Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Ukistajaabu ya Mkolomije utayaona ya Mkolomije mwingine.

18664542_214225205761523_8996339162388683851_n.jpg

Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
 
Mkuu Salary Slip na wakuu wengine humu imekuwaje huu uzi kufungwa? Kulikoni!?

Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

CC: Pascal Mayalla

Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
 
bashite ujue hamnazo kweliii..ile ndonga kubwa ila empty kabisaaaa...angejifungiaga tu ofisini kwake achane na ishu za interview zitammaliza
 
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Wewe huoni majaji wanavyoulaza?Mahakama haina meno maana Mkulu ameamua kufa na Bashite.Nadhani dawa iliotengenezwa lazima Mkulu amkumbatie Bashite kwa gharama yeyote sio bure.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom