Sakata Kibanda: CCM Mkoa Maalum watoa tamko, wamuweka pabaya Dr. Slaa!

Hadi hapo wana mageuzi watakapotambua kuwa NGUVU YA CCM NA SERIKALI iko kwenye mahusiano yao na TISS, tusitegemee mabadiliko makubwa katika nyanja yeyote Tanzania.
1. Waandishi wa habari wamewategemea sana watu wa TISS kwa ajili ya scoops!
2. TISS inawategemea sana waandishi wa habari kwa ajili ya kutekeleza propaganda (chafu).
3. Viongozi wetu wamewekwa mateka na TISS maana wameaminishwa kuwa bila TISS wamekwisha.
4. TISS imekuwa ikifanikiwa sana kuwafanya wanasiasa wetu waogope hata vivuli vyao.

Baadhi ya wanausalama wanalazimishwa kufanya ushenzi, hasa wa uzembe na kutokuwajibika kwa Taifa.

5. TISS imekuwa ni kama kazi ya waganga/ mizimu. ts shame!
 
Hivi ni kwa nini ccm wote wanaongea maneno yanaowadhuru wenyewe??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
SHAME ON YOU GAMBAS!!MNATUMIKA VIBAYA EITHER KWA MAKUSUDI BILA KUJUA AU KWA MAKUSUDI MKIJITAMBUA!:tape2:
 
Hadi hapo wana mageuzi
watakapotambua kuwa NGUVU YA CCM NA SERIKALI iko kwenye mahusiano yao
na TISS, tusitegemee mabadiliko makubwa katika nyanja yeyote Tanzania.
1. Waandishi wa habari wamewategemea sana watu wa TISS kwa ajili ya
scoops!
2. TISS inawategemea sana waandishi wa habari kwa ajili ya kutekeleza
propaganda (chafu).
3. Viongozi wetu wamewekwa mateka na TISS maana wameaminishwa kuwa bila
TISS wamekwisha.
4. TISS imekuwa ikifanikiwa sana kuwafanya wanasiasa wetu waogope hata
vivuli vyao.

Baadhi ya wanausalama wanalazimishwa kufanya ushenzi, hasa wa uzembe na
kutokuwajibika kwa Taifa.

5. TISS imekuwa ni kama kazi ya waganga/ mizimu. ts shame!

TISS ni tawi la ccm kama ulikuwa hujui mkuu! waandishi wa habari eti wanajikomba kwa tawi la ccm! kazi tunayo
 
Kwani akikamatwa na kuhojiwa dr. Slaa ndio TISS itaaminiwa? Quite illogical and sweeping statement to be given by university students. May be the so called "university students!"

University students wa Kawambwa..... what do you expect?
 
Post yako inafanana kabisa na wewe maana naona hata hujailewa mada yenyewe au unafikiri hapa tunaongelea binti wa balozi uliyempa mimba?

Kama kampa mimba binti wa balozi tatizo lako ni nini? Ulitaka akumimbe wewe? Umeona wivu ati?
 
Naogopa sana watu wa aina ya MJUSI KAFIRI, wao kila wakati wanatikisa kichwa kuashiria kkubali kila lisemwalo, ni hatari sana hii, yafaa kuushughulisha ubongo wako.

Kwa hiyo hutaki kuamini kuwa Dr alishinda 2010? Endelea kukimbia kivuli chako
 
Mkoa maalum wa vyuo vikuu, kanda ya Dar es salaam, umefanya kikao cha kujadili mipango na mikakati mbalimbali ya kuimarisha Mkoa huo na Chama kwa ujumla.

Pamoja na Ajenda hiyo, pia kikao hicho:-

· Kimelaani vikali matukio ya kuvamiwa, kudhuru mwili na kuuawa kwa baadhi ya viongozi wa Dini na wanahabari. Mkoa umesikitishwa sana na tukio la kushambuliwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006, Ndugu Absalom Kibanda.
· Lakini pia, kimevitaka vyombo vya Dola kuwakamata, kuwashikilia na kuwachukulia hatua za kisheria wote waliothibitika kuhusika na matukio ya namna hiyo bila kuangalia Itikadi za Kivyama, Cheo ama Kundi. Na pia kuyataka makundi ya kijamii, wanaharakati na wanasiasa kuacha kuingilia/kuvuruga kwa namna yeyote taratibu za kisheria na kiusalama.
· Pia, kuwataka wanausalama kumhoji kwa kina Dr Slaa juu ya tuhuma zake dhidi ya Kurugenzi ya Usalama wa Taifa (TISS) na kumtaka kuthibitisha madai yake kuwa baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo muhimu na nyeti wanaripoti kwake kinyume cha utaratibu, kanuni na maadili ya taasisi hiyo.

