Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

Post yako inafanana kabisa na wewe maana naona hata hujailewa mada yenyewe au unafikiri hapa tunaongelea binti wa balozi uliyempa mimba?

We dada kwa hiyo ulikuwa unataka upewe mimba wewe,wivu wa nini dada pole kama kakukataa
 
What kind of reasoning
is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo
wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua
ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi
termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona
wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa
kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?

Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka
kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.

View attachment 87183

hawajitambui hao ben, tugamba tunaandaliwa huto ila hatutakamilika coz 2015 wana2pisha magogoni! hawa vijana watakuja kulia njaa nawahurumia.
 
Mkoa maalum wa vyuo vikuu, kanda ya Dar es salaam, umefanya kikao cha kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuimarisha Mkoa huo na Chama kwa ujumla.

Pamoja na Ajenda hiyo, pia kikao hicho:-

· Kimelaani vikali matukio ya kuvamiwa, kudhuru mwili na kuuawa kwa baadhi ya viongozi wa Dini na wanahabari. Mkoa umesikitishwa sana na tukio la kushambuliwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006, Ndugu Absalom Kibanda.
· Lakini pia, kimevitaka vyombo vya Dola kuwakamata, kuwashikilia na kuwachukulia hatua za kisheria wote waliothibitika kuhusika na matukio ya namna hiyo bila kuangalia Itikadi za Kivyama, Cheo ama Kundi. Na pia kuyataka makundi ya kijamii, wanaharakati na wanasiasa kuacha kuingilia/kuvuruga kwa namna yeyote taratibu za kisheria na kiusalama.
· Pia, kuwataka wanausalama kumhoji kwa kina Dr Slaa juu ya tuhuma zake dhidi ya Kurugenzi ya Usalama wa Taifa (TISS) na kumtaka kuthibitisha madai yake kuwa baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo muhimu na nyeti wanaripoti kwake kinyume cha utaratibu, kanuni na maadili ya taasisi hiyo.

Kwani tuhuma hizo ambazo Dr Slaa amekuwa akizisema mara kwa mara tangu kipindi cha Kampeni za Urais Mwaka 2010 zimeanza kuaminika, lakini pia zimepelekea wananchi sasa kukosa imani na Taasisi hiyo na zaidi kupoteza imani juu ya uwezo wa serikali kuwalinda na kuwahakikishia Usalama wa maisha yao, ambapo ni jukumu la kikatiba la serikali.

Imetolewana:-

Daniel Zenda.

Katibu wa Wilaya (Dar es salaam.)

Kwani hao vijana wa choo kikuu ni nani hadi watoe maagizo? Nchi hii bwana kila mtu anatoa tamko tu hata wapumbavu fulani nao wanaongea wanavyoona wao
Eleweni Dr Slaa sio wa leval yenu anaangaliwa na nchi yote na watanzania wanaopenda mageuzi hivyo akidhurika au mkimuua kama mnavyowaua wengine hapatakalika
Kwani hao vijana ni nani? Ni sawa wakina Juliana Shenzi na malaya mwenzake Mwampamba wasaga lami tu waganga njaa hawana lolote wala hawamtishi yeyote na hayo matamko yao
 
Babu wee si urudi kanisani uwe mzee wa kanisa tu au uwe mchungaji mstaafu kama mwenzio wa loliondo
Ungekua unajua siri bas si ungeambia mapema kuwa mipango yenu imevuja kupitia lwakare video
Umeshtukia tu ngoma imepasuka

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ebu acha hoja zako za kipumbavu kwani we unajua kanisa ni nn?
 
Tatizo la TISS nao ni sehemu ya CCM, maslahi ya nchi wananzani ni CCM kuwa madarakani for life
 
Unaelewa maana ya gross misconduct jamaa yangu?

Hao vijana weanaoripoti kwa slaa tunawajua na tumeanza kuwafuatilia

Na bado imekula kwenu.

tunakokwenda hata mawe yatatupa taarifa,tunawajua vizuri.tatizo hamtumii akili kuwaza mbali,hamjui hata mkimdhibiti mwanadamu,wapo malaika.

Pamoja na kuwafundisha kuruka na ungo mpaka walinzi wote,Nasema tena Kadiri Mungu Wa Israel aishivyo tutawatungua tu.

Ila maiti inaelekea makaburini.Apumzike kwa Amani.
Amen,

Hatimae Haki imeshinda uovu.
 
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?

Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.

View attachment 87183

kama kunamtanzania leo hii atafuata tamko la zenda mkuu ,itakuwa siyo timamu. waliosoma naye UDOM watamuelezea zaidi ni mtu wa aina gani.
 
Kama tamko la hovyo hovyo kama hili limetolewa na wasomi wenye degrees wanao aminiwa mno kwa usomi wao ndani ya chama BASI TANZANIA IPO HOI ZAIDI YA TUNAVYOICHUKULIA!

