Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Eti alipitia dirishani kuwakwepa tume NI KUTUMIA HEKIAMA (HEKIMA YA KIBASHITE) kwa sababu tume ile haikuwa halali kuchunguza suala la uvamizi

Na kwamba angewaona pale angewatia ndani tu kama wazururaji na hivyo alivyoruka ukuta ilimsaidia asiwaoneone.

Huyu jamaa, bila shaka kuna nati kadhaa hazijakaa sawa.
Hahaha.. Unapomchagua mtu kama huyu awe mkuu wa mkoa ni lazima na wewe nati zitakuwa zimefyatuka kichwani si bure... I can't imagine mkulu naye alikuwa anaangalia star TV na kusema duh jembe langu linatema cheche! Lol!
 
  • Mlikuwa mnaapa humu hamtamuangalia wala kumfuatilia hujajua hayo ni maneno tu ya kinyumbu wanasema wasichotenda kuanzia Lowasa ni fisadi hapaswi kusafishwa ikaja UKUTA mkaja sijui na katafunua na hakuna hata kimoja mlichofanikisha
Mwisenge you are right only that hurijali
 
Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.

Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.
Hiyo TLS yenyewe iliojaa machadema hawana Locus stand.
 
Jamaa nilijua atatumia Fursa ya leo vizuri ila wapi!
Ukiwaangalia vizuri hata wale waandishi walk disappointed sana!
Walichotegemea Na reaction wanayoiona tofauti
Kwa hiyo kumbe mnapenda habari zake sema mnabaniwa na akina Balile! Ha ha ha ha haaaaa!
 
Ili kumwelewa mtu alichoongea inabidi uwe na uelewa wa kutosha.lkn km unapumba tupu kichwani huwezi kumwelewa.km ambavyo wewe hujamwelewa.
JE UNAWEZA KUMFUNGULIA MTU KESI MAHAKAMANUKI KUWA UNAHISI NI MWIVI? KAMA NDIO BASI MJANJA YOYOTE ANAWEZA AKAMFUNGULIA.NAONA TATIZO WAKATI WA KUFUNGUA KWANI HAKUNA HATA USHAHIDII WA KIMAZINGARA.
 
Mimi sioni sababu ya kuilaumu Star Tv, walichofanya kilikua kumpa nafasi Makonda na pengine nafasi ya mwisho, Makonda ndio alipaswa aitumie ipasavyo kwani wale waandishi walimuuliza maswali yote na kumbana kisawa sawa ila aliruka na kuna wakati alionesha kupanic na kukerwa na maswali yale.....

Kwa hiyo Makonda ameichezea hii nafasi mwenyewe, wana dar es salaam tulitaka kumpa nafasi nyingine lakini amejidhihirisha wazi kua lisemwalo ni kweli, hivyo aendelee tu kutumikia kifungo chake mpaka hapo atakapojirudi na kueleza ukweli, hakika ukweli humuweka mtu huru
 
Hata mimi nmeona kbsaa kuwa jama vyeti hana na kuanzia leo stojadr jambo lolote kuhusu huyu jamaa haiwezekani akwepe mchana kweupe masuali mazito ya kujikosha au kujisafisha aise
 
kumbe Baadhi ya wa TZ ni wanafiki si wengine humu mulisema kuwa hamtaangalia hiyo TV kilichowawasha kuangalia ni nini
Ndugu hii nchi yakinafiki acha kabisa, wametizama tv na kuomba update waliokua mbali na tv hahaha dunia haishi maajabu.
 
Hata mimi nmeona kbsaa kuwa jama vyeti hana na kuanzia leo stojadr jambo lolote kuhusu huyu jamaa haiwezekani akwepe mchana kweupe masuali mazito ya kujikosha au kujisafisha aise
Amesema atatoa vyeti siku kengeza Gastura naye akitoa vya kwake
 
Nilitarajia leo anakuja na vyeti. Dah kwel jamaa alipata zero ila mfumo umembeba. Eti sio mtumishi wa umma.
Kwani vyombo vya habari, TLS, Askofu Gwajima na etc ndiyo wenye mamlaka ya kuhakiki vyeti vya watu? Sasa awapelekee vyeti vyake wao kama nani? Umeambiwa cheo cha RC kina rank sawa na Minister. Haingii akilini waziri au mkuu wa mkoa anachukua vyeti vyake anaenda navyo kuhakikiwa na chombo cha habari kinachomilikiwa na Kubenea, Mbowe na etc!! Wapi duniani ilikwisha tokea kitu cha namna hii.

