Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

mwenye mbwa yuko wapi?naona mbwa wake wanabweka hovyo!

Hajui kama anamiliki m'mbwa kama ambavyo hajui nini kinazungumzwa
Na hawa waliotoa kauli wana mamlaka gani, hawaoni kwamba wanaidhalilisha hiyo taasisi? Na je? Hiyo taasisi haina mkurugenzi? Au na yeye hajui kama ni mkurugenzi wa hiyo taasisi?
 
Powerless mind are always the cause of havoc in any society. If you are agree to be used as trumpet, be sure that one has to blow you from your back, there is no way you can blow trumpet (You used magamba boys) from front. Its shame that you still have brain of low memory(much of Diskette size for those who remember them). When we were working on Vazi la Taifa, this guy denied to be a member because of reason known to him more than anyone else + his hat-rage from Magamba? as most of this LONGO LONGO (Newsss people) they tend to forget easily either by being given uDC, few Ukuu wa Mikoa, then they go back cheaply to Magambas hands. Now when they are fixed by the same magamba we tend to make noise to other people. For people who reasons they know who has done it even without scrutinizing the clip in you tube. Ni sawa na kumtega ndege kwa kintesi chake kikikauka kikiwa cheupe anafikiria mbegu anarudi kudonoa kumbe kategwa
 
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?

Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.

attachment.php

Ni utoto tu mkikua mtaacha. Mtu mwenye fikra zake nzuri hawezi eti kulalamika eti kuna watu wa usalama wanaripoti kwa Dr Slaa. Hao waliokosa iman na usalama wa taifa wako wangapi? wako wapi? Nafikiri tuna haja ya kuthink out of box pia..
 
Hawa watu wa CCM ni wachekeshaji na wasanii waliopitiliza!!!
Hili tamko linaonekana ni la majitu ambayo hayajaenda shule. Kukomalia swala la kumtesa Kibanda kuwa waliothibitika wakamatwe ni uzumbukuku,ushabiki wa kipuuzi na uzezeta wa kushindwa kuchanganua mambo!!!!

Hivi video ya kwenye Youtube ikionyesha Lwakatare anapanga njama za kuwaua wahariri wa vyombo vya habari inaweza kuwa ni ushahidi kweli wa kumtia mtu hatiani???Kweli???Are you serious guys???Surely you must be joking!!!

Hebu kwanza waulizeni hao Policcm na UWT kwanini walishindwa kutumia ushahidi wa Gazeti la Mwanahalisi lilipoandika na kuweka hadharani watu waliomteka Dr. Ullmboka???Iweje leo video ya maigizo kwenye mtandao ndiyo iwe ushahidi wa kumkamata Lwakatare???

Hi men, just try to think big! Hebu jaribuni kufikirisha Ubongo wenu badala ya kuokota takataka na kuanza kuzimeza na kumezesha wengine bila kupima madhara yake. Shame on you mitoto ya Magambas.
 
Kwanza hadi sasa Mkurugenzi wa usalama wa Taifa Rashid Othumani pamoja na waziri husika wa utawala bora(if there is any) alitakiwa awe amejiuzulu.Hii ni gross misconduct!
Sion sababu ya kujiuzulu Rashid Othuman/wala huyo waziri wa utawala bora,Wajiuzulu kisa Slaah kasema kuna watu wanareport kwake? Nani anauhakika kuwa kuna watu wa usalama wa Taifa wanareport kwake? Je kama ndio siasa zake za kila siku and no one anareport kwake?
 
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?

Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.

attachment.php

kwa kweli njaa mbaya...haafu huyo jamaa wa katikati ka vile sio rizki?
 
Back
Top Bottom