jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,350
Mmmmh
Mmekiri unafiki!Kwa faida ya nani?
Kuna mhimili ulioenda chini zaidi ndo mnadili nao hapa, tamko lilishatolewa, huo mhimili hauchaguliwi wa kuteua, endeleeni kupoteza muda.
Bashite kasema hataki maswali ya kipuuzi.Jamaa nilijua atatumia Fursa ya leo vizuri ila wapi!
Ukiwaangalia vizuri hata wale waandishi walk disappointed sana!
Walichotegemea Na reaction wanayoiona tofauti
Usimfuatishe sana Lissu,mara nyingine ni promo tuMh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.
Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Unajipendekeza,chadema hatutaki mamlukiAta mimi nikiwa kama mwanachama wa chadema nataka kufahamu elimu ya mwenyekiti wangu Aikaeli. Kama ana elimu ya Sekondari au Elimu ya hapanapale.
Na kwakua ameshindwa kuweka elimuyake hadharani nataka niende mahakamani.
Hii ndio inayotakiwaDawa ya Bashite ni wananchi kuandamana wakatae kuongozwa na mtu alifoji vyeti.
Mpuuzi huyoComment on what he has said Brother and not bla bla!
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.
Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.
Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Duh! Angejua bora angekaa kimya tu; jamaa katia aibu. Waliomshauri kwa hakika wamemmaliza.
So?Nilisema watz wataangalia tena kwa wingi sana!Proved