Post yako inafanana kabisa na wewe maana naona hata hujailewa mada yenyewe au unafikiri hapa tunaongelea binti wa balozi uliyempa mimba?
We dada kwa hiyo ulikuwa unataka upewe mimba wewe,wivu wa nini dada pole kama kakukataa
Post yako inafanana kabisa na wewe maana naona hata hujailewa mada yenyewe au unafikiri hapa tunaongelea binti wa balozi uliyempa mimba?
What kind of reasoning
is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo
wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua
ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi
termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona
wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa
kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?
Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka
kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.
View attachment 87183
Mkoa maalum wa vyuo vikuu, kanda ya Dar es salaam, umefanya kikao cha kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuimarisha Mkoa huo na Chama kwa ujumla.
Pamoja na Ajenda hiyo, pia kikao hicho:-
· Kimelaani vikali matukio ya kuvamiwa, kudhuru mwili na kuuawa kwa baadhi ya viongozi wa Dini na wanahabari. Mkoa umesikitishwa sana na tukio la kushambuliwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006, Ndugu Absalom Kibanda.
· Lakini pia, kimevitaka vyombo vya Dola kuwakamata, kuwashikilia na kuwachukulia hatua za kisheria wote waliothibitika kuhusika na matukio ya namna hiyo bila kuangalia Itikadi za Kivyama, Cheo ama Kundi. Na pia kuyataka makundi ya kijamii, wanaharakati na wanasiasa kuacha kuingilia/kuvuruga kwa namna yeyote taratibu za kisheria na kiusalama.
· Pia, kuwataka wanausalama kumhoji kwa kina Dr Slaa juu ya tuhuma zake dhidi ya Kurugenzi ya Usalama wa Taifa (TISS) na kumtaka kuthibitisha madai yake kuwa baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo muhimu na nyeti wanaripoti kwake kinyume cha utaratibu, kanuni na maadili ya taasisi hiyo.
Kwani tuhuma hizo ambazo Dr Slaa amekuwa akizisema mara kwa mara tangu kipindi cha Kampeni za Urais Mwaka 2010 zimeanza kuaminika, lakini pia zimepelekea wananchi sasa kukosa imani na Taasisi hiyo na zaidi kupoteza imani juu ya uwezo wa serikali kuwalinda na kuwahakikishia Usalama wa maisha yao, ambapo ni jukumu la kikatiba la serikali.
Imetolewana:-
Daniel Zenda.
Katibu wa Wilaya (Dar es salaam.)
Babu wee si urudi kanisani uwe mzee wa kanisa tu au uwe mchungaji mstaafu kama mwenzio wa loliondo
Ungekua unajua siri bas si ungeambia mapema kuwa mipango yenu imevuja kupitia lwakare video
Umeshtukia tu ngoma imepasuka
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Unaelewa maana ya gross misconduct jamaa yangu?
Hao vijana weanaoripoti kwa slaa tunawajua na tumeanza kuwafuatilia
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?
Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.
View attachment 87183
Na Mwigulu Nchemba ahojiwe na kukamatwa maana yeye alisema ana mkanda unao onesha jinsi chadema wanavyo panga mauaji ya wananchi hadi leo yupo mtaani labda mtwambie huo mkanda ndio huu wa lwakatare aliokuwa anasema na yeye ndio ameuweka youtube!
Hakuna siri kuwa ccm na TISS ni wahusika wakuu wala hilo halina siri na tunajua Dr slaa kawshika pabaya hile mbaya na huo ndio ukweli.
Mgekuwa wasomi wa kweli na mnao jua kuhoji msingemtenganisha Mwigulu Nchemba na hili swala.
Ccm+mwigulunchemba+TISS=lwakatare clip!
Ukweli umeanza kuwaingia na mmeanza kuropoka!
Kwanini hamjiulizi hadi sasa lwakatare hajapelekwa mahakamani na wakati masaa24 yalishapita? Kwa nini tusiseme hapa kuna maagizo maalum kutoka juu?
Hili picha mmelifanyia production wenyewe alaf mnashangaa matokeo yake!
Cc Nape Nnauye
Mwigulu Nchemba
Elimu mnayoipata bado haiwasaidii mana mnakalia kufanya majungu badala ya kuangalia Taifa linaenda wapi. Binafsi naona nyie ni wehu tu katamko kenu kalikoka up uuzi mwingi. Nyamba fu nyie kasomeni
Kama tamko la hovyo hovyo kama hili limetolewa na wasomi wenye degrees wanao aminiwa mno kwa usomi wao ndani ya chama BASI TANZANIA IPO HOI ZAIDI YA TUNAVYOICHUKULIA!
Sijaona kabisa lengo la tamko hili ni nini hasa?
Halafu hawa ndo wanajiita wasomi badala ya kufikiri vitu critically wanakurupuka mradi wanalinda chama na sijui kama hata wameshafanya ka risachi hata kadogo juu ya ukweli na uongo wa kauli za dr slaa juu ya hili la tiss. This is the type of intellectuals we have? na kama mwandishi ndiyo huyo hata sura yake inaonesha medula oblangata yake haiko correct,vichwa vya namna hiyo mara nyingi havishughulishi ubongo.What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?
Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.
View attachment 87183
Unfortunate, sikulielekeza kwako na swala la ku-fit au kuto-fit ni dhamira na matendo yako siyo nadharia.Umesahau kama ulikuwa umeuliza swali!au umeona umefiti kwenye maana ya gamba! mimi ni kamanda mzalendo.
ebu niambie kwa maoni yako hivi kwelihuoni kwamba Nchemba ikiitoa hiyo CD kwa polisi ingesaidia sana katika uchunguzi?Kauli za kuwa POLISI ni ya CCM hautakuwa wa kwanza kuitoa mkuu na hizi kauli zimekuwa zikitolewa sana pale ambapo CDM wamekuwa wakiguswa so watanzania wameshazizoea na kuziona kama janja ya CDM ya kutaka kujinyenyekeza kwao kuwa wao ni kama watoto yatima wasio na mtetezi jambo ambalo siyo kweli sana sana kutaka tu kuvidhalilisha vyombo vya ulinzi.
What kind of reasoning is this?Badala ya kurudisha intergrity katika taasisi hiyo wanashughulikia watu wanaopata taarifa kutoka huko?What if kama wangekua ni maadui wa nje? Hizi akili primitive kama hizi zinapata wapi termerity ya kuitisha press conference au press release? mbona wanakidhalilisha sana chama chao na serikali kwamba ukomo wao wa kufikiria ndiyo umeishia kwenye busara za aina hii?
Ndiyo kazi waliyokua wakifanya lumumba leo?Maana huyo wa pili kutoka kulia aliyevaa shati la kijani ndiye Muandishi wa hili tamko leo.
View attachment 87183