Tuhuma nzito ya Makonda ilikuwa ni ya uvamizi wa kituo Clouds TV. Leo ameielezea vizuri sana. Ni dhahiri kabisa tuhuma hii ni ya kughushi kwa maslahi wanayoyajua wenyewe. Na kuna uwezekano wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kwa kosa la dedefamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa.

Hilo la kubadili jina toka D.A. Bashite na kuwa P.C. Makonda kwa kusudio la kutumia vyeti vya P.C. kujiendeleza kielimu nalo kalikanusha katu katu. Kwamba majina anayotumia ndiyo aliyopewa na wazazi wake. Hakukuwa na haja kuwaonyesha birth certificate kwani wao si mamlaka ya uhakiki. Ni dhahili kuwa hadithi hii ni ya kutungwa pia. Na watungaji ni baadhi ya waliotajwa kwenye orodha ya madawa. Si ajabu watu hawa wakafikishwa mahakamani muda si murefu kwa kosa la defamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa. Tumesikia PCCB wanamalizia upelelezi wa kesi hii huko Tabora ambako kuna huyo name mate wa Makonda.

Mkondo wa sheria lazima utachukuwa mkondo wake dhidi ya watunzi hao wa hadithi za uongo ili iwe fundisho pia kwa wengine wenye tabia kama hizi.
 
Yaani hapa mkulu anajizidi kujishusha kwa huyu jamaa nalile kunwa jinga lake linalomshauri upupu
 
Hili ndio la muhimu huyu zero apelekwe mahakamani tu yaani kila kitu anafanya ki zero zero

Tatizo waliotangaza kwenda Mahakamani wanaonekana Wanyonge kuliko anaetakiwa kupelekwa huko!
 
Kwani vyombo vya habari, TLS A, Askofu Gwajima na etc ndiyo wenye mamlaka ya kuhakiki vyeti vya watu? Sasa awapelekee vyeti vyake wao kama nani. Umeambiwa cheo cha RC kina rank sawa na Minister. Haingii akilini waziri au mkuu wa mkoa anachukua vyeti vyake anaenda navyo kuhakikiwa na chombo cha habari kinachomilikiwa na Kubenea, Mbowe na etc!! Wapi duniani ilikwisha tokea kitu cha namna hii.

Tuhuma nzito ya Makonda ilikuwa ni ya uvamizi wa kituo Clouds TV. Leo ameielezea vizuri sana. Ni djahiri ni tuhuma ya kughushi kwa maslahi wanayoyajua wengine. Na kuna uwezekano wahusika kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kosa la dedefamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa.

Hilo la kubadili jina toka D.A. Bashite na kuwa P.C. Makonda kwa kusudio la kutumia vyeti vya P.C. kujiendeleza kielimu nalo kalikanusha katu katu. Kwamba majina anayotumia ndiyo aliyopewa na wazazi wake. Hakukuwa na haja kuwaonyesha birth certificate kwani wao si mamlaka ya uhakiki. Ni dhahili kuwa hadithi hii ni ya kutungwa pia. Na watungaji ni baadhi ya waliotajwa kwenye orodha ya madawa. Si ajabu watu hawa wakafikishwa mahakamani muda si murefu kwa kosa la defamation na kudhalilisha ofisi ya mkuu wa mkoa. Tumesikia PCCB wanamalizia upelelezi wa kesi hii huko Tabora ambako kuna huyo name mate wa Makonda.

Mkondo wa sheria lazima utachukuwa mkondo wake dhidi ya watunzi hao wa hadithi za uongo.

Madhani ungenyamaza kimya ingekuwa bora kwaniandiahi huo 100 wewe ni yule anaejiuta mbebezi
 
'Eti Mtu Kama Balile ndie anaongoza Uchunguzi wa uvamizi?-Paul Makonda Albert Bashite
 
Ha ha ha ha haaaaaa

Yaani bado nawacheka, kila siku mnabishaa ooh hivi mara vile nyie ndio fans wake namba moja

Ha ha haaaaaa, mmefurahisha kila mtu..eti hatumtaki kunsikia eti harutamsoma eti hivi... ha ha haaaaaa hata wengine kulinda ID zao wanadanganya hawajaangalia ila maneno wanayoandika yanawasuta...

Viongozi wote leo walikuwa mamcho na msikio kwa RC, na wa upinzani wadakyzi wa mambo kusema wanenda mahakamani ndio walikuwa namba moja

Nimefurahi kujua mliungana na wananchi wengine wengi kumwanagalia na kunsikiliza Mh. Makonda

Makonda oyeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom