Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Mahakama zipi hizo???wakat8 yeye yupo kwenye muhimili unaotoa fedha kuendesha mihimili mingine
 
Usimfuatishe sana Lissu,mara nyingine ni promo tu
Lissu aliahidi kwenda mahakamani kupinga uchaguzi wa EALA hakwenda
Lissu aliahidi kwenda mahakamani kupinga uchaguzi wa meya kinondoni hakwenda
Lissu ni mtu anaeongozwa na mihemko,akitulia anajikuta alilosema haliwezekani.
Mnazunguka mbuyu na kujipa stress,mwenye matokeo na vyeti ni NECTA,Hao ndio wa kupelekwa mahakamani kama kweli mnataka kujua uhalisia wa vyeti[/QUOTE]
Mkuu msaada, sasa NECTA wapelekwe mahakamani kwa kosa gani? Kwani wao ndio wametakatisha cheti cha mshikaji?
 
Kumbe ulikuwa unajua uvamizi clouds ulikuwa wa kuigiza kumchafua Makonda. Mbona hukuwahi kufukuza.

Hakuna mtu, wa kumuombea mwenzake kifo, na akafa.ayomaombi hayatoki kwa mungu.mungu hakutuumbia kifo, kifo kilitokea baada ya adam, na eva. Kula tunda walilozuiwa na mungu wasile, wao wakalila.ndo, ukawa mwanzo, wa kifo.
Hujui maana ya kifo kwa habari ya adam na eva. Hukumu ya kifo inayozungumziwa kwao sio hiki cha mwili.
Yaani yote aliyoyasema Bashite Star TV ndio tuyajuayo. Mimi nilifikiri anakuja na jambo jipya. Nothing different we have gained from his public address. Aibu kwa Sahara Media. Ni kutupotezea muda tu. Nilifikiri sasa analeta utetezi au vielelezo vya kwamba ana vyeti. Nilitegemea vyeti viwekwe mezani ila bado analalamika tu na kisingizio kimekuwa ni vita ya madawa ya kulevya na kusifia eti Star TV ina waandishi wenye weledi na siyo vituo vingine vyenye makanjanja.
 
Ila waandishi wameuliza maswali critical kwa kweli, kwa hilo nawapongeza, sema jamaa kila akiulizwa maswali ya msingi anaishia kucheka na ku-hit around the bush.
 
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Napendekeza Tundu Lissu ndiye awe wakili atakayemburuza kwa maswali .
 
Bila shaka wala wasi wasi wowote Makonda hana cheti cha kidato cha nne nmemskkza kwa makini sn.
 
Ata mimi nikiwa kama mwanachama wa chadema nataka kufahamu elimu ya mwenyekiti wangu Aikaeli. Kama ana elimu ya Sekondari au Elimu ya hapanapale.

Na kwakua ameshindwa kuweka elimuyake hadharani nataka niende mahakamani.
Fanya haraka
 
Hii ndio inayotakiwa
Ahahaha mtaandamana humu mitandaoni tu karibu kuingia hata kesho barabarani uvunjwe mguu,kama UKUTA ulifeli you ndo hata hamtajaribu kutoka vyumbani kwa waume zenu nyie nyumbu
 
Kuna tofauti ya kuangaliwa na kuungwa mkono
  • Mlikuwa mnaapa humu hamtamuangalia wala kumfuatilia hujajua hayo ni maneno tu ya kinyumbu wanasema wasichotenda kuanzia Lowasa ni fisadi hapaswi kusafishwa ikaja UKUTA mkaja sijui na katafunua na hakuna hata kimoja mlichofanikisha
 
  • Mlikuwa mnaapa humu hamtamuangalia wala kumfuatilia hujajua hayo ni maneno tu ya kinyumbu wanasema wasichotenda kuanzia Lowasa ni fisadi hapaswi kusafishwa ikaja UKUTA mkaja sijui na katafunua na hakuna hata kimoja mlichofanikisha
Mwinini?
 
  • Mlikuwa mnaapa humu hamtamuangalia wala kumfuatilia hujajua hayo ni maneno tu ya kinyumbu wanasema wasichotenda kuanzia Lowasa ni fisadi hapaswi kusafishwa ikaja UKUTA mkaja sijui na katafunua na hakuna hata kimoja mlichofanikisha
Wooow kwani si unga umepanda bri kote si maisha yamepanda kote, furahia buku 3 unazopewa lakini siku mama yako akikosa dawa kule kijijini, ukumbuke tu ulichangia hilo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kwel diallo umejivunjia heshima kumpa airtime uyu mtu hamna cha maaana anachoongea pumba tupu
Ili kumwelewa mtu alichoongea inabidi uwe na uelewa wa kutosha.lkn km unapumba tupu kichwani huwezi kumwelewa.km ambavyo wewe hujamwelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom