Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,843
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
 
Bashite ni bullshit
Hajibu lolote la maana,kila akiulizwa kuhusu vyeti na kyghushi majina anacheka cheka ujinga na kusingizia kila kitu madawa ya kulevya
La maana kaona kutuambia kaitwa shoga na hana uwezo WA kumpa mimba mkewe
 
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Kwa faida ya nani?
Kuna mhimili ulioenda chini zaidi ndo mnadili nao hapa, tamko lilishatolewa, huo mhimili hauchaguliwi wa kuteua, endeleeni kupoteza muda.
 
Bashite hata asuguliwe na jiwe hatakati.

Dialo huna jipya tv yako inakosa mvuto kumhoji mtu zero brain kama huyu.

Hata kama ni njaa "not to that extent"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom