Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

ccm jisafisheni kwanza ndani ya chama ndio mje nje. Makundi myaliyomo ndani ya chama ni hatari sana kwa uvujishaji wa siri ndani ya chama na hata kwenye dola
 
Bila shaka vijana vilaza waliituhumu idara ya usalama wa taifa kuwajibika kwa Mwigulu Mchemba anayezunguka DVD ya mipango ya mauaji ya viongozi wa CDM bila kuhojiwa,Shehe Ilunga aliyewatuma kwa mafanikio makubwa waislamu wawaue Mapadri na watawa ambao mpaka sasa wawili wameshakufa na baadhi kujeruhiwa,Polisi kuwajibika kwa Mama Kikwete kwa barua iliyoandikwa kwenda mtwara ikitaka CDM wadhibitiwe ili mama afanye kampeni, Pia wamehoji Nafasi ya Mama Salma kupewa ripoti ya maendeleo ya Mikoa kama Rais huku akipigiwa saluti na maafisa Jeshi eti?Vijana wapumbavu bila shaka mmehoji Kauli ya Ridhiwani kuhusu kutekwa Kibanda kama ameshakamatwa na kuhojiwa popote..Na vipi Ighondu aliyetajwa na kwa jina na Ulimboka? Hamjasahau bila shaka wale Polisi saba waliokuwa wakimuua mwangosi pale Nyololo kama wamekamatwa au kuhojiwa akiwemo kamuhanda eeh...Vipi maalimu seif na mauaji ya mapadri kule Zenji...Pumbaavu kabisa nyie

mkuu uko sahahihi kabisa hawa jamaa ni wajinga sana wanashindwa kujadili mambo ya maana wanakuja na upumbavu wao na upuuzi kama huu
 
Nchi zilizoendelea Mgombea URAIS anapewa UTANGULIZI na BAADHI za SIRI za SERIKALI; ILI aelewa NCHI inaendeshwaje haswa kuelewa inadhibitije Wapinzani wa NJE ya NCHI na KUIMARISHA USALAMA NCHINI...

Sasa kama UPINZANI UKISHINDA utajua wapi pa KUANZIA kuhusu USALAMA wa NCHI; CCM sio chama PEKEE cha kuitawala nchi ya
TANGANYIKA...
nngu007 Mbona katika mabandiko yako mengi unapenda kutumia neno TANGANYIKA wakati unaongelea maswala ya muungano badala ya TANZANIA.
 
Last edited by a moderator:
nngu007 Mbona katika mabandiko yako mengi unapenda kutumia neno TANGANYIKA wakati unaongelea maswala ya muungano badala ya TANZANIA.

Ni kwasababu hakuna anyesema Tanzania VISIWANI ila Zanzibar; kwahiyo sio vibaya kusema Tanganyika... ni UZALENDO kama Wapendao kuita Zanzibar kuliko Tanzania VISIWANI...
 
Ni kwasababu hakuna anyesema Tanzania VISIWANI ila Zanzibar; kwahiyo sio vibaya kusema Tanganyika... ni UZALENDO kama Wapendao kuita Zanzibar kuliko Tanzania VISIWANI...
Nimekuelewa kwa jinsi ulivyoamua kuishughurikia aggressively kero ya jina katika muungano. Hata hivyo unataka nani aseme kama wewe pia hausemi. Huoni kama wewe pia unatengezeza wingi au umoja kama ukisema au kutokusema.
 