Kwani tuhuma hizo ambazo Dr Slaa amekuwa akizisema mara kwa mara tangu kipindi cha Kampeni za Urais Mwaka 2010 zimeanza kuaminika, lakini pia zimepelekea wananchi sasa kukosa imani na Taasisi hiyo na zaidi kupoteza imani juu ya uwezo wa serikali kuwalinda na kuwahakikishia Usalama wa maisha yao, ambapo ni jukumu la kikatiba la serikali.

Imetolewana:-

Daniel Zenda.

Katibu wa Wilaya (Dar es salaam.)
Hii elimu yetu nilijua imeharibika sekondari tu, kumbe hata vyuo vikuu sasa hivi tumeanza kuzalisha wasomi kata!!Hawa wamejikusanya vichwa vingi ndo wametoka na huu uppuupu???? Hawa wanaonekana ni watoto wa Mafisadi, Huwezi wewe mtoto wa mkulima ukajitutumua kutoa Tamko la kipumbavu kama hili.

Mmeweza kumtaja Dr. Slaa, okay mmepatia. Kwa usomi wenu je hamuoni kama kuna umuhimu pia wa kukamata Mwigulu, Ridhiwani na Nape walioanza kuonesha dalili zote za kujua kinachoendelea kuhusu Kibanda?? Mnajifanya mnatoa laana wakat nyinyi ndo wakulaaniwa, hiyo laana si itawarudia wenyewe tu???Eti tunalaani, mnayo sifa ya kutoa laana nyie maccm???

Mnajifanya mnauzalendo na kusympathize kwa TISS kudhalilishwa, nyie kwa akili yenu mnaona TISS ipo hapa nchini?? Mnaona TISS inafanya kazi kwa maslah ya Taifa??? Sio sisi tunaowalipa mishahara hao TISS?? Mbona sasa wanafanya kazi ya kuua raia kwa manufaa ya wanaowatuma???

Nyie mnajifanya mmeshapoteza kumbukumbu ya yaliyomkuta DK Ulimboka?? Mbona hamkutoa tamko?? au hamkusikia aliposema Rama wa TISS ndiye aliyehusika??? Au wakat ule hicho kikundi chenu kilikuwa hakijaundwa??Mshasahau ya Mwangosi???Au hamkuona km yule bwana aliuwawa na vyombo vya Dola?? Au wale sio Binadamu wa kutolewa matamko na hizo laana zinazotolewa na wajaalaana???

Nawasiwasi na uelewa wenu wa mambo ya nchi hii, inaonekana ni njaa, sidhani kama mmetumia akili zenu.
 
CCM. CDM , TLP, CUF, NCCR kwangu si chochote, kama unadhani uwepo wako Tanzania unategemea uwepo cha chama fulani ni mawazo mgando hayo. Naamini katika nchi yangu ndiyo maana nikisikia GAIDI kama LWAKATARE amekamatwa nafurahi kwa vile nabaki katika imani kuwa Tanzania ni salama.

Ubongo umehamia masaburini....salama kwa lipi? Kwenu Lwakatare ni threat kuliko EPA! Richmond, Kagoda, Udini na akina Uamsho/ Ilunga, mauaji ya Albino..... malizia mwenyewe. Kazi ya upinzani ni kukosoa, badala ya kulumbana na wapinzani mngeonekana wa maana kama mngeelekeza nguvu zenu ktk kutimiza ahadi zenu za 2010 ambazo chama chako hakijaweza kufikia hata robo yake. Mafisadi wakubwa nyie!
 
Inaonekana kama na wewe uko TISS vile na umevutwa na ndugu yako huko, funguka mkuu ehee. teh teh teh unajitekenya na kucheka.
Kwa ujumla majeshi yetu yote ya Tanzania, yamejazwa kwa asilimia kubwa na wale wote walioshindwa kuperform vizuri huko tulipotoka, hakuna tofauti sana na walimu wa sekondari zetu. Sasa afadhal hata ya haya majeshi mengine ambayo angalau wanakuwaga na mchakato rasmi wa kuajiri.