Sijaona kabisa lengo la tamko hili ni nini hasa?
 
Na Mwigulu Nchemba ahojiwe na kukamatwa maana yeye alisema ana mkanda unao onesha jinsi chadema wanavyo panga mauaji ya wananchi hadi leo yupo mtaani labda mtwambie huo mkanda ndio huu wa lwakatare aliokuwa anasema na yeye ndio ameuweka youtube!

Hakuna siri kuwa ccm na TISS ni wahusika wakuu wala hilo halina siri na tunajua Dr slaa kawshika pabaya hile mbaya na huo ndio ukweli.

Mgekuwa wasomi wa kweli na mnao jua kuhoji msingemtenganisha Mwigulu Nchemba na hili swala.

Ccm+mwigulunchemba+TISS=lwakatare clip!

Ukweli umeanza kuwaingia na mmeanza kuropoka!

Kwanini hamjiulizi hadi sasa lwakatare hajapelekwa mahakamani na wakati masaa24 yalishapita? Kwa nini tusiseme hapa kuna maagizo maalum kutoka juu?
Hili picha mmelifanyia production wenyewe alaf mnashangaa matokeo yake!
Cc Nape Nnauye
Mwigulu Nchemba

Kweli kabisa mkuu....kwenye hili sakata Mwigulu Nchemba ni mtu muhimu sana, anapaswa kuhojiwa (hata na vyombo vya habari) ili aueleze umma wa Watanzania ule mkanda aliodai kuwa anao ndio huu uliowekwa Youtube ama kuna mwingine? Na kama ndio huu atuambie aliyeuweka huko ni nani na ana uhusiano gani naye? Kama sio yeye huyo aliyeweka ameupataje? Na je yeye aliupata wapi na kwa nani?
Na kwa nini hakuupeleka kwenye vyombo vya usalama pindi alipoupata na hata wakati alipotakiwa kufanya hivyo!
MWIGULU NCHEMBA NAYE ANAPASWA KUUNGANISHWA KWENYE HII KADHIA...NI MTU MUHIMU SANA!
 
Nani tena kaacha mageti wazi? Naona mataahira wanarandaranda mitaani bila uangalizi...
 
Kama tamko la hovyo hovyo kama hili limetolewa na wasomi wenye degrees wanao aminiwa mno kwa usomi wao ndani ya chama BASI TANZANIA IPO HOI ZAIDI YA TUNAVYOICHUKULIA!

Sijaona kabisa lengo la tamko hili ni nini hasa?

Hapana unakosea sio Tanzania ila MACCM yapo Hoi.
 
Kuna mtu kama sikosei ni Warioba aliwahi kusema wasomi wa tanzania hawajafanya la maana kunusuru uchumi wa nchi. Hii ni sahihi kabisa ukilinganisha hili tamko la hawa vijana wa ccm vyuo vikuu na hali halisi ya nchi utagundua,wanajiita wasomi lakini wanafanya propaganda zilizoshindwa.
 
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?

Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.

View attachment 87183
Halafu hawa ndo wanajiita wasomi badala ya kufikiri vitu critically wanakurupuka mradi wanalinda chama na sijui kama hata wameshafanya ka risachi hata kadogo juu ya ukweli na uongo wa kauli za dr slaa juu ya hili la tiss. This is the type of intellectuals we have? na kama mwandishi ndiyo huyo hata sura yake inaonesha medula oblangata yake haiko correct,vichwa vya namna hiyo mara nyingi havishughulishi ubongo.
 
Kauli za kuwa POLISI ni ya CCM hautakuwa wa kwanza kuitoa mkuu na hizi kauli zimekuwa zikitolewa sana pale ambapo CDM wamekuwa wakiguswa so watanzania wameshazizoea na kuziona kama janja ya CDM ya kutaka kujinyenyekeza kwao kuwa wao ni kama watoto yatima wasio na mtetezi jambo ambalo siyo kweli sana sana kutaka tu kuvidhalilisha vyombo vya ulinzi.
ebu niambie kwa maoni yako hivi kwelihuoni kwamba Nchemba ikiitoa hiyo CD kwa polisi ingesaidia sana katika uchunguzi?
 
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?

Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.

View attachment 87183

Hivi tanzania tunaelekea wapi kama mzee wetu kakamatwa ushahid mpaka sasa zero then kjan wanaanza kumtsha dr.naomba wakasome kwanza bcs wasije wakutufanye vdonda vya moyon vkalipuka.
 