Vijana wa ccm wana kwepa hoja ya msingi, kwa nini ndani ya utawala wa kikwete nchi yetu inakuwa kama rwanda? Uvamizi hauishi, mara watu kujeruhiwa au kuuwawa. Kazi za vyombo vya usalama ni kulinda viongozi mafisadi na si kulinda usalama wa raia, shame on ccm anda their supporters.
 
kweli hawa ccm wameshndwa hadi kausalama ka raia kweli mtu unaish ndani ya kisiwa cgga amani na matukio ya utekaji nyara kama somaria?ni tanzania gani wanayoisifia ni kisiwa cha amani kweli wametufikisha pabaya sana hawa wadudu. Chombo gani cha usalama wa taifa kinakubali kutumika kirejareja na ccm tumeamua tusseme lolote jinsi tutakavyoona kama kuteka nyie tekeni
 
Bila shaka vijana vilaza waliituhumu idara ya usalama wa taifa kuwajibika kwa Mwigulu Mchemba anayezunguka DVD ya mipango ya mauaji ya viongozi wa CDM bila kuhojiwa,Shehe Ilunga aliyewatuma kwa mafanikio makubwa waislamu wawaue Mapadri na watawa ambao mpaka sasa wawili wameshakufa na baadhi kujeruhiwa,Polisi kuwajibika kwa Mama Kikwete kwa barua iliyoandikwa kwenda mtwara ikitaka CDM wadhibitiwe ili mama afanye kampeni, Pia wamehoji Nafasi ya Mama Salma kupewa ripoti ya maendeleo ya Mikoa kama Rais huku akipigiwa saluti na maafisa Jeshi eti?Vijana wapumbavu bila shaka mmehoji Kauli ya Ridhiwani kuhusu kutekwa Kibanda kama ameshakamatwa na kuhojiwa popote..Na vipi Ighondu aliyetajwa na kwa jina na Ulimboka? Hamjasahau bila shaka wale Polisi saba waliokuwa wakimuua mwangosi pale Nyololo kama wamekamatwa au kuhojiwa akiwemo kamuhanda eeh...Vipi maalimu seif na mauaji ya mapadri kule Zenji...Pumbaavu kabisa nyie

Pia hawa vijana vilaza bila shaka wamemtaka fast jet awachukulie hatua wale wote waliohusika na malipo ya radar hadi chenji ikarudishwa. Bila shaka wamelitaka jeshi la polisi kuwakamata wahuni waliowashambulia wabunge wa cdm salvatory machemli na kiwia huko mwanza mwaka jana. Bila shaka kwenye ripoti ya hawa vijana vilaza wachumia tumbo watakuwa wameitaka serikali ya fast jet kuwachukulia hatua wale wote wanaosafirisha madawa ya kulevya china bila kujali ni mtoto wa mkubwa ama la.
 
Babu wee si urudi kanisani uwe mzee wa kanisa tu au uwe mchungaji mstaafu kama mwenzio wa loliondo
Ungekua unajua siri bas si ungeambia mapema kuwa mipango yenu imevuja kupitia lwakare video
Umeshtukia tu ngoma imepasuka

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyo slaa arudi tu ccm asijishauweshauwe.kadi yake bado ni valid asione aibu.yeye shida yake si mshahara tu.atalipwa x3 ya anavyolipwa na cdm.
 
Babu wee si urudi kanisani uwe mzee wa kanisa tu au uwe mchungaji mstaafu kama mwenzio wa loliondo
Ungekua unajua siri bas si ungeambia mapema kuwa mipango yenu imevuja kupitia lwakare video
Umeshtukia tu ngoma imepasuka

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Madhara ya kuruka stage ya utotoni ndo haya!upadre unaingiaje hapo. akiri ndogo imekuwa kinara zaidi ya akiri kubwa!
 
Ni kwasababu hakuna anyesema Tanzania VISIWANI ila Zanzibar; kwahiyo sio vibaya kusema Tanganyika... ni UZALENDO kama Wapendao kuita Zanzibar kuliko Tanzania VISIWANI...

Safi sana chukua like ya kichina mkuu
 
QUOTE=ndinasyo;5929865][/CENTER]
Watashindana lakini hawatashinda.[/QUOTE]

Naona Magamba wameichoka amani. Sasa nape hapa naona unataka ku-test watanzania wamechoka kiasi gani! Jaribuni kumkamata Dr. Slaa ili mjue uwezo vya vyombo vyenu vya usalama.
 
Back
Top Bottom