Huko TISS ndo nashindwa kuelewa wamejaza watu wa aina gani maana kama alivyosema jamaa hapo juu, ni ukiwa na ndugu tu aliyetangulia TISS basi ukoo wenu wote utakuwa ni wana TISS, yaani qualification ni kuwa na ndugu. Sa kwa mtaji huo kwann wasijikite kwenye siasa wakat wanaTISS ni cohort ile ile toka babu had mjukuu??
 
Mie si mwanasiasa, na wala sitaki kuwa mwanasiasa, lakini naona kuwa wasemaji wengi wa CCM, si wote, nasema wengi, ni WAROPOKAJI TU. Sijui kuna wazimu gani aliingia humo. Baada ya kuondoka kwa Mwalimu Nyerer, na kunyamaa kwa Kingunge, sasa ni hovyo kabisa. Tatizo la TISS ni Dr Slaa au ni TISS yenyewe? kama Dr Slaa anamegewa mambo na watu wa TISS, basi TISS ndiyo tatizo, na wala siyo Slaa. Nadhani CCM inahitaji kujiangalia. Sisemi kishabiki, nasema kiungwana. Sasa CCM kila mtu kila mahali anatoa tamko. Ni holela tu.

Ebu waambie! Ni aibu sana, taarifa ya habari ya jana saa 1 jioni channel Ten, eti UVCCM Mtwara nao wametoa tamko dhidi ya Madiwani wa Mtwara! Hovyo kabisa, watoto wanawaonya wazee wao, kila mtu anatoa tamko ndani ya CCM. Matamko...Tume...matamko.....Tume sijuwi wakati gani watakaa chini wafanye kazi. Ni serikali na chama cha Tume na Matamko.....tumekwisha!
 
Jibu unalo wewe lakini inaonekana unamwogopa sana huyo Othman.
Embu tuambie pia kuna haja gani kwa Othman kuendelea na kazi TISS?

Embu fikiri katika nchi yenye 'Amani na utulivu' na yenye taasisi ya Usalama(TISS) iliyotengewa budget ya mabilioni ya fedha kila mwaka, sasa ni vipi Othman asiwajibike kama mambo haya yanatokea kila siku:

1/Mateso na mauaji ya watu mbalimbali yanaendelea kila kukicha(Viongozi wa dini, Waandishi, Albino, Wanasiasa, wanaharakati nk)

2/Wahamiaji haramu wametapakaa kila mahali Tz.

3/Mamia ya Wanyama(Twiga, Tembo, Faru nk) wanatoroshwa kwa pamoja kwa ndege KIA!!

4/Vitu fake vimetapakaa nchi nzima(ARV, Condom, Dawa mseto za malaria, Vipimo vya Ukimwi nk)

5/Watu wanaingia BOT na kuiba mabilioni ya fedha watakavyo bila kukamatwa(EPA)

6/Nchi inaingia kwenye mikataba fake na kilaghai na makampuni ya kitapeli kila siku(Richmond, Dowans nk)

7/Madawa ya kulevya yametapaa nchi nzima huku waagizaji wakuu wanafahamika hadharani na hawajakamatwa(Hata rais Kikwete anakiri anawajua hao watu!!)

8/Mabilioni ya fedha yanatoroshwa na kufichwa Ughaibuni na maafisa wa serikali(Uswis, Scotland, Iriland nk)

9/Meli za kigeni zinaingia kwenye fukwe za Tanzania kuvua samaki, kupeperusha bendera za Tanzania kinyume na sheria na havikamatwi wala hazifahamiki.

10/Magogo na Pembe za ndovu mamia kwa maelfu ya tani yanasafirishwa kwenda China na kwingineko duniani kinyemelela kila siku.

11/Video Clip fake inawekwa mtandaoni kisha polisi na vyombo vya usalama vinashindwa kung'amua na hivyo kuishia kukurupuka kukamata watu ovyo na kushindwa hata kuwafikisha mahakamani.

12/............
13/...........

Mkuu, unamweleza haya Jichola3???? Hana ubongo kabisa, ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Nakuapia hatakupa majibu sahihi, sanasana atakuambia umetumwa na Dr.

