability kwa CHADEMA?

Sasa Wakili Msomi Lissu alipaswa ama akubali au akanushe uwepo wa kikao hicho.

Na kama kilikuwepo na mazungumzo yalikokuwa yakizungumzwa ni tofauti na aliyosema Slaa atuambie ni mazungumzo yapi ni sahii.

Viongozi wa CHADEMA wakae na kutafakari namna bora ya kumjibu Dr Slaa na wafuasi wao wengi kwa hoja na sio majibu mepesi kwa hoja nzito na sio kutaka kuendelea kuwaburuza wafuasi wao.

EWE MZALENDO WA TAIFA HILI CHUKUA HATUA STAHIKI KATIKA KUCHAGUA KIONGOZI SAHIHI.

Tueleze ni vigezo gani ulitumia kuchagua wanasheria uliowatumia kwenye andiko lako?
 
Dr. Slaa is probably bitter about the nomination. He is probably in cahoots with CCM at some level.

But that does not remove the validity of his points.
 
Hawa mawakili wamekurupuka. Wanazungumzia uwazi gani? Tangu Chadema iundwe mwaka 1992 hakujawahi kuwepo mchakato wa kugombea urais ndani ya chama. Mwaka 2000 Chadema haikusimamisha mgombea wakaunga mkono mgombea wa CUF. Mwaka 2005 walimteua Baregu kuwa mgombea wa urais. Baregu alipomwambia mkewe kuwa atagombea urais mkewe akamwambia usirudi nyumbani. Ndipo Freeman akachukua usukani akabuni mkakati wa hilikopta hata ingawa hakushinda alisaidia kuongeza wabunge. Mwaka 2010 Chadema kilimwomba Dr. Slaa awe mgombea wake wa urais. Sasa wanaposema katiba ya Chadema ilikiukwa ni katiba gani hiyo? Kama ni hivyo basi katiba imekuwa inakiukwa tangu mwaka 2005. Wasitubabaishe.
 
Back
Top Bottom