Kuna mtazamo mwingine wa hili sakata la video ya Lwakatare, mtazamo ambao nasdhindwa kuunganisha dots.. Naomba msaada

1. Kuna thread moja iliwekwa jana ikionyesha akina Michuzi wakipongezana kutokana na Usalama wa Taifa (TISS) ‘kuleta kitu hiki’ na kwamba ni ‘kete kubwa kwetu’ – bila shaka kete kubwa dhidi ya Chadema. Katika thread hiyo kulizuka tatizo la kutafsiri (yaani kulikuwapo ambiguity) kuhusu maneno (intepretation) ya pongezi hizo kwa TISS ni kwa ajili ya nini hasa – yaani kwa jitihada halali za TISS kuchunguza na hatimaye kupatikana hiyo video; au pongezi zililenga kwa wao TISS ‘kuipika’ hiyo videoa kwa ajili ya kubambikizia CDM?
2. Sasa hata tuchukue hiyo tafsiri ya kwanza – kwamba TISS ndiyo walifanikisha kuchunguza na kupatikana hiyo video ambayo bila shaka itakuwa ni ‘ushahidi’ mkubwa wa kesi dhidi ya Lwakatare na pengine CDM pia, jee hii ndiyo njia sahihi kwa TISS, au tuseme ndiyo utaratibu wao wa kuuweka kwanza ushahidi huu muhimu mtandaoni kabla ya sualakupelekwa mahakamani? Nasema hivi iwapo video hiyo ni kutokana na jitihada zao za halali wenyewe TISS yaani wao ndiyo exclusive owner wa hiyo video kama jinsi akina Michuzi walitaka sis tuamini. Inakuwaje waitumbukize kwanza mtandaoni? Ndivy utaratibu siku hizi?
3. Kwa nini TISS wasingekaa nayo kimya kimya tu halafu kuishtukizia mahakamani baada ya kumkamata Lwakatare? Ushahidi mkuu wa kesi unawekwa bayana kwa jamii kwa njia ya mtandaoni kabla ya kesi kuanza?
4. Lakini pengine TISS hawakuwa mmiliki pekee (exclusive owner) ya video hiyo yaani nao waliipata kutoka kwingine (labda from Mchemba?) lakini hata hivyo haikuwa sahihi kitaaluma za mambo ya upelelezi na mashitaka kuiweka kwanza mitandaoni – kwa lengo gani?
5. Na ndiyo sasa nakuja na tatizo langu kubwa kuhusu sakata zima hili: Yeyote yule (TISS au Mchemba) waliiweka video kwanza mtandaoni ili kupima joto ku-test waters) kuhusu uhalisia wake) na wameona kwamba video hiyo imejikuta inatobolewa matundu mengi tu (punched holes) hadi uhalisia wake kuonekana wa mashaka. Kweli TISS hufanya kazi kwa mtindo huu?
6. Mie nadhani ni Mchemba (aliyewahi kutangaza huko nyuma kwamba anayo video ‘inayoonyesha viongozi wa Chadema wakipanga mauaji’ lakini baadaye akajikuta video ina mapugufu mengi kuhusu alichokitangaza na ndiyo maana badala ya kuipeleka polisi (kama jinsi akina Dr Slaa walivyomtaka kuipeleka), au kuwapa TISS wai-deal nayo -- aliona ni vyema aiweke mtandaoni. Na sababu kubwa kufanya hivi ni kwamba iwapo itaonekana ni video ni bomu (yaani ya kughushi), basi isijulikane kama ni yeye ndiyo aliiweka mtandaoni na hivyo kukwepa lawama. Na ndiyo maana kumetokea ugumu wa kumpeleka Lwakatare mahakamani kwa haraka.
7. Video hiyo haimuunganishi moja kwa moja Lwakatare kuhusu kupigwa kwa Kibanda hivyo bila shaka waliokuwa nayo waliishikilia kwanza (was put on hold) hadi “tukio la Kibanda” litokee ndiyo ikawekwa mtandaoni. Hii bila shaka ilitakiwa jamii iwekwe kwanza kisaikolojia kuhusu yatakayofuata.”
8. Na yaliyofuata sasa tumeyaona – watu walipangwa ku-act nafasi zao kama ilivyotakiwa (according to the laid down script). Hawa wengine ni pamoja na Manyerere -- na hata huyo Ludovick na tukio lake lile la kutekwa ili kujitafutia alibi. Nahisi Ludovick atakuwa shahidi tu wa kujaribu kuakandamiza viongozi wengine wa CDM – ingawa hawatajwi katika video.
Mimi naona mpango mzima uliosukwa umekwenda kombo mahali fulani. Bado tISS wanakosa uweledi wa kufanya operations zao – kuanzia tukio la kuuwawa kwa Gen Amrani Kombe, Chacha Wangwe, tukio la tindikali la Kubenea, kutekwa kwa Ulimboka na pengine hili la kupigwa kwa Kibanda.

Naomba tujadili hili kwa kina.


 
Back
Top Bottom