Magamba hawana akili hiyo. Wanakimbia vivuli vyao, hawajazoea kujibu hoja, wangekuwa na akili wangesimamia utekelezaji wa ilani yao na moto yao iliyokosa mvuto ya "maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana". Wameishiwa, wamefilisika, wanatapatapa!
 
na Mwandishi wetu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kauli ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa kwamba kuna baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola wanaripoti kwake, kimesababisha baadhi ya wananchi kukosa imani na vyombo hivyo.

Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkoa Maalum wa CCM Dar es Salaam baada ya kikao chao kutathimini mambo na matukio mbalimbali yanayolitikisa taifa kwa sasa.

Katika taarifa yao iliyosainiwa na Katibu wa Wilaya ya Dar es Salaam (ya kisiasa - CCM), Daniel Zenda ilisema kuwa Dk. Slaa amekuwa akitoa kauli hizo mara kwa mara tangu wakati wa kampeni za urais mwaka 2010, lakini hajaitwa kuulizwa wala kuchukuliwa hatua.


"Lakini pia kauli ya Dk. Slaa imesababisha wananchi wakose imani na Idara ya Usalama na zaidi kupoteza imani juu ya uwezo wa serikali kuwalinda na kuwahakikishia usalama wa maisha yao, ambapo ni jukumu la kikatiba la serikali," ilisema taarifa hiyo.


Vijana hao wa CCM, wameitaka Idara ya Usalama kumhoji kwa kina Dk. Slaa athibitishe madai yake kuwa baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo muhimu na nyeti wanaripoti kwake kinyume na utaratibu, kanuni na maadili ya taasisi hiyo.


Chama hicho pia kimelaani vikali matukio ya kuvamiwa, kudhuru mwili na kuuawa kwa baadhi ya viongozi wa dini na wanahabari.


Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkoa huo umesikitishwa na tukio la kushambuliwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006, Absalom Kibanda.


"Tunavitaka vyombo vya dola kuwakamata, kuwachukulia hatua za kisheria wote waliothibitika kuhusika na matukio ya namna hiyo bila kuangalia itikadi za kivyama, cheo ama kundi.


"Na pia kuyataka makundi ya kijamii, wanaharakati na wanasiasa kuacha kuingilia/kuvuruga kwa namna yeyote taratibu za kisheria na kiusalama," ilisema taarifa hiyo.
 
Nchi zilizoendelea Mgombea URAIS anapewa UTANGULIZI na BAADHI za SIRI za SERIKALI; ILI aelewa NCHI inaendeshwaje haswa kuelewa inadhibitije Wapinzani wa NJE ya NCHI na KUIMARISHA USALAMA NCHINI...

Sasa kama UPINZANI UKISHINDA utajua wapi pa KUANZIA kuhusu USALAMA wa NCHI; CCM sio chama PEKEE cha kuitawala nchi ya TANGANYIKA...
 
Dr Slaa alisema makundi ndani ya CCM ndio chanzo cha kuvuja kwa taarifa hizo.
 
Bila shaka vijana vilaza waliituhumu idara ya usalama wa taifa kuwajibika kwa Mwigulu Mchemba anayezunguka DVD ya mipango ya mauaji ya viongozi wa CDM bila kuhojiwa,Shehe Ilunga aliyewatuma kwa mafanikio makubwa waislamu wawaue Mapadri na watawa ambao mpaka sasa wawili wameshakufa na baadhi kujeruhiwa,Polisi kuwajibika kwa Mama Kikwete kwa barua iliyoandikwa kwenda mtwara ikitaka CDM wadhibitiwe ili mama afanye kampeni, Pia wamehoji Nafasi ya Mama Salma kupewa ripoti ya maendeleo ya Mikoa kama Rais huku akipigiwa saluti na maafisa Jeshi eti?Vijana wapumbavu bila shaka mmehoji Kauli ya Ridhiwani kuhusu kutekwa Kibanda kama ameshakamatwa na kuhojiwa popote..Na vipi Ighondu aliyetajwa na kwa jina na Ulimboka? Hamjasahau bila shaka wale Polisi saba waliokuwa wakimuua mwangosi pale Nyololo kama wamekamatwa au kuhojiwa akiwemo kamuhanda eeh...Vipi maalimu seif na mauaji ya mapadri kule Zenji...Pumbaavu kabisa nyie
 
Back
Top Bottom