BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
we belinda wewe..mzima lakini sist?
Nipo njema Mtakatifu, ha ha...FurahiDay njema!!
we belinda wewe..mzima lakini sist?
kaka tatizo biere nilishaacha.
Duh......mimi napata lunch hapa Calabash..nikiangalia freezer koo linabana
Wewe kama uko kwenye sekta ya Umma niwakufukuzwa kazi na kuwa victimised! Kwanini uende Bar badala ya kuwa na hii dispenser kwa office
kaka inaweza ikawa unalazimisha kukutana a boss wako kupiga kilaji.japo maji ya Uhai.. mkuu
kweli naona..vijana wamenikomalia wanafikiri sifanyi kazi ..hahahaNipo njema Mtakatifu, ha ha...FurahiDay njema!!
kak hi kitu ukiweka ofisini si utakuja siku unakuta wafanykazi wako wote wamevua nguo wapo juu ya meza.hii inafaa zaidi uweke home tena chumbani unakolalaWewe kama uko kwenye sekta ya Umma niwakufukuzwa kazi na kuwa victimised! Kwanini uende Bar badala ya kuwa na hii dispenser kwa office
Ivuga=Kupenge
Duh......mimi napata lunch hapa Calabash..nikiangalia freezer koo linabana
huyu jamaa sijui hata ametumia vigezo ganihahahahaaaa...!!!. duh! mtake radhi mkuu.
Kaka nimekuja kula tu.......halafu niko katika sekta binafsi
Wewe ni Dr Ulimboka?
Dada tuheshimiane mwenyewe nimesema mwaka huu sitaki BAN, nahisi wewe ndio MJINGA
wananichokoza wanataka kuangalia kama nipo au sipo.Mmmh, haya SI
Wanakuona tu wewe bwana
Ukute ndo wanataka kumtafuna binti yetu.
wananichokoza wanataka kuangalia kama nipo au sipo.
Naonaga kila MADA UPO NA MDA WOTE NDANI YA JF? HIVI MWENZETU UNATAFUTA RIZIKI YAKO SAA NGAPI?
kaka inaweza ikawa unalazimisha kukutana a boss wako kupiga kilaji.
kwanza hii post sio mahali pake kaka.kazi yangu ni kusaign tu na kulipa watu mishara..mjasiriamali
ngoja niondoke kwenye hii thread ,..wakare hawachelewi kusema mambo ya multple id kujipa promo