Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,858
Kufuatia taarifa kuwa TAKUKURU itamuhoji Paul Christian kuhusiana na swala la vyeti feki,nawashauri TLS kama mmekamilisha kukusanya ushahidi, muwahi mahakamani mapema ili nyinyi ndio muwa walalamikaji badala ya Jamuhuri yaani iwe kesi ya private prosecution.
Kesi zinazoendeshwa na Jamuhuri ziko chini ya DPP na mamlaka ya DPP yanajulikana unless hata hizi kesi za private prosecution DPP ana mamlaka nazo.Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila ninapata hisia fulani.
Naishia hapo.