Saint ivuga unapiga mzigo saa ngapi

Mkuu hawa watoto wa dot.com wakorofi sana!
hawa watot hawafai mkuu wamesoma miaka minne then wanaenda kuandika lyrics za bongo fleva kwenye mtihani wa taifa..mzazi kalipa ada for four years dude
 
Kusema ukweli hata mimi nimewahi kujiulza, st. Ivuga ni mtu au kundi la watu all the time yupo humu. Hata hvyo co yy tu hata dada FF labda awe na ban
 
Kusema ukweli hata mimi nimewahi kujiulza, st. Ivuga ni mtu au kundi la watu all the time yupo humu. Hata hvyo co yy tu hata dada FF labda awe na ban
niombe radhi kwa kuniweka kundi moja na dada ff yule yuko hapa kikazi analipwa mm nipo hapa kula bata na kubadilishana ma news na watz wenzangu..dunia yako chaguo lako chagua kuwa na furaha.
 
aisee, kumbe hawa watoto waamemchokoza mkatafuti wa watu!!
muanzisha thread, ongeza juhudi masomoni ili uje kuwa bosi serikalini utapata mda wa kutosha JF
 
Ulibadili lini? Yule secretary wako bado yupo?........nilimmaindi sana

Jennifer Jones.jpg
huyu huwa hapendagi kutabasamu hadi nimemlazimisha si unaona tabasam lake la kulazimisha . sema ndio hivyo anapiga kazi
 
Huenda anatumia cell phone ndo mana ni kama yupo muda wote! Au ni mtoto wa EL so, pesa ipo kibao akafanya kazi ya nini! Au kazi yake inafanana na ile ya N.ape, zipo sababu kibao.
wewe ndio umenichoka kweli..kisa cha kunifananisha na hao watu ndio nini?
 
Back
Top Bottom